The return of Godfather.
Kiukweli it was hard to believe nimelala pale kitandani for 5 good years. 5 good years msomajii. Wanangu wanazaliwa wanakuwa nawaona tu kitandani. Wanakua wananiuliza dad when can you play ball? When can you come to school. When can you take out to dinner. Sio position rahisi.
Nashukuru mke wangu kwa kusimamia show. Kama ningekuwa sijaoa sijui ningefanyaje. Familia unaweza kuiona sio ya muhimu hivi mzimaaa, una nguvu zako. Siku yakikukuta kama yangu ndo utajutia kutokiwa na familia. Ikumbukwe familia sio watu. Familia ni watu wenye upendo na kujali na kukuthamini katika hali zote. Unaweza kudhani una familia kumbe huna.
Mi nina ndugu wengi tu, wako nje walikuwa wananitegemea kwa kula, ada za watoto, kulipia mortage, kila siku emails za kunisalimia, emails za kunialika niende. Nimeumwa hapa miaka mi 5 hakuna aliepata nauli ya kuja kuniona kweli kweli kabisaa? Of all people hata mmoja? Hata mara moja. Emaila za pole nazo zikaanza kupungua kadri miaka inavoenda mbele mpaka mwishoni email ukiipata new year unashukuru mpaka new year nazo zikaja kufa kabisaa.
Kiukweli ndugu pekee niliekuwa nae ni mke wangu Leila. Ndugu wasomaji kabla hamjaleta maneno Godfather ulioa lini, umejipasishia tu usitake kuleta janja janja. Nawataarifu nimeoaaa nikiwa kitandani. Nikaona kabisaa wale ndugu USA wakanza kuulizia will, nikasema nikiondoka hapa wanatinga kupora kila kitu.
Siku hio nilijitafakari nikamwambia Leila, mi nataka kufunga ndoa na wewe, akkaubali. Familia ikagoma kwamba mtu mwenyewe wa leo wa kesho. Leila akasema unanioa mimi unaioa familia? Mi sina dini ila zamani nilikuwa mlutheri. Nikamuita mchungaji akaja kutupa mafundisho, Leila alibatizwa, akatufungisha ndoa. Wa wili 2 fikiria ndugu msomaji. Na wafanyakazi na marafiki basi. Ilikuwa ndoa ya kutia huruma sanaa. In my entire life sikuwahi kuwaza kama nitaoa kwa design ile. Ila nilioa. Mahari familia walikataa, sababu ya dini na nini, Leila akasema nipe mwenyewe mahari yangu. Sasa ukiwa mgonjwa unakuwa mtu wa kukubali matokeo tu.
Unajua kuna watu nimewafanyia wema mkubwaaa sanaa maishani mwangu ila sio Leila. Sijawahi na sikuwahi kumfanyia kitu cha maana. Hata siku moja. Nilimfanyia mambo madogo madogo tu. Sio mambo ya kutoka hadharani kujisifu flani nimemfanyia hili na hili. Nadiriki kusema Leila ndo mwanamke alie nipenda kutoka moyoni mwake.
Kuishi katika hali yangu sio mchezo ndugu msomajiii. We fikiria naninyea hapo hapo, najikojolea, afu mtu mzima kama mimi. Mwanzo manesi walikuwa wanafanya ila ndo wanagombaaa. Ile mtu anafanyia dhiki tu. Maana mtu anakufuta ndio ila analalamika "Bwana mgonjwa kunya ganiii hukuuu mavitu yananukaa namna hiii? Hata kama ndo pesa itatushindaaa bwanaa, chaaa chaaaa!" Usicheke ndugu msomaji sio mambo ya kucheka. Unakaa mda bila kubadilishwa.
