Weekend Story! The Workaholics Silence

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nimekula hela ya watu, nimejiachiajeee Iddy mmmmh! Nimpokea hela nitoe story, story sinaaa, njaaa imenibanaaa, nikapokea mieeee. Mmmmmmhhhh! Kabla sijaonekana tapeli imenibidi nikusanye story za watu nizilete humu jamaniiii.

Kabla ya yote kuna JF Get Together tarehe 29. Si ya kukosaaaa kabisaaaa.

The Workaholics Silence ita premer leo saa 4 na nusu usiku. Tunarudi corporate sphere upyaaaaaa. Sahivi mambo ya kisomi tu mwanzo mwishooooo. Watu wazima, game za kiutu uzimaaa. STAY TUNED.

kUJIBORESHA NA KUENDANA NA WAKATI NITAANZA KUPAIKANA INSTAGRAM SOON KWA ID YA lara1jfstories. Mnifolow na huko.


THE WORKAHOLICS SILENCE!

The Firm!

Ko! Ko! Ko! Ko! Ko! Ko! Ko! ko! Hellow guys! Helloooooow Stacy! Ko! ko! ko! ko! ko! Shingo zote zinamuangalia Stacy akiishia corridor kwenda ofisini kwake. Wakageukiana wote vijana wa ofisi hio. Jamaniiiii, mmeliona dada la dada shangingiiii, dada kubwa, kina kirefuuuuuu?' "Mmmmmmh pale hatari hivi unajua anakula from Big Hotels tu." Yaaani ni balaaaaa, inaitwa usibonyezeeeeeeee, hivi kawahi kurudia nguo toka aanze hapa mwezi wa 3 huu" "Arudie achekwe." "Guys tuongeee yoteee ila Stacy is my dream girl, will i stand a chance against her? niko serious mwenzenu pamoja na ubandidu wake mimi namuelewa sanaaaa, nimefika bei." HAHAAAAAAAAAAAAA! Umejua kutuchekesha kweli. The only place you will sand a chance with her ni bafuni kwako and her being sabuni yako. HAHAAAAAAAAAA. Wakatawanyika.

Harris akabakia roho ikimuuma watu kumcheka, of course alikuwa anachekesha na kusikitisha manake yeye ndo kwanza yupo Junior officer, na miaka yake 32 wakati Stacy was just 27 and already a director of marketing, amesajiliwa kwa hela kubwa sanaaaa kutoka kampuni aliyotoka, na anaheshimika sanaa humo ndani, kiukweli she lives up to the expectation kuanzia mavazi, gari anayoendesha, simu, anapoishi hakuna anaepajua ila all in all sio mtu mdogo ofisini. And honestly she was every body's dream, sio walioa wale MBA (Married But Available) au single ladies. Kiukweli ilikuwa pasi ndefu.

Stacy akaingia akaaa kwenye ofisi yake. Akaanza kusoma gazeti, akajikorogea kahawa akanywa, akawaza mambo yake matatu manne akaamua kufungua email, akakuta boss wake MD kamtumia email ya kikazi kwamba anahitaji strategy mpya, action plans mpya ni mwezi wa 3 toka aajiriwe kwa pesa alio itaka hakuna alichobadilisha. Roho ikamuenda mbioooo sio kidogo. Akaamua kuwajambisha humo ofisini. Akawatumia skype kuna emergency meeting.

Wakakusanyika wamama na vitambi vyao vya supu 4 au 5 za uzazi, wamejichokeaa wana ngoja ada za watoto siku ziende maisha washayakosea mahesabu kitambo, wababa na vitambi vyao vya bia, wanawaza mda uende waende bar wakanywe wasahau stress zao kutoka kwa wake zao basi. Kwanza hawamkubali kabisaaaa manake wao wameanza kazi Stacy ananyonya atawafundisha nini kuhusu kampuni, just because kawavulia chupi maboss wa 4 wa 5 wa ho kampuni haimaanishi kuwa she is better than them. Hana analolijua and that is final kwao. Na wamepanga wamuhujumu mpaka akome Na fact kwamba ana nyodoooo na dharau ndo ime wa piss off kabisaaa kabisaaaa. Wakawa wametunaaa kama Cobra kwenye hio meeting maana wana uhakika hana jipya ambalo hawajalisikia miaka yao 20 kazini.

Stacy kafika kakaa mbele akawasalimu za leo, familia hazijambo, sasa twende kazi. Boss kubwa anataka strategy mpya, wenyewe mnajua kampuni imekuwa stagnant, hamna growth wala market expansion ndo kisa cha mimi kusajiliwa. So sababu nyie wazoefu nawapa chance ya kutoa ideas kwa uzoefu wenu mnaona twendejae. I am open for opinion and suggestions.

Watu kimyaaaaa. Kama hawajamsikia. Stacy akawakata jicho la dismay. Akawasemesha tena, jamani naongea na nyie, ukimya manake nini? Watu kimyaaaaaa. Mmmmmmh! Laurent who was 35 and going through a nasty divorse na mkewe akaona hapa hapa ndo kw kuwa goodside with the boss. Ukizingatia he really really needs a promotion kuweza ku afford legal fees za kupambana na mkewe na wakwe zake. Akaongea, wenzie wakamkata jicho kali sanaaaa la acha kihere here, akataka kuacha kuongea alivokumbuka bill yake kwa lawayer akaendelea kuongea.

"Stacy mi naona twende with the normal, radio, tv, print. Last year things were really bad sababu hatukuwa na budget, but this year hopefully na ujio wako budget itatoka na tutawakilisha vizuri tu. Sisiunavotuona hapa ndo tumeifikisha kampuni hapo ilipo kwa jitihada hizi hizi na mambo yatakuwa mazuri tu. Akakaaa kimya kusikilizia siasa zake zinaendaje.

Stacy akamjibu thank Laurent but normal is always over rated, jitihada hizi hizi ndo zimemfukuzisha kazi Mzee Hoza na kuletwa mimi, sasa mimi i love my job, wont sit back do nothing mpaka niwe substituted. Times have changed, we have new MD he wanna impress his bosses, i wanna impresss the MD, and you should impress me if you want to see the paycheck a little longer, nomal cant cut it this time, i want effort, new ideas, new vision, new thinking, i want cut throat, i wanna be a virus and infect them all competitors, i want the market for myself. If you are a normal person you cant and ill make sure you wont roll with me. Naona mnanipima imani unity is strong, but i can still divide and rule. Sasa kila mtu binafsi yake anitumie strategy zake anazoona zitafaa na action plan kwa department yake. Kumbukeni tu kuwa you can choose to go down but you wont drug me with you. Meeting adjourned.

Wakatawanyika kimya kimyaaa. Moyoni kila mtu anawaza lake. Huyu anawaza she is really a bich, wengine wanawaza she is tougher than she looks, we unde estimated her. Mwingine anawaza times have changed and so has the job i dont have what it takes anymore, sijui kama nitamsurvive huyu binti. Mwingine anawaza bwana Yesu niteteeee, huyu shetani Stacy ana nguvu kuliko unavodhania Miaka 46 hii nitaenda wapi mimi. Yani ikawa siku nzito ghafla. Kila mtu akawa busy anasoma manake ndo washapewa kazi hio ya kuandaaa.

Ikawa msemezano ofisini kale ka Stacy kamewanyea team yake ni balaaa. Basi kukawa na mgawanyiko wanaomkubali Stacy na wanao mpingaaa. Wanao mpinga wengi walikuwa wale traditional,wacha Mungu, watu wenye familia zao wamebweteka. Wanao mkubali ni wale ambao ni mashangingii, wenye uchu wa madaraka na wanao kama Stacy kawafungulia milango kwenye kampuni ya kushika vyeo vikubwa wakiwa na umri mdogo.

Stacy akahisi ile negative vibe ofisini akaamua kuchukua pochi yake akaenda SeaCliff akabook chumba na kumtumia MD sms whatsup "Missing you babe" Akamtumia na picha yuko na sidiria hotelini. MD ambae nae ni junk tu, kijana mdogo alie manuver manuver akapata hio nafasi kwa connections na utapeli tu akashtukaaa kuona text ya Stacy. kajisemea tu malaya malaya hata umpe cheo gani, umfanyie nini bado atausimamia umalaya wake. Saa 5 hii badala aje na hizo strategy, nafasi nimempa kisiasa at least ajitahidi basi kidogo kuchapa kazi kunipa moyo ndo kwanza nyege mshindo zimemshika akaenda hoteli. Mxiuuuuuuuuuuuuu. Mke wangu mzuri sijui nahangaika nini jitu kama hili. Mxiuuuuuuu.

