Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

HAHAHAAAAA! Nenda tu kwa mganga akurudishie kuku zako, kila unachotabiri holaaaaa. Unatamani unitupe mstuni uje uimalizie wewe hii story. Hahahaaaa! Au uimalizie unavotaka kivhwani mwako.

Unavohangaika kutabiri mpaka unani shawishi nichachue story na kupindishaaa mstari nikupe hata kautabiri kamojaaaa. Hahahaaaa. Seriously acheni kutabiri manake zitaibuka kambi hapa kna tema kama Walter vs Collins. Hahaaa afu mwosho mnanipa kigugumizi kumalizia maana vovote naonekana nimepokea rushwaaa.
Upo sahihi sana mrembo lara 1 binafsi sipendi mtu anayetabiri story nakumbuka nilikuwa nagombana na jamaa zangu tukiwa tunaangalia picha hlf anajitokeza mjuaji mmoja kutabiri nini kitatokea basi najikuta stimu za kuendelea kuifuatilia hiyo movie inakata kbs
 
Uko upande gani?
 
Mxxxxuuuuuùuuuuuu. Hebu usiharibu thread maana ndio kipaji chako. Nimesoma post zako hapo juu, nimenyamaza kuheshimu thread. Nakusare tuu #$#@$$/&&*^/$#@@@///$$#@@!
Kofi la mpenzi haliumizi,basi mamii si tayari umeisha revenge?,maana huo msonyo sio mchezo yaani umeniingia mpaka rohoni halafu hayo matusi ya Kidigitali ndio umemaliza kabisa,anyway vipi mambo kwa ujumla,poza roho mamii.Lara 1 kaisha sema kiutu uzima au vipi?,hebu jaribu kumpa heshima zake mamii.
 
Mxxxxuuuuuùuuuuuu. Hebu usiharibu thread maana ndio kipaji chako. Nimesoma post zako hapo juu, nimenyamaza kuheshimu thread. Nakusare tuu #$#@$$/&&*^/$#@@@///$$#@@!
Yaani mdogo mdogo tena kwa upoooooooooooole,mimi nataka unikumbatie kidigitali au tufanye cyber sex,maana karne hii lazima kijulikane tu.
 
Hahahaaa, umepotea kweli! Pole sana. Lara1, msome huyu anayeomba kukuona, akushike mkono.
Sister Lara 1kaunganisha dots toka siku nyingi,ila tu wewe umeweka hasira mbele,jitahidi upoze roho ndio utaiona picha inavyojitokeza,any way we mamii tayari umependwa na wewe ukapenda,sasa jitulize kama kasuku basi au vipi?
 
Mxxxxuuuu. We mtoto uwe na adabu, naongea na babako. Enjoy the ignore.

Jamani wanawake na wasichana MMU kaeni mbali na wajalaana waliochanjiwa mtongoza badala ya mdinar, bora waliochanjiwa mpaundi ingawa unashuka thamani si haba si sawa na kukosa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom