Manhood is a Challange.
Kiukweli sikuwa na nia ya kupita kibandani kwa kamanda Mushi siku hio, laiti ningejua matukio ambayo yangetokea siku hio, nisingepitaaa kabisaaa. Mwenyewe Mushi kaniponza, kanitumia sms Leila yuko hapa huwezi amini kaja na Dr. kumbe mashosti, mashosti kivipi sijajuaaaa. Ila yuko hapa.
Nikamjibu mimi bwana nishaghairi kwanza huko sipo, niliteleza tuuu. We kalale nao wote ukitaka. Mushi akanitumia text Siza usineleteee habari zako za kingese mda huu, mi nataka ku score points kwa Dr. Sasa we ungekuja uka mkeep Leila busy, like one big happy family. Usiniangushe mwanangu. Afu leo kavaa buktaaa Laila, jo hainaga ushemeji ila mimi silagi. Akanitumia na picha.
Kwamba nilienda sababu ya Mushi au Leila i am not so sure. Ila nilienda na boda boda. Sikutaka kutumia gari sababu nilijihakikishia Leila atakuwa na gari, na mimi nitaondoka na gari hio hio ya Leila. Bwana kufika namuona Dr. Kavaa Apron, nikasema HOW SWEET! Kweli kamanda kapata bahati kubwa sanaaa. Kweli Mungu ni mwema sanaaa.
Ile nasogea akaja sijui ndo daktariiiii, hiiiii mwanamke kichefu chefu yule. Nikamuaminia Vicky hatomchuuza mchizi like ina any point katika drama yote ile angepata ujasiri wa kumtambulisha Kamanda kwa lina, kama mtu wake. Angefanya hivooo angepata kura zangu bila wasiwasi. So shameful, hakupata huo ujasiri mpaka mwisho kabisaa. Infact niliona Leila ana busara kwenda kumuokoa kamanda na kuzama kwa Titanic.
Ila pia Kamanda angekuwa na utu aisngemdai Leila kitu alichompa offer, sijui maongezi yao prior ila kitendo cha Leila kumsaidia wakati kila mtu anajikunyata kwa domo la Lina, asingemdai hio pesa. It broke my heart hata mode ya kumdai ilikuwa very rude. Na leila akawa kakaza kwamba hio hela halipiiii. Uso wake ulionesha tu upo mode ya sitoi hata sh 10, msinitanieeee.
Ndo nikaamua kuilipa hio kuku kwani sh ngapi?. Nikawa namtania tu kuku wangu umekula nauliza utatoa hutoiiii? Alivojibu sitoiiii, afu mbele za watu, ilinirusha off balance bila kujiandaa. Ikanilazimu kuchukua jitihada za ziada kuoko utu wangu. Kamanda ndo anazidi kupanic. Ikabidi nijizuge kwani bia bei gani? Hata angekunywa kreti. Alivonipora pesa zote nikasema tu moyoni sasa hio umejikatia tiketi ya mimi kukupiga show ya kibabe. Yani naenda kupiga show ya kukomoa si kwa 370,000 alizokomba kwenye wallet maninaaa kweli kweli huyu mwanamke. Kamanda kidogo aingilie nikamdaka mkono, mwache achukue.
Hamjui Leila kamandaaa. Transit siku hio kavaa kihasara hasara bukta na tshirt. Sasa akapita mbele ya vijana wa lizungu wahuni wahuni tu matatooo mengi. Mmoja akamshika tako! Nahisi aliona mwanamke yuko peke yake nchi ya watu, hana la kufanya. Weeeeeeee!
Akarudi anamuuliza kiswahili " We kaka umenishika tako? Umenishika takoooo?" Kapanic hata kingereza kasahu. Yule kaka akawa anajibu "So what? What you gonna do abt it bitch?" Leila akageuka, "You mother facker, you touched my buttocks? You touched my takooo??? Kumakibuyuuuu!" Sijui nguvu alipata wapi tulistukia tu yule kaka kashikwa pumbu, zieminywa kisawasawa kabakia kutoa ukunga, kujitikisa haweziii, kafa ganzi si kwa kiminyo kile. Kabakia kafumba macho na kukaza misuli mwili mzimaaa. Wenzie hawakuaminiii. Wakaanza kuondoka. Hapo leila anatweta, " Nyie mkichekewa hamkawii kumtia mtu dole la Tigo. Sasa hivi vipumbu vyako navingoaaa navitia mule kwenye dustbin, ****** wa tabiaaa. Mnanijua mimi? Wangese nyie, utawasimulia wenzio matako ya Leila sio ya kushikwa shikwa bure na wangese wangese." Ikabidi niingilie, basi dada Leila muache bwana, muepushe shetani, safari bado ndefuuu. Utafungwa bureeee nchi za watu. Ashajifunza harudiii tenaaaa.
