Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kujeni hukuuuuu

Kuna mtu kaokota dodo chini ya muarobaini.

Yani msomali kasimamia kucha all that long lakini wapi, huyu bwege kugusa tu imoooo!



- KANA -
Ha but at least sio mimba ya Dee. Roho ingeniumaaaaaaa
 
Spare your comment!

Sally ka admit anamuelewa Dee. Dee yupo mjini wakati msomali yuko huko kusikojulikana na anaomba apewe miaka mitatu!

So anything can happen sweetheart!

- KANA -
Haha hapana kwa kweli, hata akimuelewa Dee haina uzito sana. Nimefurahiiiiii.

Afu msomali is up to something, sijui anawaza kitu gani kichwani honestly, let's wait and read. ...
 
Mnakumbuka niliwaambia msione kobe kainamisha kichwa.. so far as long as mimba sio ya Dee, then the game isn't over yet.
Mimba za hivyo zinaishia kutoka tu mana stress zake si za nchi hii...sema hata akizaa na tonny Dee atalea tu,kwanza sally bado anakubali mziki wa Dee na kashazoea mihogo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimba za hivyo zinaishia kutoka tu mana stress zake si za nchi hii...sema hata akizaa na tonny Dee atalea tu,kwanza sally bado anakubali mziki wa Dee na kashazoea mihogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Teh basi hata msomali akirudi atamkubali tu, ameshazoea mazoezi ndani ya boxer [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom