Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Kwa sababu story ilianza Na Mimi lazima iishie Na Mimi kijana wenu Siza! Baada ya biff kubwa kati ya Leila Na Godfather ilishindikana kufikiwa muafaka. Ndo maana nasisitiza tu kuwa usiongozwe Na mwanamke maana mwanamke anaongozwa Na moyo. Hamuwezi amini Leila kufika akaleta lamujer de mi Vida kumkabidhi Godfather biashara Na kuwaomba watu wore wamuunge mkono Godfather sababu yeye ana retire kwenda kulea watoto.

Mkitaka kujua jasho la MTU haliliwi, Godfather hakula jasho la Leila hata kidogo maana wiki like like Leila alipokea anonymous tip toka kwa MTU asifahamika kuwa supplier wake mmoja kadakwa Na mtandao mzima umejulikana Na Interpol, just a matter of time kabla hawajatimba bongo.

Ndo Godfather kumshinikiza Leila aoneshe pesa ilipo ambapo alishikilia kuwa pesa hamnaaaa! Pesa iliopo no ile ile ya Godfather ambayo ilikuja kushikiliwa Na Interpol. Godfather was older and wiser waliwahi kuondoka nchini Na familia yake yote. Yeye Leila Na watoto.

They just vanished in thin air. Tumeamka asubuhi they are gone. Kwenda kupeleleza godown kweupeeeee, no trace of powder. Mapunda wote same vanish in thin air. No good bye nothing.

Sisi tukawa tunaendelea Ku trade kama kawaida. Kwanza tukajua ile mzozo wao labda wameuana. Hatukujua chochote. Ndo kwanza tukafurahia kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Full kujiachia sokoni, full shangwe.

Katika hali iso ya kawaida nilipokea SMS kwenye Namba nisioijua ikiniambia Usiende godown kuanzia Leo, usiende nyumbani kwako, get a new life! The game is over. Interpol wanakuja bongo kama hawapo tayari, don't get caught. With love anonymous.

Ndo nikaelewa why Godfather vanished into thin air without a trace. Nikawaza huenda no hoax, nimepokea SMS nikiwa njiani nikageuza kurudi kujihifadhi hotelini. Nikaogopa hata kwenda kwangu. Nawaza nani huyu ananipenda hivi Wa kunitahadharisha? Sio Leila sio Godfather asilani. Au Naila?

Na kweli siku hii hio wali raid godown, wakakuta enough stash to put as away for a long long time. Waka raid nyumbani kwangu Na kukuta even more stash and all my cash. Mkumbuke pesa sipelekagi bank. I became poor overnight.

Sikukata tamaa nikajua Naila bado ananpesa tutasimama tena. Nikawa simpati kwenye simu. Simu ikawa haitiii kabisaaa. Nikahisi huenda nae alijua mwisho umefika amekimbia Na kuniacha.

Nilimtafuta Sana'a Sana'a bila mafanikio yoyote. Mpaka Leo hii namtafuta, namngoja aniirudishe kwenye ramani. As of now ndugu msomaji naishi kinondoni ila kwa kujificha ficha Na kazi yangu no kukaanga chips usiku njianiii. Nikingoja hoping one day Naila will come back for me.

Simu hip hapa kwenye chips nimekaanga ndugu msomaji, nimechoka sifai, simu hizi nafuga midevu kama Osama bin laden watu wasinijue jinsi nilivochoka Na kufulia. Nimekuwa mpole Sana'a. Na umalaya nimeacha kabisaa, kwa pesa IPI nilio nayo?

Hamad, wakaja mateja kunifanyia fujooo. Vijana wadogoo tu miaka 13 wakizidi Sana'a 15. Wakala chips hawataki kulipa. Mmoja wao akasema Mimi silipi, Mimi ndo Siza The Don Jr. Silipagi Na sijawahi. Nilistukaaaaaa Sana'a Na kupata picha kamili. Nikaita Juma?

Akastukaaa wee baba mwanga nini umejuaje mi naitwa Juma. Nikamkazia jicho Mimi baba yako mzazi. Siza the don OG. Wakachekaaaa Sana'a! Kisha wakaniambia unazinguaaa mshua unazinguaaaa. Siza the Dob boss la unga, kubwa la maadui, kamanda, singa sings ghabar Singh, hauzi chips vumbi. Kesho mshua wake. Baba yangu yule mzaziii, sema mini ujue, alinikataa, sijui nilimfanya nini. Ila poa tu yote maisha. Na Mimi nitatoka nitakuwa punda Na nini mtoni kila siku.

Mxiuuuuu! Niliumia sanaaaaa. Sanaaaaa. Nikaenda kumsaka mama MTU Na bado wako pale pale Nyumba ya urithi. Siku nimeenda kama hawanioniii. Kwanza baba mkwe kavaa malapa kaondoka zake. Wengine wanaendelea Na ishu zao kama hawapo.

Nikambana mama Juma, Juma yuko wapi? Akasema kawa tejaaaa. Hujawahi kumuona yuko barabarani? Kafata kazi ya baba take Sasa yeye ikamshinda katamani mzigo kala. Sahivi kawa mtumiaji sio muuzaji tena. Unasikitika nini !navoleta mjini hayo madude mlijua wanatumia nyani Na ngedere? Ndo hivooo. Tushampotezaaa.

Niliumia Sana'a ndugu msomaji. Naila haji mpaka nawaza kujiua mda mwingine. Mda mwingine nawaza atakuja kesho nivumilie. Nikiwa nimekataa tamaa kabisaa simu hip nipo u maskani nasikia bado natafutwa kimbwa mbwaaa. Nikapata simu ya nje. Nikasema watakuwa interpol, wacha nipoker nihifanye sio Mimi Na kuwadanganya Siza tushamzika juzi.

Nikasikia sauti ya mtoto " Hello Dad! Did you get my message on interpol on time?" Nikawa tu nimepigwa bumbuwaziiii.

THE END.


EPILOGE!

Umemuona huyu kichaa mgeniiii maeneo haya? Bado msafi kidogo maskini. Sijui kimemkuta nini? Kama namfananisha ila picha haiji. Sijui kafanyaje maskini.

Vichaa wore wanakuwaga wasafi mwanzo In no baadae hutomjuaaa. Afu kweli kama Na ....... Inooooo! Muangalia vizuri usoniii! Sio mwalimu Naila huyu Wa Book keeping? Ndo yeye!

Kweli no yeye kabisaa! Daaaaaaahhhhhh! Daaaaaah! Mwanangu hii noma! Tunamsaidiaje ticha Sasa?

Tusepe zetu, kwanza alikuwa mnoko hatari. Watu watajisevia tu ticha. Sijui kimemfika nini anaokota makopo.

*************""


Baada ya Godfather kunituhumu kwa uzembe ndo nimewaleta interpol eti Lisa kuweka ranging product. Acha kusema haniamini tena Lisa for 5 good years nine operate kwa siri huku namuangalia usoni kama mjingaaaa.

I did what I had too and I am not sorry. Analaamika asubuhi mpaka jioni afu usiku anaomba papa. Tulivokimbua tumekuja huku South Africa . Godfather Na Mimi mwenyewe account zetu wore zinakuwa tracked maana no fugitives hapa tulipo. Tunaishi kwa new identity in a new country starting a new life.

Kilichotuokoa I never kept cash! Never! Nilikuwa pesa ikipatikana nanunua tu viwanja kariakoo najenga ghorofa. Mpaka tunakimbia Nina majengo 8 ndo jasho language lots la unga, kariakoo Na posta. Napokea kodi. Wapangaji wanatuma Na western Union. Ndo tunakula hizo Na kuishi kwa raha mustarehe.

Mume namlisha Mimi simu hizi, maidhani kaacha gubu, gubu lake liko pale pale. Tunangoja tuzeeke wore pamoja basi.

THE END!
 
[emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hah hahaha the ending is damn good for Us Team Leila! At least our happy ending. Heaven favours leila all the way.

CC. Samaritan siku nyingine utuige mi na Mahondaw kuchagua timu.

Heheh wapi timu naniliuuuuu na naniliuuiii, mkasirikieni Lara jamani sio mimi! [emoji1]
 
Back
Top Bottom