binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,434
- 41,996
Woyo woyooooo Timu Leila for hatuyumbishwi !
Ofcooooooooooourse!!!!!!Woyo woyooooo Timu Leila for hatuyumbishwi !
Mfunge na kuomba sio kwa kuparalyse kule!Team godfather
Sisi wazalendo tumechagua timu kitamboo , watu wanahamia kwa leila sa hivi hawamjui Lara alivyo mfitini zaidi ya TFF, the fact is Leila was a little miss street hustler since day one, basi tutaenda nae popote!Weeeeeeh shogaa lara hatabiriki huyu kwa kubadilisha gia angani hana mpinzani
Mpira dakika 90 tuombe Mungu
Mwisho unaeza kuwa mchungu kuliko uchungu wenyewe
Sisi wazalendo tumechagua timu kitamboo , watu wanahamia kwa leila sa hivi hawamjui Lara alivyo mfitini zaidi ya TFF, the fact is Leila was a little miss street hustler since day one, basi tutaenda nae popote!
Pamoja sana.. Nina wasiwasi na lara huyu hachelewi kutupiga midole watu wazima na timu zetuSisi wazalendo tumechagua timu kitamboo , watu wanahamia kwa leila sa hivi hawamjui Lara alivyo mfitini zaidi ya TFF, the fact is Leila was a little miss street hustler since day one, basi tutaenda nae popote!
Huyu Lara mjanja mjanja sana team Siza hata akibadilisha gia angani.halaf mi sikupendagi hapo unataka utubadirishie matokeo ..Team siza tunapinga vikali ujecha wako..aaaaalaaah
Naomba kuhama, kuanzia sasa mimi Team Leila, nimehama team Siza.
Nini sasa, Siza sio mama yangu wala baba yangu kwa hiyo No mapovu tafadhali.
Team Leila, bad beach, kubwa la maadui, zee la kufufua mipango iliyokufa, ni noma.
Mkuu me najijua, napenda Sana stories za namna hii na movies za namna hii. Sasa nikishachagua upande then upande wangu ukadondoshwa nitaumia sana. Mpaka story iishe sijui nitakuwa wapi siku hiyo, na timu yangu ikidondoshwa siku nzima itavurugika. Unajua story kama hizi ili zinoge jivishe uhalisia, nakwambia utapata pressure. Ngoja niwe msomaji mkuu.Naaaam! Kwa wale wazoefu wa movie za kutafsiri toka tupo vidudu naona picha limefikia Intamisheni.... Steven Robert Masatu chagua team baba acha longolongo
Mkuu me najijua, napenda Sana stories za namna hii na movies za namna hii. Sasa nikishachagua upande then upande wangu ukadondoshwa nitaumia sana. Mpaka story iishe sijui nitakuwa wapi siku hiyo, na timu yangu ikidondoshwa siku nzima itavurugika. Unajua story kama hizi ili zinoge jivishe uhalisia, nakwambia utapata pressure. Ngoja niwe msomaji mkuu.
Ila ukiangalia trend nzima ya story, Siza yupo katika wakati mzuri sana kutokana na yupo kwenye hiyo gemu muda mrefu sana, na ana experience ya kuanzia katika upunda, ogopa sana mtu aliyeanza na kitu from the scratch then akawa Don, huku anayo backup ya mbishi na mwenye nyota ya biashara Naila, kingine kitachomuweka vizuri ni kuhusu damu yake kwa Leila, Siza yupo katika good position ya to reconcile na Leila kwa kisingizio cha mtoto. Leila yeye anataka pesa na Maisha mazuri ambayo Siza anaweza kumpa vyema tuu.Hahahaa mimi upepo niliusoma toka mwanzo nikajiweka pembeni kwa kuwa upande wa muhaya mmoja anaitwa Mujuni.
Niko emotional Sana. Hapa tayari natetemeka bifu lilipofikia. Ndio maana hata mambo ya kushabikia soka nilishaacha kitambo vinginevyo ningeshatangulia mbele ya haki.
Nimeamua kuwa moderator tu kwenye hili DUDE. Umepotea sana mkuu kidogo tutume kikosi kazi kukutafuta...