Ananiangalia, anamuangalia na yule jinga, akamuchia. Mbona alikaa chini yule kijana. Akachukua vitu vyake akaondoka. Nikamfata ila kwa taadhari kubwa. Mmmmmh! Nishamjua sio. Nikaka pembeni yake. Namsemesha anajibu poa tu, sio kama yule alie mdala mtu korodani mda si mda.
Nikamuomba namba, akanipa namba yake. Safari nzima ilikuwa poa tu. Kufika kule kwenye check out tukapotzana. Kila nikipiga ile namba simpatiii. Mpaka nikakata tamaa. Majuzi kati ndo nikasema niijaribu. Ikaita. Nikamuuliza mbona kule hukupatikana, akasema kule alitoa line. Nikamtoa bia, kama mara 2 au 3 then ndo kwenda kwake. Nikaunawa mzigo.
Sasa leo ndo naenda kuula, Si kwa 370,000 alizonikwapua. Hata kama sikupanga kumla, sahivi inanilazimuu, inanibidiiiii, sina jinsiiiii zaidi ya kumla. Kajitakia mwenyeweeee. Hata itokee gharikaaaa nitapanda mtumbwi kwenda kumla leo ikibidi.
Kamanda analalamika, wale sio wanawake kabisaaa, tuwa block kwenye simu zetuuuu. Hawana maaana yoyote. Malaya tu wa mjini. Povu la omo linamtokaaa mtindo mmoja. Akachukua simu kamblock Vicky, ka delete na namba kabisaaa. Ananiambia na wewe kama ni rafiki yangu futa namba.
Nikamkazia Mushi, nimeporwa 370,000 naanzaje kufuta namba kwa mfano? Yule mimi naenda kumla Tigo, ile mitako yake halali yangu leo, huniambiii kitu. Sifuti namba wala nini, nikitoka hapa ni one way naenda kumpiga popo kanyea mbingu mpaka amtapike yule kuku wote aliomla na aseme 370,000 kaiweka kona gani ya chumba ananirudishia, usinichukulie poa Mushi. Kama unataka nifute namba nifidie wewe hio 370,000 nakupa simu ufute mwenyewe namba. Mushi mchaga yule, kunipa hio hela hataki, akaninunia mpaka mimi na kunifukuza kwenye ofisi yake.
Nikaita boda boda nikamuelekeza kwa leila. Kufika pale ndo nakumbuka wallet tupu haina hata 100, manina kweli kweli. Kibanda cha Mpesa jirani hakuna. Nikasema hapa ikiwa vipi nita pa tu simu, nachomoa line, achimbe nayo tu. Ngoja nimuombe Leila akizingua nimpe simu huyu dogo, na leo Leila namla Tigo, sijawahi kula kiboga ila leo nakula, there is first time to everything. Sio kwa tabu hizi zote.
Kuingia ndani, alikuwa kashafungaa, nikamiomba pesa ya boda akatoa kwa manunguniko makubwa, bwana gani hata boda boda inanishinda kulipa, yeye hafugi mabwana kabisaaa. Nikampa dogo nikarudi ndani. Nauliza kama baba mwenye nyu,ba bia zangu ziko wapi 370,000 sio mchezooo. Inatakiwa kuwe na creti. Akanionesha Kvant kwenye friji. Nikaghairi. Sikutaka kujirudisha nyuma kwenye mechi ya kumkoma nyani gilali.
To make conversation nikamuuliza mbona Leila nunda sanaaa? Kwanini alimminya yule kaka korodani. Ubabe wa kupigana na wavulana kautoa wapi.
Leila ananiambia mimi baba yangu dereva malori, wanamjua wenzie wote wanamuita babuuu, aka kubwa la maadui. Mama yangu kungwi. Baba yangu pale sina mzazi, sina mzazi kabisaaaa. Sinaaaa. Babu katili lileee usipime.
Kuna utingo alimdhulumu pesa 400,000 tu, alipewa na tajiri akamrusha mzee, akasubiria siku akamwambia toa jiwe chini ya lori, ile anatoa alimkanyaga mguuu. Mpaka leo uncle ana chuma mguuni, akasema breki ilikata, ila akiwa uncle hayupo anasema nimemkomeshaaa, pumbavuuuu.
Alimpa mwanamke kiwanja, kakijengaaa, wanajenga wote, jumba limeisha, anamwambia naolewa na mtu mwingine, alienda kutia mafuta na kibiriti. Nyumba yoote iliwaka moto. Kupelekwa polisi akasema mi niliona moto nikaenda kusaidia kuzima, akaachiwa, na hivi mtu mzima wanamuonea imani.