Leila alikuwa hajajuaa na mimi kumwambia siweziii, naona kaelemewaaa. Siku ya siku ananibadilisha mwenyewe ndo kukuta nimeunguaaaa. Aligo,baa na kumfukuza nesi kazi mda huo huo. Akaleta mesi mwingine, ila hio kazi kuifanya tangu hapo akawa anaifanya mwenyewe. Miaka mi 5 ndugu msomaji, masika 5, kila siku iendayo kwa Mungu anafanya hii kazi na hakuwahi kuninyanyapaa. Anafanya kwa upendo mkubwa sanaaa. Alinipa moyo sanaaa.
Mda wote ananiongelesha kwa upendooo mkubwa. Msidhani mgonjwa mimi nilikuwa na shukraniii, mgonjwa kichefu chefu mie. Oooooh! Msinione hivi mkadhani. Kwanza nilikuwa nikiwaza Leila analiwa lazima analiwa miaka yote hii lazima kuna mtu anampunguza nyege, roho inanifanya paaah! Nawaona ona kina K na Ommy kuoa hawaoi wamekomaa, Mamaa maaa kawazaa Leila wamuite mama. Hawakauki kwangu vikao na kuitana nje.
Basi hasira zangu nakuwa gaidi kuliko mnavodhania. Akija Leila ni kumsimangaaa tu, kumsemaa tu, kulalamika tu. Mwanamke wa watu walaaa ndo kwanza anacheka. Nikimchenjia sana, ananiomba msamaha sasa sijui kwa kosa gani. Unasikia basi nisamehe mimi baba Tyron. Mradi tu mgonjwa mwenye gubu.
Na gubu langu likawa linazidi maana kuna mda namuona mke wangu ana nyege kabisaa. Anakushika shika, anakukonyezaa, macho analegezaa, anakuonongonezaa, mabusu mabusu, najua tu kina K na Ommy sijui wote au mmoja wapo lazima anafaidi mali zangu kmanina zake, nikipona wale wa 2 siulizi nini wala nini watanitambua. Biashara kwanza imekufa kwanini hawaachi kuja kwangu?
At the times i needed her most Leila alisimamia show sio kidogo. Birthday za wanangu wote wa 3, alikuwa anfanya sherehe kila mwaka, navalishwa pampers, suti yangu, nawekwa kwenye wheelbed, nakula keki from the wheel bed, na kusaidia familia kufurahi.
Mwanangu huyu wa kike kila siku alikuwa ana wish niende kwenye graduation yake ya vidudu. Sikutaka kwenda coz kwa hali hii i never liked to go anywhere anyways, cause watu wananishangaaa. Ila kakanganngania i should see her in school. Leila akasema twende. Nikawa sitaki kwenda kumuaibisha yeye na mwanangu.
Ila tulienda, and she was so proud na mimi, mpaka mgonjwa napata moyo. Unajua ile unajisikia na wewe u a familia inayokujali. Inayokupendaa. Nilifarijika sanaaa. Siku hio pia ni kati ya soku nilio ona umuhimu wa kuwa na familia.
All in all mda mwingi niliokuwa na Leila life was beautiful, ana utani mwingiii, ni mcheshiii sanaa, tunaongeaa tunaongeaaa hatumalizi. Afu anakuwa anakuonesha upendooo. Nikawaza asingekuwepo sijui huu mda ingekuwajee. Basi ndo nazidi kumpenda na kuwachukia kina Ommy na K.
Siku hio akaja Dr Vicky, shoga ake. Akawa anaongea na leila na mimi nasikiliza, anamwambia Leila there is a God that can make Godfather walk again. Kabisaaa, you jsut have to believe in him. Leila akadakia nipo tayariiii. Mi nawaangalia tu. Vicky akasema kuna muombeaji namjua nitamleta amuombeee. Leila akadakia tunamlipa bei gani, hata atake bei gani mi niko tayariii. Vicky akasema ni buree kabisaa. Leila akasema mlete. Akipona na kutembea mimi nitamuamini huyo Mungu.
