moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
Mweeh kweli ng'ombe wa maskini. Thanks ma'Hahahaaa!! Kutapeliwa tena!!
Heaven Sent kitu tayari.
Utume kwenye boti jamaan baba yoyooMama Yeyoo nashangaa nini? Bora kumkimbilia Bwana, haya yote yana mwisho!
Ubuyu wako unakufikiaje sasa?
CC.......
Kumbe upo mama, how are you?Ahhahha pole yake kwa kutapeliwa
Haya, team Dee tujuane mapema!
- KANA -
Leo haijapita ndo nawapikia dude hapa
Mama Paroko, Engineer, former komando Kipensi, naomba urudie kale ka mtindo ka kuandika namba unapopost ubuyu mpya ili wafuatiliaji tuweze kwenda na matoleo kwa mtiririko wa post. Nakumbuka kuna dude moja ulilishusha kwa style hiyo kila episode ulikua unaipa namba.
Unipitie kwenda kwenye mafundisho!!
Msiwazeeee! Hata saa 4 nisipotokea msikate tamaa nitatokea tuu!
Nipe tu mimi nitamfikishia.
Nipe tu mimi nitamfikishia.
Kama kawa kiongozi...always the same team. Ila ukubali kuokoka na kusali kwa kubwa la maadui.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna mgao wa sadaka?
- KANA -
Nipo auntie am good and uKumbe upo mama, how are you?
Ahahhaha mpe auntie yangu espy aniletee
Tunakusubili laraMsiwazeeee! Hata saa 4 nisipotokea msikate tamaa nitatokea tuu!