Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Sirudishi nyuma juhudi mkuu!

Tatizo ni huyu mlokole mpya, hatabiriki wala haaminiki!

Sitoshangaa akianza kula vichwa kanisani.

- KANA -

Tuko team moja ujue...ila mie muumini wake. Atanipa japo ushemasi.
 
Mnataka iendelee ipi ya Joline na muheshimiwa waziri (episode 1)au ya Baba Winnie (episode 3). I guess Episode 3 itakua tofauti kabisa new names and new story.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechelewa kupita hukuu thnks lara kwa story nzuri na kunitag
Sikusagi cha kujifunza kwenye story zako
Story imegusa maisha ya familia nyingi ikiwemo ya kwangu popote mama angu ulipo kunywa soda ntalipa bill hakuna kama mama
 
Jamaniiiii! Muwe waelewaaa tu, mimi ni miandishi wa kujitegemea sasa mda mwingine kujitegemea ndo kunakuwa kama hiviiii. Mda si mda Naleta mambooo!
Kuweni wapoleeee, dude la sahiviii ni kama DAYS OF OUR LIVES labda litaisha December kwa mapenzi ya Mungu.

lara 1 na wewe siku hizi umeshakuwa kama Pole Pole. Kuna story moja nyuma (Nahisi ni part 2 ya Grass is always greener on the other side) ulisema hivo hivo kuwa ni ndefu itachukua muda, ila ulibadilika ghafla kama msanii Roma baada ya lile tukio.

Anyways, hata silaumu nawaza tu kwa sauti asee.,
 
So sad.. Tutakutag ata sisi..
Damn with all the name tagging and am nt on the list,i feel bad.but that's life it fucks us all sometimes.i better sip some champagne to soothe my heart.good night gal and all.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kubwa la maadui ndani ya jengo. Shusha dude mama nina visiku nilikuwa siingii humu nikawa kama mgonjwa.
 
Back
Top Bottom