Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Upo kama mimi mkuu kuna story moja ya kina walter ilikuwa inanifanya hadi nakosa usingizi nawaza tu kesho itakuwaje
Hahahaa mimi upepo niliusoma toka mwanzo nikajiweka pembeni kwa kuwa upande wa muhaya mmoja anaitwa Mujuni.
Niko emotional Sana. Hapa tayari natetemeka bifu lilipofikia. Ndio maana hata mambo ya kushabikia soka nilishaacha kitambo vinginevyo ningeshatangulia mbele ya haki.

Nimeamua kuwa moderator tu kwenye hili DUDE. Umepotea sana mkuu kidogo tutume kikosi kazi kukutafuta...
 
Nimechungulia nikajua Lara ametupa kitu cha kushushia sikukuu kumbe holaa.
Afu timu Siza nawaona tu mnavyojikweza, sifa ya siza ni za kawaida kabisa hata msimkuze hivyo tangu anatoka jela akili zake zimedumaa, uwezo wake wakufikiri umekuwa mdogo mno, ngoma yote imechezwa na Naila misifa anaibeba Siza heee kivipi yani! Mpeni credit zake mtoto Naila ze Teacher , kwanza mtoto anaakili zimetulia anapanga mipango inapangika, bomba limefunguliwa huko msifikiri kwa fikra za Ceasar, hana uwezo huo jamani hahahah, msinile nyama jamani huo ndo ukweli hata kama unaumaaaa. Tatizo la Naila nae mtoto mwanga sana huyu, yaani yake hayaendi hadi akafanye ugagula heavy! Nyie tulieni tu Leila ndio kiboko yenu.
Afu nimewashtukia timu Ceasar wote ni wapiga wanawake, tutawafungaaaa ohhhh [emoji12] [emoji12] Jiangalieni nyinyi! [emoji379]
 
Back
Top Bottom