Akaletwa muombeaji. Like i said i used to go to sunday school, somewhere arround life i lost truck of God. Ila najua kuna Mungu, najua bible najua kila kitu. Yule muombeaji akaja siku hio kwa hayo maombi maalamu. Hakuomba samaa akasema kuna mambo mazito ngoja kwanza akafunge siku 7 atarudi.
Leila akawa worried atarudi kweli? You will walk again. U esikia you will walk again. Siku ya 7 akarudi kweli na kuanza maombi. Nakumbuka ilikuwa saa 3 asubuhi, nilipoteza ufahamu na kuja kuzinduka saa 11 jioni. Nikakuta bado anaomba wanaomba mpaka jasho linawatoka. Nikasikia mkojo umenibana. Nikaamua nishuke nikakojoe. Nikajisogeza nikasogeaa, nikakumbuka nime paralyse, ila nikashangaa mbona nimesogea kitu ambacho sijafanya in years.
Maombi yakazidi nikapoteza tena fahamu nikaamka saa 7 usiku. Nasikia viungo vyote vya mwili ila tu havina nguvu. Yule muombeaji akawa anakuja wiki nzima, nikaanza kukaa kabisa, na kutembea kidogo kwa kujishika na ukuta, mpaka kutembea na fimbo, mpaka bila fimbo. Nikaanza na kukimbia kidogo kidogo. Nikawa siamini jamani kama mimi Godfather wenu nimeponaaaa. Leila alifurahiii sanaaa. Kila mtu alifutahi. Wanangu walifurahi sanaa.
Siku hio mke wangu kama kawaida ana nyege kibaoo, yale mambo yake ya kunitegaaa. Na mimi nilikuwa sina uhakika kama nimepona, nikawa naogopa kujaribishaa, nisije kuomba mzigo kumbe siuweziii. Na nguvu sina ndugu msomaji nguvu za soda. Ila wife alivoanza uchokozi nikasema mbuzi kufika kwa muuza supu sio kesi. Nakula mzigo hata ukinikausha nguvu zote. Hata kama ndo wewe msomaji kwa uchokozi huu wa leo ungekula mzigo.
Mi nimetoka mazoezi nahema, joints zote zinaniumaaa. Nimetoka kuoga nimekaa kitandani. Anakuja mke wangu katoka bafuniii, mtupu kabisaaa, namuangalia tuu. Kachukua bikini kavaaa, namuangalia tu, ananiuliza eti imenikaa vizuriii? Mmmmmmh! Nikaguna tu. Mziho nautaka sina uhakika wa nguvu zangu. Nahisi kabisa huku babu kachachamaa ila atamudu show za kibabe. Stroke sio masihara.
Mara ajipake mafuta miguuni anainama kabisaa kunibinulia tipaaaa, jamaniiii jamaniii huyu mwanamke hajafundwa kwao kuishi na wagonjwa huyu. Nikamkumbuka ommy na K wanavofaidi. Nikasema kuku wangu mwenyewe manati ya nini? Nikataka kumfata nikasema yule akili zake sio nzuri sanaa anaweza kunidandiaaa ikawa shida.
Nikamuita leila njoo! Amelegeza sauti nije kufanya nini sasa mi najipaka amfutaaa. Nikamwambia njoo nasikia maumivu mwenzio sehemu iniangalie. Akastukaaa! Akajua kwelii. Kaja, nyege zote zimemtoka. Anauliza wapi wapi? Nikaomuoneshea kwenye dushelele, hapo limechachamaa hatari. Akagunaaa, analeta nataka sitakiii. Oooh Kwani Dr kakuruhusu? Nikamuliza Dr ndo aliniambia nioe? Niguse basi ujue tatizo nini? Yuko mi sitaki Murder kesi? Unataka kunipa kesi ya kukuvunja na afya yako ya mgogoro, hii mashine kubwa mwenyewe unaujua mziki wake.
