Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

uyu msomali apatikana wapi yakhee so kwa ulivyomnogesha ivyo

Msomali kawa msomali kweli, kapigwa iliki, pilipili manga, mdalasini, giligiani, ndimu, ukwaju, chachandu, ukali, pilipili hoho kwa mbaaali...
 
Sio kwamba namtetea, bingwa naenda nae mafundisho kipaimara, maombi, katekism, kwaya..sasa kwanini nisimtetee na sometimes ananipiga injili tunajengana katika safari...

Haaa I doubt hayo mafundisho!!! Lara alivo Mwingiiiii wa habari huyo anaanza tu!!! !
 
Hivi katika story zoote za lara 1 ipi unaipenda zaidi maana zote ni nzuri na tuna jifunza na ku enjoy sana lakini naamini kila mmoja anayake ilio zidi zinginge so fungukeni wapendwa
Mimi kwa upande wangu naipenda zaidi DARE THE DEVIL AND FACE UR OWN GHOST
Naombeni majibu fan wa story za lara 1 akina
Samaritan espy Shunie Heaven Sent carbamazepine -KANA- Tarime one MUDUKU womanhood PSNO lara 1 The Don mahondaw G Magpie sherberry Linamo Manga ML Latoya Gertie Papizo binti kiziwi Mr Q griffin2 moneytalk brenda18 and everybody else
PLZ nijibuni wakati tukisubir muendelezo wa episode inayo fuata
Kuna hiyo moja hiyo nimeisahau tittle aisee
 
Mama Yeyoo nimeamua tu kiroho safi nikae pembeni rafiki. Naona ubuyu umekuwa ubuyu kelikweli, aunt espy kanikaba koo sipumui sifanyi chochote... na mie kawaida yangu ni kijiepusha na matatizo kabla hayajanikuta. Nilishaambiwa na lara 1 kujiepusha na matatizo haimaanishi mie ni dhaifu..japo yeye mwenyewe komando kipensi, mama ubaya kubwa la maadui surenge rambo checki noris balaa tupu.

Nimenawa rasmi Mama Yeyoo...naumia kama Msomali alivyokua anaumia kimyakimya kwa Sally pale mwanzoni mwanzoni.
Wacha we!!!
 
Hivi katika story zoote za lara 1 ipi unaipenda zaidi maana zote ni nzuri na tuna jifunza na ku enjoy sana lakini naamini kila mmoja anayake ilio zidi zinginge so fungukeni wapendwa
Mimi kwa upande wangu naipenda zaidi DARE THE DEVIL AND FACE UR OWN GHOST
Naombeni majibu fan wa story za lara 1 akina
Samaritan espy Shunie Heaven Sent carbamazepine -KANA- Tarime one MUDUKU womanhood PSNO lara 1 The Don mahondaw G Magpie sherberry Linamo Manga ML Latoya Gertie Papizo binti kiziwi Mr Q griffin2 moneytalk brenda18 and everybody else
PLZ nijibuni wakati tukisubir muendelezo wa episode inayo fuata
The grass is always greener on the other side ile part1, Workaholics pia ilikua noma. Bila kusahau the man himself MOTP

- KANA -
 
Aunt naona kuna kitu unanitafuta sio bure. Au unafikiri nashindwa kufacilitate Mama Yeyoo apate ubuyu wake directly bila kupitia kwako?

Niwekee hapa address hata kama ni care of mie ntafanya mipango ubuyu ufike iwe DHL au njia yeyote ilimradi Shunie apate mzigo wake! Usinifitinishe na Mama Yeyoo, hapa tu wachawi wameshaniletea nuksi eti mie MOTP, na kwenye TWH ntaomba wewe uwe kwenye episode ya mwanzo kabisa.
Unajitetea eeeh!! Kwenye story mpya mie ndio nitakuwa msimuliaji.
 
Hivi katika story zoote za lara 1 ipi unaipenda zaidi maana zote ni nzuri na tuna jifunza na ku enjoy sana lakini naamini kila mmoja anayake ilio zidi zinginge so fungukeni wapendwa
Mimi kwa upande wangu naipenda zaidi DARE THE DEVIL AND FACE UR OWN GHOST
Naombeni majibu fan wa story za lara 1 akina
Samaritan espy Shunie Heaven Sent carbamazepine -KANA- Tarime one MUDUKU womanhood PSNO lara 1 The Don mahondaw G Magpie sherberry Linamo Manga ML Latoya Gertie Papizo binti kiziwi Mr Q griffin2 moneytalk brenda18 and everybody else
PLZ nijibuni wakati tukisubir muendelezo wa episode inayo fuata
The man of the people lile dude siyo la kitoto nililielewa sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom