Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Naona sahivi mnapenda midude ya XXXXXXXXX tuuuu. Sasa wasomaji wangu nchi huru nawapa chansi la kuchagua NIWALETEEE DUDE LA XXXXXX AU DUDE LENYE MAFUNDISHO KAMA LA WINI. WAHENGA WENYEWE WALISEMA WENGI WAPEEEEE. SASA MNA 10 MINUTES ZA KUCHAGUA.

Tunapoelekea nitakuwa muandika story za XXXXXXX. Mbona hivo lakini wasomaji

Mchungaji leo nimeasi
 
Naona sahivi mnapenda midude ya XXXXXXXXX tuuuu. Sasa wasomaji wangu nchi huru nawapa chansi la kuchagua NIWALETEEE DUDE LA XXXXXX AU DUDE LENYE MAFUNDISHO KAMA LA WINI. WAHENGA WENYEWE WALISEMA WENGI WAPEEEEE. SASA MNA 10 MINUTES ZA KUCHAGUA.

Tunapoelekea nitakuwa muandika story za XXXXXXX. Mbona hivo lakini wasomaji
 
Naona sahivi mnapenda midude ya XXXXXXXXX tuuuu. Sasa wasomaji wangu nchi huru nawapa chansi la kuchagua NIWALETEEE DUDE LA XXXXXX AU DUDE LENYE MAFUNDISHO KAMA LA WINI. WAHENGA WENYEWE WALISEMA WENGI WAPEEEEE. SASA MNA 10 MINUTES ZA KUCHAGUA.

Tunapoelekea nitakuwa muandika story za XXXXXXX. Mbona hivo lakini wasomaji
Leta hizo hizo za homa za usiku wengine tunachukulia kozi humo. Xxxxxxxxx
 
The End of one story is a begining of a new story.

Msomali mpaka siku anaondoka nimepima bila bila. Na nafsi inaniambia kabisaaa, hapa bwana ndo mwisho wa hii chapter ya Msomali. I didnt want it to end that way. I just didnt want it to end. Nikakaza nafasi na kumwambia baby we have good news. Etremely good news. Akafurahiii, ila furaha yake kama ilikuwa fekerooo fekerooo sema nini wasomaji moyo wa mtu ni kiza kinene. Akaniambia I know you are pregnant. Nikastukaaaa! Ila nikajikaza. Na kumuuliza how do you know?

Akaniambia naona unakula sanaa, una nenepa, una glow. Kwa mara ya kwanza nikashukuru ubongeee kunivamia, na umekuwa na faidaaa. Sikutaka kupress sanaa asije kugusia vipimo buree nikaumbukaaa. Nambembeleza kwa hio baby unarudi lini? We need you baby. I know its twins baby. I tried to pull a Wema Sepetu on Msomali. Namwambia familia yako tunakuhitaji.

Akatabasamu, akasema hata yeye ni pacha, sema pacha mwenzie alifariki kitambo sanaaa. So it could be twins. Ananibusu busu. Mi msomali mwenzenu namjuaaaa, ukikaaa na mtu unamjuaaa. Something was off key katika hili picha langu, all i could think is maybe kuna mambo yanamsumbua kuna kitu ananifichaaa. Sema sikujali sanaa, this is msomali, my msomaliii.

Tunabembelezanaa, nampa mateeee. Off key or not off key msomali hana ujanja wa kuchomoa ofa ya hili papa. Tutagombanaaa kote mpaka kushikiana ngumi, tukianza tu mambo ya papa kila mtu anasahau kwanzaaa yaliopita, wahenga wenyewe walisema yaliopita si ndewele tugange yajayo. Ndo tulikuwa kwenye kuyaganga sasa.

Mechi ikaanza taratibuuu, sikutaka mambo makuuu ya kuukaliaaa. Tukawa tunaenda tu kwa style romantic, missionary mwenyewe mzungu kaipa jina zurii wabongo kifo cha mende. Taratibuuu. Tofauti na siku zingine zooote, mi msomali sikuwa namwambia hisia zangu, cause si mnajua wanaume akijua unampendaaa anaanza kukupanda kichwani. Mi nilikuwa kavuuu tu namwambia kiutu uzimaaa kwa vitendo. Kama haelewi basiiii.

