The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Hahahaaaaa!!! Ndio position nilopewa sasa kwenye story na story ishaandikwa haibadiliki!!! Mie dada yako, anza kwanza kuniamkia.
Kuliko uwe dadaangu afadhali wanitoe tu kwenye hiyo movie..uraiani uninyanyase, kwenye story nako unitoe KO?
Ntatumia hadi Veto kuhakikisha TWH anafanya vitu vyake.