Hapo nishamkamata, nambembeleza haunivunji bwanaa, kifo cha mende tu, taratibuuuu, style ya mgonjwaaa. Nimemiss sanaa miaka mi 5, nipe bwanaa. Nipe mwenziooo. Hunionei huruma miaka mi 5 yote. Akaingiwa huruma yuko, ngoja nikanunue condom, sijaweka kijiti na kuzaa tena sitaki. Nambembeleza namwaga nje bwnaaa, si unakumbuka siku ya kwanza kunipa kavu uliniambianimwage nje nikamwaga. Anasisitiza ni mwage nje.
Nikajitutumua hivo hivo kula mzigo, ni mtamu kuliko nilivokumbuka, naishiwa pumzi mara kibao najikaza tu kibingwa. Mpaka nikafika mwisho, nikamwaga ndani makusudi yu, sio kwamba nguvu za kumwaga nje sina, mke wangu mwenyewe namwaganje ili iweje. Alinilaumu sio kidohoo. Kufika mwisho nguvu zimeniishia kabisaa. Kweli ukiwa na afya mshukuru Mungu ila nilikula.
Nikaanza mazoezi ya viungo na tarainer, kwanza leila nae akawa anafanya, ikawa amzoezi hayaendi, maana tarainer mkaka anashangaa mata.ko ya mke wangu, na hivi sijui uzee, kajiachia ndo yamezidi kuwa ,akubwa, nikamtimua kazi, nikaleta trainer mwingine na Leila nikamwambia kama unataka mazoezi tafuta trainer wa kike. Akaamua kufanya diet, ooh mume nguvu zimerudi na yeye anarudi in shape.
Period ilichelewaa, hapakukalika ndaniii. Ananilaumuuu kwa kumwaga ndani. Anasema haendi labour iweje iweje. Yeye ashamaliza. Mi namwambia kama mimba imeingia utazaa tu. Siku hio period ikaja. Alifanya party kusherekea period. Party kubwa tu. Watu wakajua kafurahi tu kumbe ana mengi. Akaenda kuweka vijiti fastaaa. Na mzigo nikaendelea kula kwa speed ya kobe.
Siku ya siku nikaamua kwenda ofisini, nawaza nishapona sasa nisimamishe tena business upya. Nimeenda ogisini najua nitakuta vumbiii, au kumetelekezwaaa. Nafika nakuta mlinzi getini akanigomea kuingia. Sikumuacha. Niaksema kama Leila kauza hili godown atanitambuaaa. Nikamuuliza boss hapa nani nashida nae. Akasema boss mama ila katoka anakuja usiku tu, sahivi yuko incharge Ommy.
Nikastukaaa! Incharge Ommy? Nikamwambia mwambie Ommy incharge wako Godfather kaja. Akamwambia kwenye simu, wakanifunguliaaa. Naingia naona mambo siayelewiii. Nikahisi kupigwa stroke ya kweli kweli sasa sio ya kulogwa. Maana naona shehena ya unga, kumbe biashara inaendelea kama kawaida.
Ina maana supplier aliendelea? Mbona kina ommy hawaniambii wala hawaleti faida. Na huyo mama incharge ni nani? Nacheki shehena nakuta unga wa Pink, Purple, yellow, black. Na una labels za majina kabiasaaa. PINK sugar, Yellow fever, Colour me Purple, Black Magic. Sielewiii. Nikaita Ommmy! Akaja fasta. BOSSSSSS! Good to see you! Anatetemeka.
Nikamuuliza nini kinaendelea? Boss mama ndo nani? Akasema si Leila boss au? Nikamuuliza nani? Leila? Akasema ndio si umemtuma aje asiammie ndo anasimamia toka imeondoka! Nikashangaaaa na kumuuliza nani kamtuma? Mimi? Ommy nae akawa ahaelewi kabisaa.