Siku hio nikaamua nimwambie kwa maneno, baby wangu anisikie kwa mdomo wangu mwenyewe natamka nampendaaa sanaaaa. Kupendwa rahaaaa. Sikuwahi kumwambia plans zangu an yeye ila siku hio kwenye mechi nikapanga kumwambia kila kitu, manake future alikuwa ana forecast tu,kwa hisia, ila nikata nimwambie kwa mdomo wangu, kusudi afahamu kutoka kwangu isije kuwa ananichukulia sivoooo. Na nikapanga nimwambie all this time how stood up for him against all odds, asichukulie poaaa, kama anataka kuniacha walau hilo nalo liwemo kwenye Cv yangu moyoni mwake.

Kuna njia 2 za kuingia rohoni kwa mtu, kwanza macho, pili masikio kupitia kauli au maneno. Macho yashaonaa sanaa, ila huu mlango wa masikio ndo nilitaka haswaa kuutumia. Nambembeleza "Baby unajua nakupendaaaa sanaaa. Watu wameongea mengi, wengine hawanielewi kwanini niko na wewe, ila mimi ndo najua thamani yako. Unaweza kwao ukawa mtu mdogo au kitu kidogo ila kwangu ndo kila kitu. Dunia ambayo wewe haupo mimi siitaki. You are my everything.

Sasa navomwambia haya maneno hasemi kitu, sasa aseme nini. Ila akawa ananisikia sawa sawia. Watu wanapendana kwa sababu flani either wanapata kitu flani, au wananufaika na jambo flani, au wana insecurity flani, most of the time penzi linakuwa na sababu, lakini mimi na wewe tunapendana sababu tunapendana. Tumeishi bila sababu yoyote. Naomba niseme nakupenda kuliko hata hili neo linavomaanisha.

Tangia umekuja masihani mwangu, umenibadilishaaa nimekuwa tofauti, huenda sijafikia unapotaka ila, mimi binafsi hata nikiambiwa nifanye mamuzi upya nitakuchagua tenaaa. Sijajutiaaaa. Nakupendaaa sanaaa. Mwanaume hata awe mgumu vipi mpe tu manenooo analainika kama siagi kwenye motooo. Ndo maana mwanaume kauli chafu zinamuumiza kuliko ngumi. Na kauli tamu zina mlegezaaa, hoiii hoiiiii.

Uwahi kurudi nije nidekeee, napendaaa sanaa kudekaa, mi sijawahi kuzaaa, ila najua ukiwepo wewe sishindwi kitu. Kuna ambo mengi kabla yako sikuwa nayamudu ila together we can do anything. Mpaka FULL PICTURE nimeiwezaaa! Akanifinyaaa. Ushaanza mambo yako, jiandae na kuukalia full picture. Hahhaaaaa! Akaanza kunibusu tenaaa. Naendelea kumpelembaaa, usikae hata sanaa, harusi ikiisha tu rudi, utuleee, tutazaa vitoto vizuri vya kisomali kama vya Eva. Tunakuwa na wanetu wazuriii, na mimi mnanifundisha kisomali nakuwa msomali wa kuahamia. Haya mambo yakuwa mi msomali yalimmalizaaa kweli kweliii.

Akaanza kunibusuuuu, na hakutaka kuzungukaaa, akaniletea mzigo full picture one way, nuksiiiiii. Ukanibabatizaaa sio kidogooo. Uzuri anajua nikashaelemewa anaipozaa kwanza kwa maneno kuniandaa kisaikolojia. Basi baby nishafika mwishoooo, Anaanza kupiga show ya mbwembwe mi honiii getini. Tukajikuta wote tunatukanaaa. Akauliza unaenda kuwasikiliza kwanza, nikamwambia maliziaaa. Sasa anajitahidi mambo hayaendi hivooo. Saikolojia ishavurugika. Akaenda.

Lidya na mumewe wamekuja kumsindikiza msomali airport. Nililaani. Basi tu. Tukaenda airport, kabla hatujatoka nikaona kadi yake ya bank ile ya duka la simu, kaiacha kitandani kama katia nia niione. Nikachunaaaa. Nikashindwa kuvumilia nikamuuliza mbona kadi umeiacha? Akasema narudi in 2 weeks tu haina shida. Roho ikazidi kuniambiaa stukaaaa. Mi najipa moyoooo.