Kusafirisha wasomali ndo kazi yake. Anawaficha kwenye lori miaka nenda, miaka rudi. Ashajenga jina kwa wasomali, dereva gani bora ku smuggle watu, Babuuu. Sasa malezi ya mtu kama babu unategemea yalikuwajeeee, usipimeeee.
Yaani baba bwana sikuwa na baba. Ukienda unalia baba nimepigwaaa, anakuongezaaaa bakora, acha kulegea, utaliwa Tigo uje unishtakie nimeliwa Tigo, nitakusaidiajee unadhaniii, pambanaaa kike huko. Dunia sio rahisiii. Nikawa nikipigwa napiganaaa, napiganaaa mpaka nishindeee. Wakija kushtaki, anatoa majibu mepesi tu. Baadae ananipa soda, kunywaaa, safi sanaaa, usiwe bwegeeeee.
Nikawa mbabe wa mtaaa. Siku mdogo wangu anaitwa mamuu, nimekaa Baby kaja kumita, sielewi sielewi. Nikahisi kamuitia bwana, yani anafanya ukuwadi mbele yangu anamuuza dogo. Nikakata Mamuu vibao baby kakuitia nini, akasalimisha ki meseji cha mkaka. Nikakisoma, nikamfata baby kwao, namuita uwanjani baby nnoo mwenyewe kabla sijaja kukupa makaratekaaa. Akagoma. Nika fata ndani kwao nika burutia uwanjani, kota, nikamkunguta mbele ya mama na wajomba zake. Nilimkungutaaa, nilimkungutaaaa.
Si unajua uswahilini, habari ikasambaa mtaa mzima. Jioni baba kaniletea mbuzi liko 2, safi sanaaa. Mwendo ule ule. Shwari mwanangu? Nikamwambia shwariii. Ananiambia kaza hivo hivo, dunia sio rahisi ukilegea watampenya Tigo mdogo wako. Yoyote akimkuwadia mdogo wake pigaaaaa, wakikupeleka polisi nitakuja kukutoa. Maisha ni kupambana labla kitu hakijatokea, kikitokea ni too late.
Basi kupigana niliacha ,wenyewe sekondari, nimeona mabwana wananiogopa, nikasema mambo gani haya, sipigani tenaaa. Hapa nakomaa tu kujilegezaa nile vichwaaa. Ila ila mtu akiniletea ujinga ujinga namkunja vizuriii tu.
Mmmmmmmh! Nikapata uhakika Leila sio mwanamke wa kuoa, siooo siooo hata kwa kumtaniaaaa. Hafai hata kwa mboleaaa. Hafaiiiiiii. Hapa hio Tigo kama kweli ningekuwa mlaji si unaweza stukaa kanivunja uuume mie. Hahaaaaaa! Yani anashika anavunjaaa nkaakaaaaa nishakuwa hanisiiiii. Huyu sio wa kwenda nae kimabavuuuu. Naenda nae ki diplomasiaaa tu. Kama mabavu nimfanyie yale calculated samaaa.
Akaanza umatonyaaa pale pale sijui ndo mbinu ya kuwafukuza mabwanaa, kama ni mbinu ua 1947. Anasema kuna mzigo unatoka ati yuko short $500, nimsaidie. Nikawazaa nikasema hivi lwa uchi gani alio naoaaa mpaka mapesa yote yanitokeee? Una tv ndaniii? Au microwave? Ila nikawaza nisipotumia busara hata hio 370,000 sitoipataaa.
Nikawambia $500 tu baby like 1.2 ngoja nikutumie. Nikamtumia taja namba, bila haya nalo linataja. Nikaandika ile namba, nikarusha 1.2. Sms akaionaa kabisaa. Umepokea 1m toka kwa Ceasar kwenye namba ya voda na kilo 2 toka Tigo. Basi malaya kwa pesaa akaanza kujilainishaa kama boflo kwenye chai.
Nikamchanaa live, Leilaaa kwa hio 1570,000 you better be worth that money, you better. Nimelipia i expect nothing but the best from you, uchi wa kulipia sio sawa na bureee. Kwa hio hela everything is on the menu. Sitaki kusikiaa usishike huku usishike kuleeee, sawa sawa mama? Akachekaaaaa. Wewe mla Tigo? What do you mean everything is on the menu? Tigo silagi wala sijawahi kula, ikabidi nimbadilishie gia angani, nitake radhiii, mimi mtu na heshima zangu nafanyaje upuuzi kama huo wa kusukuma mavi? Mimi sijawahi na wala sina mpango wa kula tigo. Kama unaliwa tigo niambie sasa hivi nijikatae. Mwanamke anaeliwa Tigo ni big turnoff kwangu. Namuheshimu Mungu wangu kufanya huo uchafuuu." Mie tenaaa .