Namuuliza kwa hio Ommy na wenzio mmekubali kabisaa kuongozwa na mwanamke, kuuza unga wa purple, pink, yellow black, mmekuwa kama mashogaaa mnafanya vitu kishogaa shogaaa. Na pumbu zenu 2, 2 mwanamke anawazidi akili na kuwaongoza na midevu yenu. Hivi mna akili kweli? Naomba uite kikao cha dharura.
Ommy alipanic, akawa haelewi ila aliita kikao. Naona machangudoa wanawake siwaelewi wanaingia, namuuliza ommy what is going on? Hawa wnawake wnafanya nini kwenye sekta ya vidume. Ananiambia mapunda hao wapya Leila amewaleta, kasema wanawake wanapita vizuri transit. Nikamuuliza hivi kuna kitu chochote mmefanya ambacho mnaweza kuniambia bila kumtaja lLeila humo ndani. Bloody fools.
Na muuliza supplier amekubalije kutoa mzigo wakati naumwa na kwanini uko kama rainbow huo mzigo wake. Akasema hajalubali kutoa, huu mzigo wa ma supplier wengine Leila ... nikamkatisha enough with leilaa Leilaaaa. Sasa tunarudi kwenye biashara yetu ya zamani. Biashara ya kiume. Tunauza unga dume, haya ma unga ya rangi rangi hivi mna ata hata marinda nyie? Maana kuongozwa na mwanamke kila kitu mnafanya kike, kikeee.
Nikasimama stejini, kujitambulisha mimi ndo Godfather, founder na owner wa hii biashara. Nawaomba radhi mkw wangu Leila, alinishikia kidogo nikiwa naumwa pasipo ridhaa yangu, halijaharibika jambo, maadamu nimerudi mwenye biashara yangu, mke wangu nita deal nae nyumbani, ila this madness has to stop. We are going back to the old ways. Machangu warudi kujiuza hawawezi kuwa punda, na mapunda wazamni wakaze marinda kazi inaanza upya.
Akaonyosha mkono salehe, punda wangu wa mda mrefu, na mtu wangu sanaaa. Akasema "Godfather mi nakuheshimu sanaa sanaaa sanaa. Na nimefurahi boss, rafiki, ndugu yetu umerudi na kuungana na sisi hapa. Ni jambo la kumshukuru Mungu mno mno. Ila mimk binafsi siwezi kupokea oda kutoka kwako. Hukuwepo hapa miaka mi 5 huwezi kijana kufanya maamuzi ya pupaa. Tumekaa miaka mi 2 hatuna mzigo, tunakufaa nja, mama kafifght mzigo umepatikana. Ndani ya miaka mi 3 tu tunazungusha mauzo ulifight kuyafikia miaka 10, sisi in 3 years tunauza mara 8 yake. Sawa njia tunazotumia zinaweza kuwa za kike ila zinafanya kazi. Boss muda umebadilika, game ime change. Kaa na leila akuelekeze tushirikane ama la mimi nabakia na Leila."
Sikutegemea salehe nae kawa shogaa tena shosti wa Leilaaa. Tobaaaa! What is going on. Sikukubali kushindwa kirahisi na mwanamke. Nikatoa angalizo anaebakia na leila kushoto, anaebakia na mimi kulia. Hamuwezi amini wote walienda kushoto kwa Leila. Kulia alibakia Babuu peke yake, nae ansisitiza nakuonea aibu tu mtu mzimamwenzangu kwenda kule, ila mimi roho yangu Leila mtupuuu. Nilichokaaaaa ndugu msomajiii. Nilichokaaaa. Leila sijui aliwapikia nyama ya tako watu wote hawa, haiwezekani miakami 5 tu wanikane kama Petro. Nikamuuliza Ommy hadi wewe? Anaangalia chini kakomaa kule kule kwa Leila. Nikamuuliza K na wewe pia man? Anaanhalia pembeni kakomaa kule kule.
Ghafla akaingia Leila mwenyewe. Basi ndo wanzidi kuniangalia vibayaaaa. Akataharukiii kunionaaaa.
ITAENDELEA KESHO.