Kina Lidya walikomaa mpaka mda wa airport. Njiani nikafanya akili tu ya kupitia boda la tababta sasa kuna maeneo kidogo yapo tulivuuu. Nikapaki gari. Anauliza vipi gari ina tatizo, namwambia no. Nimejisikia tu kukubusu. Aanashangaaa nalaza kiti chake cha gari. Ananiambia Sally tutachelewa. Mi sisikii nini wala nini, nikafungua flies za jeans. Hapo nimepndwa na mzukaaa.

Anasisitiza tutachelewaa, namwambia Namuaga H wangu, hatujaaganaaaa. Kumshika dudu kidogooo, aliekuwa analalamika kuchelewa mizuka ikampanda yeye sasa. Ikabidi nipandishe gauni, nishushe chupiii, nimkalie sasa. Msinichukulie poa ndugu wa somaji nimeikalia Full picture, napanda na kushuka mwenyewee. Yaye mrefuuu, asingeweza kunisaidia chochote na gari mnazijua zilivo ndogo nafasi. Yaani kupeana mambo kwenye gari sio sio sema basi tu.

Ila mambo ya ghafla ghafla yananogaaa hatariii. Nimekuwa fundi mpaka naukatikia mpingooo. Nikawa namchanganyaa msomaliii mpaka basi. Nilimlizaaaa. Hii midude mikubwa ukiijuliaaa raha sanaaaa. Unaimuduuuu fresh kabilsaaaa. Msomali kadataaa, nafasi kwenye gari ndogooo, utamu umemzidiaaa, anabakia tu kuningangania tu kama anataka kunipenya kwenye ngozi. Mpaka nikaridhika mwenyewe na yeye akakojoaaa. Tukabakia tumekaa vile vile kama dakika tano tumekumbatiana tu na baby wangu Msomali.

Nikamwambia ujue Msomali umeniharibuuu! Anauliza kivipi? Kwanza umenizoesha kunifanya fanyaaa kila siku kila mdaa, na umenifikisha katika sehemu ambazo sikujua raha hizo zipo duniani. umnizoesha mambo ya adimuuu kama haya. Unavokaa huko kaa ukijua matatizo ulioniachia sio madogo. Sijui kama nitaweza kuvumilia. Akanunaaa, Sally utaniuziii. Namwambia ndo uwahi sasa kurudi unihudumie maradhi yangu. Akasema baby promise you will always be faithful! Nikamwambia I promise.

Nikakumbuka ndege. Ndo kukurupuka na kuanza kuwahi. Kufika kachelewa ku check in, ikabidi akimbie kimbie mperaa mpreraaaa. Kucheck in. Ndo kuniambia baby wangu nimesha check in, thank you for everything, nakupenda sanaaa. Nitunzie mali zangu, nitaua mtu. Mahaba niue yakazidiii.

Aiseee umuhimu wa mtu utaujua siku hayupooo. Nimerudi nyumba kubwaaaa, na tupu. Niko lonely. Nikaona hakulaliki. Nikamuita Feisal aje kwanza kunipa company. Usiku niliuona mrefuuu. Yaani siku hio ndo nikajua kweli mimi msomali nampendaaa sanaaa. Tena sanaaa kuliko nilivokuwa nawazaaa. Nikawaza akija huyuuuu simfanyii tena mambo ya ajabu, ajabu.

Mpaka anafika tunawasiliana, mpaka picha za harusi kanitumiaaa. Tunaongeaaa usiku kuchaaa. Ikaisha wiki moja baada ya harusi. Nikimuuliza unarudi lini haelewekiii. Wiki mbili nikawa kwanza nina nyege balaaaa. Nikawa nime mmind kwamba mimi bwana nalala usiku natesekaaa, mimba inanisumbua njoo unipeleke hospital. Akasema anajua kama SINA MIMBA. Nikastukaaaa! Akasema alikuwa anaona vipimio vyangu mpaka siku anaondoka kwenye dustbin yangu ya bafuni vinasoma negative. He just didnt want to break my heart. Nisimuelewe vibaya alifurahi i was even trying.

