Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

Mmmmmmh me sina team, nkiona huyu ana makosa baadae km ana play part yake vzr makosa namhamishia huyu khaaaa, me team lara bac
 
mahondaw naona unafurah mwenyewe hapo aseee [emoji19] [emoji19] team Siza tuna ushindi wetu.
Mpira dakika 90 mkuu relaxxxxxx

Labda kama wataongeza 30 ngoma iwe droo matuta ndo yataamua


[HASHTAG]#TeamLeilanomatterwhat[/HASHTAG]
 
Vick alipo anajuta kujibebisha kwa Mangi.,.. I guess Mangi hawazi kingine zaid ya chipsi zake [emoji12] [emoji12]
Tehteh mangi kafuliaa
Dokta Vicky akizaa mwingine ndo itakua balaa kabisa mangi weeee yesuuuu na maria
 
Back
Top Bottom