Akamjibu " Huu si mda wa kazi unawaza tu kutiana? Hizo strategy unazooo au basi tu? Hivi mbona hujielewi wewe?" Stacy akaona lile jibu aka sunyaaa Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu sonyo refu sanaaaa. Akajisemea ama kweli ukiwa mwanamke wa nje utakuwa mwanamke nje tu kwa huyo mzinifu mwenzio hata umfanyie nini, hata umnyonye tigo, umnyoe mazivu kwa meno, umeze shahawa zote, umlambe mwili mzima kama nyoka ila mwisho wa siku utabakia vile vile mwanamke wa pembeni unaehitajika mtu akijisikia nyege tu baaaaaaaassss. Nyege ziiisha huna thamani tena mpaka atakapo pata nyege zingine. Nyege zako wewe hazi count, hisia zako wewe hazicount. Kuliko kuwa mwanamke wa nje bora hata uwe mke wa konda au mpiga debe. Ila akakumbuka Gill alipomtoa, akaamua kutake back he words.

Kiukweli over the years ametokea tu kumpenda Gill, watu wengi wanahisi anamchuna Gill ila ukweli anao yeye moyoni kwamba anampenda. Ni story ndefu sanaa baina yake na Gill. Alimjua Gill kabla hata hajaoa. Gill anaoa kesho usiku wake alilala nae mpaka asubuhi akaamkia kwenye harusi, na siku hio alilewa hatariiiii mpaka akazima mradi tu asiende kufanya fujo kwenye hio harusi. Anamjua mke wa Gill fikaaaa. Na ndoto yake kubwa na tegemeo lake ni Gill aachane na mkewe waoane.

Akamtumia sms whats up, "You can come over for quality time or keep whining" Akangoja Gill hamjibu, holaaaa. Stacy akapanda dau akamtext "Ill suck your balls i promise ukija" Akajua tu hio ni offer he cant refuse. Ikajibiwa " Usinijaribu by Monday kama huna strategy za kueleweka na action plan ilio simama ku present nitakavo kufukuza kazi kama mmbwa hutoaminiii yaani utafurahi na roho yako. Nimemalizaaa." Stack akabamiza simu ukutaniiiiiii.

Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Akajikuta tu machozi yana mtoka mfululizo anawaza hivi Mungu nilikukoseaga nini kikubwaaaa mbona hunipendi kiasi hiko. You cant just let me be happy just for fe minutes. WHY?. Akavaa nguo zake akacheck out. Dada wareception akashangaa mara hii? Akajisemea tu moyoni atakuwa kipozeo cha waziri, hapo waziri katingwa amekula hela yake ndefuuuuuu kiulainiiiii. Mungu mbona mimi hizo bahati sipatiiii. Nikila hela ya mtu nitakunjwa usiku mzimaaaa mpaka nitaijamba hela yote ndo nikunjuliwe. Hahahaaaaaaa! Akatabasamu.

Akarudi ofisini akiwa na stress ni balaaaa. Stress level 200%. Akiwa mapokezi akamuona mtu akastukaaaaaa. Angekuwa na pressure angekufa papo hapo. Moyo ukawa unamuenda mbiooo. Akajipa moyo sio yeye bwana anamfananishaaa. Itakuwa hallucination zake za kila siku. Akajongea mpaka reception akiwa na lengo la kupita kabisaaa. Akasikia yule mtu aliehisi ana mfananisha akamsemesha DaTracy! Akastukaaaaaa, akajiambia ndio yeye kabisaaaaaaaaa. Hakuna mtu anaelijua hilo jina la Tracy isipokuwa huyo mtu alie muhofia ndie kumbe ndie kweli. Yule mtu akaendelea kumwambia mimi ni kaka yako Traves, umenisahauuu! Basi hapo akapata uhakika ndie kabisaaaa.

Akamgeukia, mi sio Tracy unanifananishaaa, anageuka pembeni kuwaangalia watu walio hapo ile kupotezeaaa. Sio mimi, sikufahamu. Traves akaonekana kukomaaa, Inmaana dada Tracy mi sikujui? Stacy akaona soo kubwa akaamua kumvuta nje. Traves akawa kashika gazeti. Akamwambia Dada Tracy umenisahau kweli ila mimi siwezi kukusahau kabisaa. Ni miaka mingi sanaa. itakuwa nimebadilikaaa. Anajisemesha hatari. Stacy akamwambia tykutane break point saa 9 mchana tutaongea yote. Akamuandikia namba yake kwenye gazeti.

