The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Wee kweli humpendi Dee...msomali hana kitu tena kama vipi wamteke tu![]()
Wamteke tena! Alishabaab unawasikia tu
Wee kweli humpendi Dee...msomali hana kitu tena kama vipi wamteke tu![]()
Hapa kuna chezo balaa linakuja muda si mrefu,mimba ya msomali,Tonny ataikomalia na atapewa ailee,afu msomali vuuuu ndani ya house weweeeeAcha kabisa mkuu
Hadi tumbo linatetemeka!
- KANA -
Nikawa naumwa tumbooo, naumwaaa tumbo nikaenda hospital, nikaambiwa nina mimba ya miezi mi 2 na week kadhaaa. Afu ina matatizo matatizo sanaaa, nikapewa bed rest.
HAHAHAAAAAAA, DEGEDEGE SIO SHIDAAA. SHIDA NAMNA YA KULIKABILINaona umewataja mapapa bado zile dagaa hahaa
HUYU JAMAA ANAHARIBU MUVII HII BWANA SI ANGEBAKI TU KONGOKumbukeni Sally na Dee washakaaa mezaniii! Nyie watu wazimaaa mjiongezeee kuka huko mezaniii vepeeee!
HUU SASA NI UCHOCHEZINdio maana kuna mtu alilalamika lara1 hajammention why? Nikamjibu ungewajua hao waliokuwa mentioned usingetamani kuwa kati yao. Banange! People are full of Savage.
Hapa nishaanza kushangilia hahaaKumbukeni Sally na Dee washakaaa mezaniii! Nyie watu wazimaaa mjiongezeee kuka huko mezaniii vepeeee!
Ushawahi ona hawara anapewa talaka?Sasa wewe naona unataka kubadili injini ya ndege angani na sio gia tena...inamaana usemi wa Shunie hawara hatalikiwi umehusika?
Sasa wewe naona unataka kubadili injini ya ndege angani na sio gia tena...inamaana usemi wa Shunie hawara hatalikiwi umehusika?
HAHAHAAAAAAA, DEGEDEGE SIO SHIDAAA. SHIDA NAMNA YA KULIKABILI



dohWewe tulia umeze dawa,msomali ndo anaharibu movie Dee ndo mmiliki pale msomali mpangaji tuHUYU JAMAA ANAHARIBU MUVII HII BWANA SI ANGEBAKI TU KONGO



Ushawahi ona hawara anapewa talaka?
We mtoto mbona unamaswali magumu sana?


me nimeuliza tu,mana sijawahi sikiame nimeuliza tu,mana sijawahi sikia
Wacha we!!!
Oooooh kumbeeeeh!!!!Kumbukeni Sally na Dee washakaaa mezaniii! Nyie watu wazimaaa mjiongezeee kuka huko mezaniii vepeeee!
Hahahaaa!! Ndio hakubaki sasa.HUYU JAMAA ANAHARIBU MUVII HII BWANA SI ANGEBAKI TU KONGO
Hahahaaaaa!!! Ndio position nilopewa sasa kwenye story na story ishaandikwa haibadiliki!!! Mie dada yako, anza kwanza kuniamkia.Eti! Wewe uwe dada wa TWH, sitaki tena hiyo nafasi...afadhali Shunie awe dada kuliko wewe, tena uwekwe mwanzoni mwanzoni kabla TWH hajachoka kupiga full picture!
Oooh kumbeeeee!! Nitajiongeza.Mkono mtupu haulambwi. Muujiza unaenda na chochote kitu..shauri yako!