Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Kwamba unapambana na maisha, kazi, biashara, vijiwe, mashamba nk kuingiza mkwanja wa maana familia isipate matatizo ya Fedha nk halafu hapo hapo muda unao wa kuspend na familia yako, unawapeleka watoto shule , unawasaidia home work, wife una mdrop na kumchukua kazini, mnatoka na familia kila weekend , birthday party zote, vikao vya shuleni, kucheza na watoto nk nk nk?

Anyway uzuri sina nguvu za kufanya ligi kivile lkn maisha ndiyo haya haya, tuna familia na tumezungukwa na wenye familia

Sio 100% kama ulivyoandika, but me ni mmoja wa waliobarikiwa na mzazi wa aina hiyo. Suala ni kuprovide na kumake sure unatenga muda wa kuspend na familia yako. Sio lazima mtoke every weekend au kumfuata mke kila siku siku +kudrop watoto shule kila siku etc. Ila at least unapata muda unacheza na watoto, unawasaidia na home works zao +kujua what's happening in their school's lives, mnanyoosha miguu pamoja, kama nyumbani mnakaa mnaangalia TV pamoja, you eat together, you pray together, you play together mfano unamwagia maua au unafix gari the kids are there etc. And yes my father knew all of schedules hadi nikiwa chuo (ananitumia card ya best wishes or texts kwa chuo) and birthdays anaweza Kumbuka siku 2 later ila atakuwish na kahela ka soda, above all home works zangu zote nilisaidiwa na mzee (primary) na nikiwa likizo kidogo, graduations ilikuwa inategemea tu yupo wapi ila akiwa around hawezi kumiss no matter what. So it's very possible, japo ni kwa wachache as I said
 
Hapa tunaongelea familia ndugu, na tafsiri ya kujali inabaki kuwa moja tu, uprovide na uwepo kwa familia yako. Haya ya kuanza kutafuta justifications za tafsiri ndio yanayopelekea mambo yanakuwa tafrani kweli kweli.

Kujali ndio pamoja na uwepo wako, kuwa baba ni zaidi ya kutoa pesa.

Akina baba sally nao majipu tu, ndio wale wanaojuaga wakitoa pesa ndio baaaaaaas wamemaliza, kumbe familia inawahitaji zaidi. Pesa muhimu but it aint everything, ndio maana waliishia kuvurugwa tu. Ukijumlisha na mama nae alikuwa kimeo ndio kabisaaaaa!!
Preach Sis, Preach! Timu roho mbaya tupo hapa kukuunga mkono, najua HS hakosi na Samaritan.
 
Bwanaaaa Apewe Sifaaaaa!

Kwanza kabisaaa katika jitihada zangu zoote za kuokokaaaa sijawahi kumuandika Mungu stpry ya kumtukuzaaaa. Imeniumaaaa sanaaaa hii issue.

Kwanza naomba mdisregard thread zangu zooote za nyumaaa! That is not the way to go in life. Whatever i preached that was not me! Nilikuwa na mambo yasiyo ya kawaida yananizungukaaa. Nashukuru nimefanyiwa maombi na mtumishi wa Mungu (ukihitaji namba yake nicheki Pm nakupatia ni mmama) na nimefungukaaa, hata ule mguu niliokumwa naumwa since 2013 nimeenda mpaka nje mguu usiopona umeponaaa. Mguu ule ndo ulikuwa mlango sasa wa mambo ya ajabu ajabu. Sasa kama ulikuwa unakubaliana na mafunzo yangu ujue something is wrong with you too. Sio mimi yule (Technically ni mimi ila sio mimi angalia degree of perfection of evil ndo utajua sikuwa mimi) Nawaombea Mungu awafungue kama alivonifungua mimi kwenye vifungo vyanguuu. Haleluyah!

Leo nawaletea weekend story ya Kumtukuza Mungu tu. Sio kwamba story hii mpyaaa, wala ya kitambo sema ilikuwa haiendani na old me! Ila kwa uweza wa Mungu alie juu nimewweza kuiandika kumrudisha Mungu sifa na utukufuu. Halleluyah!

Panapo majaliwa ya Mungu, tukutane SAA 4 KAMILI USIKU

STORY ZILIZOPITA

JE UMESHASOMA ZOTE HIZI? LIST YA STORY ZILIZOPITA!

Weekend Story! The Grass is always greener on the other side part 2

Weekend Story! DESPERATE!

Weekend story: Bad wives

Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side) part 1

Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Weekend Story: YANGA! (Naipenda yanga shabiki wa damu)

The Working Class, Savages in Suits

Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

THE DIASPORA! Life is a gamble; win some, lose some

The Forbidden Romance With The Priest! (Huba la padri lilivonoga) READER BE AWARE!

THE NIGHT WALKER! MMU LADY COLLECTOR OF ORGASMS! "I slept with them all and i don't regret it!"

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!
wow, i love the new Lara 1,God is good
 
Preach Sis, Preach! Timu roho mbaya tupo hapa kukuunga mkono, najua HS hakosi na Samaritan.

Nipo rafiki, tena nimenunua Biblia mpyaaaaaa nakula mistari tu sambamba na weekend story, huyu kungwi sijajua anachotutafuta anakijua mwenyewe ila ujio wake sio wa kawaida...kwani mzee wa kuliamsha dude anasfaafu?
 
Maisha hayajawahi kuwa fair namna hiyo, kubalance shughuli za kukuingizia kipato na social life la familia mpaka all members of the family wawe na furaha. Haijawahi kutokea
Inatokea, inategemea tu na mtu husika anaitafsiri vipi kujali, na familia kwake ina uzito kiasi gani. Kama kwako kujali ni kutoa pesa tu basi hapo lazima useme haijawahi kutokea.
 
Kwamba unapambana na maisha, kazi, biashara, vijiwe, mashamba nk kuingiza mkwanja wa maana familia isipate matatizo ya Fedha nk halafu hapo hapo muda unao wa kuspend na familia yako, unawapeleka watoto shule , unawasaidia home work, wife una mdrop na kumchukua kazini, mnatoka na familia kila weekend , birthday party zote, vikao vya shuleni, kucheza na watoto nk nk nk?

Anyway uzuri sina nguvu za kufanya ligi kivile lkn maisha ndiyo haya haya, tuna familia na tumezungukwa na wenye familia
Sio lazima iwe 100% but you have to try yo best. Usiweke ugumu moja kwa moja maana ukishafanya hivyo tayari unayo sababu itakayo kufanya usione umuhimu wa kufanya hivyo nafasi inapopatikana. Maana kuna wengine hata huo ubusy wa hivyo hawana ila ndicho kisingizio chao.
 
Back
Top Bottom