Akarudi reception akaanza kumfokea receptionist ndo nini kile? Receptionist anajitetea mi sikujua kama humjui boss, mi aliniambia ni ndugu yako? Stacy akamfokea ni kazi yako kujua kama simjui, mi nakuwa harrased na watu wa ajabu ajabu kwa uzembe wako. Mi toka lini nikawa Tracy? Receptionist akaomba msamahaaa. Akaingia ofisini kwake ka jazba kubwa. Siku hio ilikuwa haiendi kabisaaaa.

Akawa amekaa anawaza yule mtu katokea wapiii na kwanini aje leo hiii of all days, na atakuwa anataka nini? Akakosa raha kabisaaa. Kuja kugutuka saa 9 kasoro. Akaeda kukutana nae break point. Kufika akamsikiliza, Dada Tracy nimekutafuta sanaaa, sanaaa, sanaaa, mpaka nishakata tamaaa kabisaaa, ndo juzi nikaona picha yako gazetini umeajiriwa na hii kampuni ila wanakuita Stacy sikuelewa ila picha tu nikajua ni wewe. Nimetokea Arusha kuja kukutafuta Mungu ni mwema nimekupataaa. Miaka yote niliwaza nikikuona tena tutaongea nini?

Stacy akamuuliza jela umetoka lini? Traves akastukaaa! Kumbe dada Tracy ulikuwa unajua nimefungwa? Stacy akamkodolea macho tu. Traves akarudia tena hilo swali? Stacy akamjibu najua na yale mambo yako mengine ya kuaibisha familia yetu na jina la marehemu wazazi wetu nayajua yote ndo maana miaka yote nimekuwa nakukimbiaa, nimefanya jitihada zote kubadili majina na mambo mengi sanaa kukwepa aibu yako nisihusishwe na wewe. Sikupendi na sijakusamehe wala sitokuja kukusamehe, mjadala wetu wa mara ya mwisho uko pale pale, na kila neno nililo kwambia nalimaanisha mpaka leo.

Traves akanyongeaaa, akawa mdogooo roho ikamuuma kumbe mda wote kafungwa dada yake alikuwa anajua hata kumtumia barua na mda wote anamtafuta dada yake kumbe dada yake anamkimbia. Akajiona hana thamani kabisaaa duniani, akajiona anampa shida sanaa dada yake. Akawa maneno yamemuishaaa.

Stacy akamkazia macho, najua umenitafuta kwasababu unataka pesaaa, sawa mi niko tayari kukupa pesa upotee maishani mwangu, nisikuone tenaaaa. Akampa bahasha iliotunaaa. Million 5 hizo fanya utakavo fanya ukitaka tumia hata kwenye mambo yako yale sikuingiliii ila nachoomba sitaki kukuona ena maishani mwangu. Akanyanyuka akamuacha Traves amekaa kwenye kiti. Akawasha gari yake huyo akaondokaaa.

Traves akaichukua ile bahasha akarudi kwa rafiki yake alipofikia uswahilini. Akatafakari mazungumzo yao na jinsi matarajio ya kukutana na Tracy yalivoenda ndivo sivo. Alijua ananyanyasika duniani sababu kapotezana na dada yake, na akaishi ili tu siku akutane na dada yake tena waishi pamoja kwa furaha na upendo kama zamani, kama dada yake ana familia awajue wanaena mumewe, ila mkutano ndo umekuwa wa kukatisha tamaaa kabisaa na kunyongonyezaaa. Akafikiriiaaaaaaaa. Akatoka akaenda dukani kununua kamba ya mkonge, bahasha, karatasi na peni. Akarudi akaandika namba ya stacy juu ya bahasha. Akatengeneza kitanzi akajitundika. Hakutoa kelele yoyote.

Jioni rafiki yak anarud ghetto akamkuta kaninginia akapigwa bumbuwaziii, akaona bahsha 2 juu ya kwanza ina karatasi ndani na namba ya simu. Ya pili imejaa hela. Akazificha zile bahasha na kutoka nje anapiga yoweee Traves kajinyongaaa, kajinyongaaaa. Watu kuja kukata kamba wakamuita Dr. akamcheki akawaambia huyu tayari saa nyingi sanaaa. Kwani hajaacha ujumbe? Ndo James kutoa ile barua yenye bahasha na namba za simu. Wakakata shauri wampigie saa moja usiku huo mwenye hio namba.

ITAENDELA KESHO.
 
Aseeee, lara 1 angalau maana story zako tulizimiss Sana tangu wiki ya kwanza ya Ramadhani mpaka Leo! Vipi yule Jamaa kaingia kingi nini? Naona Leo Una Furaha Sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom