Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Sio kwamba nimerudi rasmi kwenye hii fani, hapana, i am gone for good. Hii ilikuwaga reserve, katika pita pita zangu katika story zangu nikaikuta hii imebakia, sikuitoaga kabisaa, nikasema no sweat ngoja niitoe. Sababu sina mzigo wa kuuza, so sina hela kwenye mzunguko for couple of days, na shemela wenu kaenda kwenye kazi zake zile si mnazijuaaaa stress level 200%, sio mbaya nikiwapa na hii story kuisindikiza pasaka cause niko page ya Mangekimambi 24/7 anyways niko online sio mbaya.

Tukutane saa 5. Angalizo ngombe nazeeka maini, speed imeisha kabisaa ya kutype, mda nao naweza niwe sina, msinipe pressure pressure.

My man Samaritan you nailed and smashed it already au ulinawa? Kama ulinawa umeniangusha sanaa.
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Sio kwamba nimerudi rasmi kwenye hii fani, hapana, i am gone for good. Hii ilikuwaga reserve, katika pita pita zangu katika story zangu nikaikuta hii imebakia, sikuitoaga kabisaa, nikasema no sweat ngoja niitoe. Sababu sina mzigo wa kuuza, so sina hela kwenye mzunguko for couple of days, na shemela wenu kaenda kwenye kazi zake zile si mnazijuaaaa stress level 200%, sio mbaya nikiwapa na hii story kuisindikiza pasaka cause niko page ya Mangekimambi 24/7 anyways niko online sio mbaya.

Tukutane saa 5. Angalizo ngombe nazeeka maini, speed imeisha kabisaa ya kutype, mda nao naweza niwe sina, msinipe pressure pressure.

My man Samaritan you nailed and smashed it already au ulinawa? Kama ulinawa umeniangusha sanaa.
Kama hii ndio ile The art of staying married .............. Basi utakuwa unairudia. Check vizuri.
 
Caesar

My name is Caesar, na jina hili nilijipa mwenyewe kutokana na maisha niliopitia nikajivika u kaisari wa maisha yangu. Nime hustle sanaaaa.

Ngogoooooo! Nikaitika pita ndani. Akaingia Kamanda mchizi wangu wa kazi zetu hizi za kuhustle. Akaniwahi, we boyaaaaa," kwanini hupokei simuuuuu. Unaniuziiiiiiii. Embu nipe kabla ya yote "Did you smash or not? Ssssssssssssss lile toto kama umeliacha sitokuelewaaaa kabisaaa, nitathibitisha pasipo shaka yoyote wewe ni shoga tena mwenye vyeti vyake, nafuuu hata Bashite hana vyeti. Hahahaaaaa."

Nikajiwahi bwana its complicated kuliko unavodhaniiiiaaa, i almost did SMASH." Akaniwahi you said ALMOST so you didnt, mothe facker, come on, the chick kakuita mpaka kwake, she wanted it, she wanted you to give it go her. Maninaaaaa. Ukakaa tu pale, baadae ukaokota kende zako kurudi kwako, mxiuuuuuu. Embu nipe details.

Iko hivi, nikaamua kumpa ishu nzima. Tnere are so many unknown issues kwenye eqution. First the chick sio wa kishua kabisaaa. Nimeona pale kasoma Tambaza, kasoma na Forozani. Namuuliza anafanya wapi, hafanyi kazi kokote. Ila kapanga nyumba nzima, ana Premio , yuko vizuri hatariii. Nikamuuliza unafanya nini, nae akaniwahi kwani wewe unafanya nini? What was i supposed to tell her? Nikaua swali kwa kubadili topic.

Plus sio kama wanawake wengine, she is so calm, i could say uninterested ila something in between. Mama Juma alipiga simu right in the middle imagine na lawama nyingi tu kuhusu matumizi ya mtoto, ikaishia tukatukanana kama kawaida na kumwambia mtoto si wangu namsaidia tu kulea.

