Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Acha tu ni bet team maana hawa Mapapa Bashite hakawii Kuwaita ijumaa centro MIMI TEAM MNYALU
 
[emoji23] [emoji23] yule mwanamke mwanga kama alianza na hajafanikiwa atarudia tena mjiandae tu...ila mna bahati sasa hivi tungeanza kiwaita team no marinda[emoji23] [emoji23]
Naila mchawi mkubwa kapotea baada ya godfather kupigiwa maombi ya nguvu,isijekua huko aliko kapoteza network [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] yule mwanamke mwanga kama alianza na hajafanikiwa atarudia tena mjiandae tu...ila mna bahati sasa hivi tungeanza kiwaita team no marinda[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ety team no marinda.. Siza bandidu kuliwa marinda hakupo
 
Duh mpaka nimewafikia.... Heshima yako Lara1.

Mie team Leila fighter
 
Laraaaaa,,plz cha kulalia,,ts an addiction,,narefresh kila dakika,,cant sleeep
 
Mi nilijua baada ya Godifaza kuombewa na kupona ataokoka...kumbe karudi mzigoni tena with one goal in sight
 
[emoji23] [emoji23] kuokoka si kitu rahisi rahisi wewe..ila mi niko nae tu hata aende kuzimu
Sasa alichokuwa anamkatazia mama watatu asijihusishe na ngada business ni nini? Binadamu ni mjanja akiwa mzima ila akiumwa aaaah!🙂🙂🙂🙂
 
Sasa alichokuwa anamkatazia mama watatu asijihusishe na ngada business ni nini? Binadamu ni mjanja akiwa mzima ila akiumwa aaaah!🙂🙂🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakutaka familia nzima iingie kwenye ngada. Alikuwa anajua mikiki ya huko
 
Back
Top Bottom