Nikambembeleza rudi basi kwa mapenzi yetu binafsi, kweli mimba sinaaa. Akaniambia kuna issue anazi sort kwanza za kifamilia. Zitachukua mda nimpe mda. Nikamuuliza mda gani utamtosha, akasema miaka 2, au mi 3. Khaaaaaaaaaa! Alinichoshaaa sio kidogo. Sikuendelea kuongeaaa. Akanitumia sms nisimfikirie vibaya karudi shule kumalizia degree yake sijui nini. Nikaona huyu ashaamua kuondokaaa.

Nikamuuliza if you are leaving me niambie at least why, zile concrete reasons ili walau nijirekebishe au nijue tu. Anadai its not you. Roho iliniumaaa, huyu mtu wema wote niliomfanyiaaa, hata decency tu ya kuniambia ukweliii hanaaa. Basi tuuu nikashindwa kuvumiliaaa. Siku akaja kunitumia text nitakuwa sipatikani for a long time. Sikumjibuuu. Nikaamua tu kuendelea na maisha yangu.

Stress level 200%. Basi kila mtu anasema tulijuaaaa tu, kwani Sally we hukujua haya yatatokea, sijui nini. Kama mnamkumbuka yule bwege wa mwanzo rafiki wa Chriss alikuwa ananitaka kwa fujooo mpaka wakagombana na msomali akaaanza kuwa close. Atleast yeye hakujifanya mjuajiii kwamba msomali ataniacha. He understood. He was actually very nice sema we met in wrong times.

Dee ndo alikuwa anacheza Azontoooo. Ndo kuona karahisishiwa kazi. I was desperate ndugu msomaji mpaka kukaa mezani na Dee kuongea terms za kurudiana ikibidi. Nikajua Dee ndo pekee anaweza kunirudisha in my status perharps more. Alinifata direct oyaaa kama vipi Msomali kashasepaa, mimi nataka mzigooo huo siwezi kukubali aje aibuke boya mwingineee, mwenye goma nimekuja na nataka kurudiii. Nitakuhudumia achana na kufuga mabwanaa, njoo niku spoil.

The offer was tempting sanaaa, ila nikauliza Pendo na mwanao wanasimamia wapi katika hio picha yako. Yuko hayo achana nayooo, tuongeee yetu, mi Pendo niachie mimi nita deal nae. Yaani anatoa majibu mepesi kwenye kesi ngumu kama ile. Naachana nae vipi sasa? Nikaona huyu bado hana maamuzi anataka kula kote kote. Nikagomaaa.

Akaja juu kisa we umeachwa juzi, unataka na mimi nikimbilie kumuacha Pendo amabe hatujakosanaa chochote nikufurahishe wewe. Nikamwambia ndo maana bora muendelee na Pendo muoane mi nikae pembeni. Nalo hilo hatakiii. Sema mimi kanikutaaa. Terms zangu zilikuwa clear sitaki ku share na mdudu yoyote. Tukaacha vaguuu vaguuu.

The new guy, his name was Tonny, nilivomchukulia sivooo kabisaa alivo. Baada ya upepo kugeuka watu wakawa wanashangilia low key, yeye ndo akajitoa walau kunifariji. Ile uko wapi? Can i buy you bear. Tunatoka na kuhangout atleast ndo mtu pekee usiku utaisha hajamtaja msomali. Tuka hang out kama mara 3 tu. He was sweet, self made, ana pesa zake, ana kila kituuu just tu moyo wangu ulikuwa haujampendaaa.

Mwezi wa 2 tangu Msomali asepe, nimemaliza MP, nipo nyumbani nawaza tarehe kama hizi na Msomali ilikuwa oya oyaaaa. Afu nachukia kwamba despite yote still my body yearned for him. Nikawaza itakuwa kujiendekezaa tu. Nitamsahau, yeye kashanisahu sio bure. Tonny akanitumia sms, kuna this new place twende tukaijaribu. Nilitaka kukataa nikaona mawazo ya msomali yameanza mapema hakutolalika kabisaaa. Nikakubali.

