Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Me mwenyewe Dee nampenda, haswa akiwa loyal hubby kwa PendoSio kwamba namchukia Dee, namuhurumia Msomali na manyanyaso, dharau na kekeli.
Inafahamika kabisa sina roho mbaya
Kwa kweli msomali angekuwa katika hali ngumu sanaaa