Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Dude nishaweka X rated. Rudi nyumaaa nimeweka mda si mda


Nikisoma hali hii ya kukosa mzuka ikaendelea itabidi unitafutie contact za mafundi wa Siza..ila X rated zako naziaminia. Unaweza katisha kusoma katikati upate uhakika wa mzigo kwanza kabla ya kumalizia movie usijekuishia kubanwa chango na ngiri za ukubwani.
 
The return of Godfather.


Sikutegemea salehe nae kawa shogaa tena shosti wa Leilaaa. Tobaaaa! What is going on. Sikukubali kushindwa kirahisi na mwanamke. Nikatoa angalizo anaebakia na leila kushoto, anaebakia na mimi kulia. Hamuwezi amini wote walienda kushoto kwa Leila. Kulia alibakia Babuu peke yake, nae ansisitiza nakuonea aibu tu mtu mzimamwenzangu kwenda kule, ila mimi roho yangu Leila mtupuuu. Nilichokaaaaa ndugu msomajiii. Nilichokaaaa. Leila sijui aliwapikia nyama ya tako watu wote hawa, haiwezekani miakami 5 tu wanikane kama Petro. Nikamuuliza Ommy hadi wewe? Anaangalia chini kakomaa kule kule kwa Leila. Nikamuuliza K na wewe pia man? Anaanhalia pembeni kakomaa kule kule.

Ghafla akaingia Leila mwenyewe. Basi ndo wanzidi kuniangalia vibayaaaa. Akataharukiii kunionaaaa.

ITAENDELEA KESHO.

Hahahahaaaaaa., huu mstari umenichekesha sana, yaani nimejivika uhusika hapo nikajikuta nacheka tu.
 
Team siza mpooo??jamaa yenu kanusulika kua shoganacheka kama mazuri vile...halaf team naila vipi tena?nmataka kumfanya mwenzenu awe team no marinda ndio nini sasa??...
 
Back
Top Bottom