Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Kwa herry no basi bora nije kwa Gill

Haya mkubwa all the best, mie kwa mikiki aliyopitia Harry hadi sasa hivi namuona mpambanaji sana, kumbuka alitema ajira kuliko fedheha za Gill, kachomoa offer ya 50M sio jambo dogo ujue, akajpanga akatoka upya kama mzee wa entertainment.. Mtu wa hivyo haishiwi ma surprise, sasa unaanza kuwa upange wa Gill kwa lipi Mwana? Wake up mkuu
 
Me team Harry no way niwe kwa mafia gill

Harry pamoja na ubabe wake ila muungwana sana. Gubu analo ila sometimes anakua na chembe ya ubinadam. Naomba tu Gill asijekua kahusika kubumisha show za Harry, yule nae mtoto wa mjini ana visasi vibaya sana, na kweli yule mafia.
 
Haya mkubwa all the best, mie kwa mikiki aliyopitia Harry hadi sasa hivi namuona mpambanaji sana, kumbuka alitema ajira kuliko fedheha za Gill, kachomoa offer ya 50M sio jambo dogo ujue, akajpanga akatoka upya kama mzee wa entertainment.. Mtu wa hivyo haishiwi ma surprise, sasa unaanza kuwa upange wa Gill kwa lipi Mwana? Wake up mkuu
Gill nampenda ata yy anahaso zake kibao tu tena kushona ata Harry kwanza kumsomesh demu wake mpaka kumtaftia ajira kwenye time ya kazi ataki mapenz
Harry kaja kama kubust tu Gill ila Gill ana mishe nyingi mno kuliko Harry sema tu Church boy kamzidi kete ila kama mkewe angekuwa anajituma kwenye kitanda kama dem wake weeeeee church boy asinge pata kitu ata majambazi angemkodia ilimradi amuulie mbali
Na Mke sio kwamba anajua kifo cha niende tu no anamkomoa tu Mume wake ye sianatoka njee ya ndoa.
 
NA KU QUOTE ILI KUKUFUNGA MANENO YAKO! Mi muandishi natabiri watu wengi kuhama team JIONI. hahaaaaaa!

NAOMBA KILA MTU ATANGAZE TEAM YAKE MAPEMAA TUWEKE REJESTAAAAAA KABISAAAAA.

Team Gill na stancy Hoyeeeee though saivi kidogooo mambo yao ndivyo sivyo
 
Hahahahaa Harry anajifanya ana akili sana bila kujua anacheza na ninja Gill.

Ata yule marrie sio kwamba kamwin Gill ki IQ, anamtafutia tu figisu yule muimba kwaya. Na ya kwanza keshaicheza kwa Rodgers.

Gill ni habari ingine yule mwanaume.
 
Ndoivo nawewe sema mapema tujue kama huwa unalenga mulemule au nje ya box

Mbona unalitosa chama kubwa LA papaa Harry? Au kwa vile kisigino kimepona umeacha kuchechemea. Utakosa lift, mjini hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom