Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Asante,ila niliomba isiishe haraka!,,,naanza kulala bila story nzuri kama hizi ,,teamleila safi,
 
Haha teacher Naila nimekwisha jamani uuuh, nimepigwa kitu cha "GO BACK TO SENDER". Thank you Lara
Hahahaaaa....hiyo inaitwa "RETURN TO SENDER"...hakuna happy ending..sijui ile "they lived happily ever after" hiyo hakunaga.🙂🙂🙂🙂
 
Hah hahaha the ending is damn good for Us Team Leila! At least our happy ending. Heaven favours leila all the way.

CC. Samaritan siku nyingine utuige mi na Mahondaw kuchagua timu.

Heheh wapi timu naniliuuuuu na naniliuuiii, mkasirikieni Lara jamani sio mimi! [emoji1]


Hahahaaa Mie nilikua team Mujuni.
 
Mr and Mrs Mangi na Mr & Mrs Mnyalu vipi?????
 
Kwa niaba ya team lela tunakushukuru muandishi kwa kutufanya bado tuwe vinara wa ligi ya ujanja na mahabaa
 
Team MNYALU.Kama kawa kama dawa,tunachapa mademu kavu na ngwengwe hatupati,miti imekubali soon naenda kuvuna! Siishi kwa kujificha hata kidogo.
 
Hahaa team naila aka team wanga aka team waokota makopo mpooo??mguu wa punda huooo umeingia bila ky[emoji23][emoji23]...team siza naona mmekimbiana tayar hamuonekani[emoji3][emoji3]saizi mnauza chips tu kweli haya maisha hayako fair kabisa[emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri vile
 
Back
Top Bottom