Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Hah hahaha the ending is damn good for Us Team Leila! At least our happy ending. Heaven favours leila all the way.

CC. Samaritan siku nyingine utuige mi na Mahondaw kuchagua timu.

Heheh wapi timu naniliuuuuu na naniliuuiii, mkasirikieni Lara jamani sio mimi! [emoji1]
Team waokota makopo aka team wanga(naila) na team siza naona wamepoteana tayar [emoji23]
 
Ceasar was the best although he didnt make it to happly ever after but sijajutia kuchagua kuwa timu yake team ceaser tujipanguse vumbi mambo ni mbere kwa mbeeereeee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahahaha Team Leila tunacheka tu, tuliwambia Leila ni kubwa la maadui[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Asante Lara kwa kutuma rahaaaaaa,

Kama naiona vile ile team ya nyota, ya uchiz wakipeana pole na team ya nyota ya chips[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lara kamaliza story kiujanja janja tu kwan Siza aliuza yatch?au mbona unatuchezea makaratee
 
Lara thanks though story umeikatisha jamani au wataka kuwa bongo movie
 
Team mnyalu tumepotelea mafinga ndani ndani huko hata Lara moko hakujui.
 
Lara 1 kauza mechiiiiiii, yan Caesar the don akauze chips vumbi?
Maskharaaaaaaa
 
Kwa wauza unga ipo kuna jamaa naye alikuwa kama huyo ceaser akadakwa italy miaka ya 90 hivi akapigwa mvua za kutosha wakakomba pesa zote na mali zake kitaifishwa na kipindi hiki simu sio nyingi basi familia subiri miaka 8 sijui ile wakafanya ile kuhani msiba kuwa jamaa amekufa miaka ya elfu 2000 hivi kaibuka amechoka hatari akasema alidakwa na unga italy akafungwa ila alikuwa kama kapagawa mwenyew anasema wamemchoma sindano ya uchizi yuko mabibo hostel ananunua vyuma chakavu
Akihadithia bata alizokuwa anakula mmh
 
Kipande cha kwanza ndo naanza kukisoma taratiiibu bila haraka shukrani kwako Dada mkubwa Lara 1
 
Niko apa nasoma moja baada ya nyingine taaaratiiiiiiiib
Ila uyu mama Leila a.k.a. Mrs mnyalukolo ni kiboko hahahaha nywele za ikulu anaacha mda gani vilee
 
Back
Top Bottom