The beach hakustukaaa, hakuwa surprised,wala hakuuliza kama nina mtoto wala nini, yupo tu. Ikabidi nianze kujielezea kuna mtoto nasingiziwa ila sababu nina roho nzuri nam
Ea ila imekuwa kama deni. Akauliza tu unamlea toka kazaliwa? Nikasema ndio. Akauliza ana umri gani? Nikamwambia 3 yrs. Akasema huyo ni mwanao. Si anakuangalia usoni anakuita baba? Huyo ni mwanao kabisaaa. Anaesingiziwa ni huyo mwingine. Ningekuwa wewe mtoto nimehangaika nae miaka mi 3, hata ziletwe DNA, Zifanywe mila, sielewi chochote huyo ni mwanangu and no body could ever tell me otherwise.

It was kind of sexy, her determination, knowing what she wants, and the confidence in her, i could tell this is the woman i wanted for me, forever. Nikajisiria uchi, nikamfata pale kwenye kochi, na kuanza kumpa kiss. Imagine hii mara ya 3 tunaonana tu, hatujaongea nini wala nini. Moyoni nawaza naweza kula mibao ya uhakika hapaaaa, ila jasiri la uchi haliachi ujasiri nikakomaa hivo hivo.

Ananipa ushirikiano kabisaaa, habishi, hasiti, yuko relaxed, yuko at easy. Moyoni nikawaza maybe cause hajui mimi ni nani, natokea wapi, nafanya nini. Itakuwa money effect. Siunajua mwanaume ukiwa na hela kuwavua chupi dada zetu ni fastaaa tu. Bt something katika convo ya mwanzo kikaniambia she could be real au malaya tu wa sh 10,000 najisumbua kichwa mwisho wa yote naombwa kifungua mikoba, yaaniii i was at cross road.

Nikaamua kupanda dau, kwenda next level, nikaigusa chupi yake, kama naivuaa si unanijua mi muhuniii, wala hata kusema siku ingine, sijui nini, walaaaa, hana hata pressure, nikazidi kukata tamaa. Usinikubali haraka haraka haipo kabisaaa. Nikaghairi, nikajitoa kwanza mikononi mwake nikamwambia i am sorry i was going too fast. Akasema to Okay. Jamaniii. Nikaaga nikaondoka. Hajanipigia simu mpaka mda huu na mimi sijapiga.

Ndo nataka tukae kikao cha dharura, tuone inakuwaje. Design mchezo mzima umenibabatiza. Kamanda nae ikawa kama hakutarjia kabisaaa. Nikabadili topic, Dr vipi, mtoto wa kichaga nay progress. Aaaaah bwana Dr mimi simuweziiii. Kwanza simuelewi kama baby daddy wameachana au bado wapo wote, maana nae hajaoa inakuwa kama wanatuchezea singeli hawa watu. Anadai wameachana bt they are friends, best friends. Hawapashi kiporo kweli?

Na isitoshe baby daddy yuko France anamtafutia na yeye Masters aende nchi jirani sababu yuko na mtoto so wawe close kulea mtoto mauza uza tupuuuu. Ukiachana na baby daddy the girls knows how to make money, kwanza huko wizarani boss, anauza na nguo, sahivi anauza na vitafunwa kwa tenda. She makes more than i would ever make.

I feel inferior,i just feel inferior, na hivi mzazi mwenzie nae ndo Lecturer, na wazazi wake Dr wa kishuaaa, wote ma lecturer. Nawaza nitaanzia wapi na ile familia. I just feel hopless and more hopeless day by day. I dont know. Design kina cha maji kirefuuu sanaa. Sawa mi mjasiria mali, ila wale wasomi mi nitawawezea wapi.

Daaaah! Kamanda alikuwa kashikwa pabaya. Nikaamua kumpa moyo. "Kama vipi potezea, mwanamke mwenyewe kazaa tayariii, tafuta kibinti kikupe yale mambo unapendaaaa." Hahhaaaaa. Tukacheka wote. Nikamdodosa "Hivi mambo anajua kweli yule, mchaga soma soma, Dr, au ndo anakupa kifo cha mende mwanzo mwishoooo. Hahahaaa. " Kamanda akatikisa kichwa.

"Mi yule kiukweli mambo anayonipa kawaida sanaaaa, hulinganishi na radhia toto la kimanyemaaa, hata robooo. Japo mashepu wote muleee muleee ila mmanyema anajua kulitumiaaaa shepu lake. Mtoto mbayaaaa yuleeeee. Sema hana akili hata mojaaa. Akili zake nitombe nikale. Umleee, umpe hela ya kula january mpaka december. Hana ambition, hana mawazo, hana goals, ye atiwe apewepesa ya kula maisha mubasharaaa kabisaaa.

Sasa Dr, kwanza hapokei hela yanguuuuu, hata iweje. Labda nimpe kitu sio pesaaa. Ana nikaba nimpe plansa zangu za 10 yrs later. Ananisimamia mpaka nime apply seminar za ujasiria mali Korea huko nimepata full sponsor, na pale wizara ya mipango kuna shoga ake, kazi zikitoka ananiletea niombe, she cares that i need to make money. Tatizo ndo mambo yake na baby daddy na ana mambo yake mengine madogo madogo yanakeraaa. Siwezi kukwambia ila ana unyanyasaji flani wa kichaga.

Mmmmmmm! Nikatamani kujua Kamanda ana yanyaswa nini na dada yangu wa kichaga. You know, nikatamani tu kujua. Nikampeleleza Kamanda, "Dr anakwambia uzame chumvini nini? Hahahaaaaaa! Maana huo nao unyanyasaji wa iana yake, na alivo shindilia msambwanda i can feel your pain. Hahahaa.

Caesar, acha uboyaaaa, usitake kunijua mpaka uvunguni na demu wangu. Tutakosanaaaa. Kamanda akaanza kubadilika kabisaaa. Nikabadilisha topic. Na kuanza kujadili mpira. Ila moyoni nikawaza sijui usiku niende kwa bibie kuendeleza nilipoachiaaa. Hata kama nitaamua vingine nile kwanza ndo la muhimuuuu.

Nikawaza na mwanangu anapata shida mama yake bata mtu, anapenda sanaaa bataaaa. Ugomvi ugomvi wote akipata pesa ni ya kula bataaaa. Ku spend, na kufuga mabwanaaa. Kiukweli siwezi kulalamika sanaa maana hata wakati sina kitu Mama Juma alinifuga sanaaa, na kunipa Free P za kutosha mpaka kubeba hio mimba.

Na mimba ndo ilinifanya niwe jasiri nikajiingiza kwenye kubeba unga, nikiwaza mwanangu ataishije, na familia nitaitunza vipi, nikajilipua. Baadae kuja kujua mimba tunalea wa 2, mwenzangu akasusa na mimi nikasusa, akaja baadae kunipigia magoti mimba ni yangu. Basi tu mi ni mpole nikakubalia sababu kuna uwezekano asilimia 50 mimba ni yangu wacha nilee kama si yangu Mungu atanilipia. Mpaka leo ndo nalea.

Baada ya kuzishika za kubadili mboga, kupata wanawake sio kazi. Nimewavua chupi sanaa hawa watoto wa chuo, bank bank huko, serikalini aaaaaahhhh kwa tani yangu. Kanuni yao ndogo tu, wape lift, nunua bia kwa wingi, gharamia starehe, wape nauli ya kuondoka, nafanya kuwa block tu kwenye simu yangu.

ITAENDELEA KESHO JIONI.
 
Sio hii Part 2, ile ilikuwa wanandoa hii ma bachelor, single mother, single father etc, thank lakini kwa kunikumbusha
Looh Lara huyo, i miss you so so much,huwa nakumbuka ulivyorudi kanisani,thn mchuungaji akukuunganisha na bi mkubwa mmoja hivi,mkamtafutia mtoto wa kinondoni full kumfundisha kupiga deki.......teh teh teh.....una hadha weye mamboe kadha wa kadha
 
Back
Top Bottom