Tumeenda tumekunywaaa, nikamwambia leo nikaribishe kwako. Design hakutegemeaaa. Akakubali. Tukaenda, kwake pazuriii sanaaa. Tukawa tunachill tu. Mijitu mingine mi boyaaa, mpaka nimeji invite kwakee bado anajishauri anile au asinileeee. Mi nakaaa kihasara hasaraaa tu, bado anajishukuuuu. Na mimi nina nyege, mambo ya kujibana siweziii.

Nikamuuliza mi nalala wapi, akanionesha. Hata hajatoka navua zangu nguo, nishavurugwa na maishaaa. Nikatundikaa na kujilaza na chupiii. Yupo hapo hapo sasa sijui alikuwa anagoja azime taaa atajijua. Akaona sasa huu ushogaaa akaja kitandani. Wanaume mwanamke ukimuomba uchi akakunyima hata mara 10000000 usiakte tamaa siku tu, iko siku atakuwa na stress binafsi atakupa uchi bila wewe kutarajia. Ndo Tonny alivopata uchi kirahisii rahisisiii.

Tonny wa good, sio boyaaa kwa level zake binafsi anajiweza ila sio ukimuweka level za Dee na Msomali. Mpaka mda huu sikuwa na uhakika Dee na Msomali nani zaidi. Maana Dee nilitembea nae kitambo sikujua kama yaliyomo bado yamooo. Ila Tonny kwenye fair play yuko vizurii, kwenye romance pia yuko level, kilichomuangusha mashine kawaidaaa sanaaa. He was pretty much average

After Dee sikuweza kudumu na wanaume sababu pia nao walikuwa kawaidaaa sanaa, afu nishazoea na mashine ya AK47, kukutana na hivi vi revolver na 4, 4 sawaaaa ila sio design zile nahisi napoteza fahamu kabisaaa. Ndo maana sikudumu na mtu mpaka nilipompata msomali. Nilivoona nae ana kitu cha Uzi kama mu Israel, wasiwasi wangu sawa kabarikiwa je anajua kuitumia vizuri hio bunduki. Kumbe anajuaaa na kupitilizaaa. Basi ndo akanimalizaaaa kabisaaaa kabisaaaa. Na kuniwezesha kumsahau Dee jumla jumla.

Huyu Tonny alikuwa na revolver na kuitumia anajuaaa sanaaa, sme kuna maeneo nyeti ambayo bila mashine kubwa kama AK47 au UZI mwanaume hawezi kuyafikiaaa kikamilifu na yana ladha yakeee ya kipekeee. He was not bad sema he was not extra ordinary. Alafu anaenda style hizi za kwaidaa kawaidaaa hana ubunifuuuu. Nikasema huyu napiga chiniii sitakiiii tenaaaa.

Ila yeye nilimdatishaaa vibayaa vobayaaa, nilimmalizaa sio kitotoo. Si nishakuwa KLM kwenye haya mambo mashine kubwa nazimudu nazikatikia, itakuwa ndogo sasa. Si ndo oyaaa oyaa full manyongaaa. Kuja kulalal hoi, ila matokeo ilikuwa 3-0. Yeye ndo alifaidi ila mi bila bilaaa. Nikaanza kuona dalili za kurudi kwa Dee mikono nyumaa.

Baada ya mechi nikawa namkwepa Tonny kiutu uzimaa, akawa amekomaaa wima wimaaa. Ananinganganiaaaaaaa. Anataka relationship. Sasa wasomaji mimi kwanza show zake sijazikubali, pili sina dhiki ya pesa useme nijifosi kummkubaliii. Aaaaah wapi. Sema ananibembelezaa ananibembelezaaa mpaka basi.

Nikawa naumwa tumbooo, naumwaaa tumbo nikaenda hospital, nikaambiwa nina mimba ya miezi mi 2 na week kadhaaa. Afu ina matatizo matatizo sanaaa, nikapewa bed rest.


ITAENDELEA KESHO
 
MIMBA!!!!!
Hahaha kweli akili za Mungu hazielezeki, unakuta umetafuta kitu sanaaa hujakikuta alafu ukisha acha kutafuta apo huna shida nacho au umekata tamaa umeanza na kusahau ndo unakipata au kukiona INAUMA badala ya kufurahisha
 
Back
Top Bottom