Ashajihakikishia Tigo haiguswi akajiletaaa, moyoni nasema bahati yako sio mla Tigo ila at the rate you are going soon utaingia choo cha kiume na kutatuliwa marindaa, ila nakuaminia atakae jaribu utamvunja uume na kumngoa vipira na kuwapa donkey, sijuiiii. Nikatabasamuuu tu. Ila leo utaninyonya mpaka korodani sio kwa hela hio.
Alichonifurahisha nikaona condom anatoa mwenyeweee kwenye drooo, nikasema atleast ana jali afyaaa. Angesema ananipa kavu ningenawa tenaaa kwa mara ya 2. Kwenye mechi yuko vizuriii sanaaa, mama yake si kungwiiii ashasemaaa. Mtoto wa kungwi nae kikungwi kidogo dogo. Alinilizaa maninaaa, usimsimuli mtu ndugu msomajiii. Unapata rahaaaa mpaka unaanza kuliaaa. Humuelekeziiii. Afu ananiuliza umekomaa ua badooooo. Mpakaaa namwambia basi Lailaaaa basi. Worth every dime of the money niliompa. Sijawahi kununua uchi ghali kwa pesa hio, moyoni nikasema sitaki tena nyuchi za bureee, bureee, wanaouza nyuchi zao wananjiaminiii hudu,a yao ina TBS. Kama nyuchi za hela ndo hiviii basi nawekeza kwenye nyuchi rasmiiii.
Mechi inaishaa nimesuuzika kabisaaaaa. Sina hamuuuu. Akaniuliza kwani tunadaiana kitu. Nikajibu tu hapanaaaaa mama. Akanidaka Komaaaa, mama yako aliokuzaa. Sasa sina lengo la kuendelea kulipia ule uchi, kwanza gharama ni kubwa nisingeiwezaa, kuendelea kula nataka, ila nataka niwe nakula bureeeee, sasa nakulaje bureee. Nikapata wazo la kumpiga siasa tantalila, nimuweke kwenye 18 zangu niwe najisevia.
Nikaanza Leila nakupenda sanaa. Nikasikia ishia hapo hapo, tusifanyane watoto, wewe una mabibi na mimi nina mabwana kujifanya tunapendana tuko wawili tu ni uongo, na uongo wenyewe utaishia wewe kutaka kunipiga Free Pumbu, unichakazeee kama ulivowachakaza hao wengine.
She is 3 minutes ahead. Ila nikakomaaa Leila mi nataka kukuoa serious. Akaniuliza umeoa wangapi mpaka leo? Mama Juma mpaka kakuzalia kidume, still not good enough for you, mimi je unioe kwa lipi? Sikia mi nina nyumba, nina magari, mashamba, mtaji, akiba, UTANIPA NINI. you can keep your last name kiroho safiii.
Na mimi sikati tamaa, Leila kwani lazima nikupe kitu, na mimi magari ninayo, majumba ninayo, shamba ninalo heka 100 la miti, mtaji ninao, akiba ninayo. Ila haya maisha vyote hivo haviwezi kukuzika. Binadamu ndo tunazikana. Kuna leo na kesho, you need someone to have your back, all day everyday mimi huyo sasa mumeo and i need someone to have my back, wewe mke wangu, istoshe huna miaka zaidi ya 19 mkononi ukigonga 50 and you are 29 unabakia story tu, hutomataa inatakiwa uwe unajenga legacy ya binti yetu, unaishi tena kupitia binti yetu. So the time is now. Your badass and everything ila mda mwingine life just needs you to be smart.
Akawa anawazaaa pale, sijui anawaza nini. Nikaenda kuoga, nikamkuta bado anawazaaa. Nikasema hapa hapa. Nikamwambia mi naondoka naomba nauli. Akaniambia chukua humo kwenye droo. Hamad nikaona kibundaaaa. Nikasema hizi ndo zile hela zanguuu. Na hivi gizaaa. Nikazisuntaa kwenye combat yangu. Beba simu. Nikambusu kabisaa mdomoni kama sijatoka kumkwapua kwenye droo. Namuuliza when am i seeing you again? Anadenguaaaa. Nikamuaga tu nikasepa.
Kufika tu nje kwenye kona, nikawapigia Voda, customer service kupokea, nikamwambia nimetuma hela ila namba nimekosea shilingi 1 million, akasema itarudishwa kaiblock haiwezi kutolewa. Nikapiga na tigo kuomba ile 2000000 irudishwe. Huyo nikazama zangu Club.
Nikarudi majogooo kulala. Kuamka nikaona sms hela zimerudi. Moyoni nikasema HII BONGO DARESALAAM ALIEUZA CHENI BANDIA, KAPEWA PESA BANDIA. Maninaaaa kweli. Nikaona missed 10 Leilaaa. Nikaingia kuoga. Haliwi mtu kiboya boya. KWANI TULIANDIKISHANA?
ITAENDELEA KESHO.