Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Kujali ndio pamoja na uwepo wako, kuwa baba ni zaidi ya kutoa pesa.
kila mmoja ana tafsiri yake linapokuja suala la kujali,mwingine ukishamtumia pesa anaona unamjali an mwingine ukiwepo anaona unamjali.

Lakini kuwepo tu mikono mitupu sidhani kama ni sawa kwani mkono mtupu haulambwi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
maanahoteli hairuhusiwiii kula makombo, bora ale mbwa, mzungu hapendi ujingaaa ujingaaa

Watu wakanunua magari, kama kawaida yake, HASHINDANI NA MTU. Kwanza yana ajali sanaaaa. Mfano anaoupenda ooh familia nzima walikuwa kwenye gari lao wakapata ajali ya gari na kupoteza maisha wote.

maisha yamemla Tigo

Ha ha ha , dah wewe binti una maneno mno
 
kila mmoja ana tafsiri yake linapokuja suala la kujali,mwingine ukishamtumia pesa anaona unamjali an mwingine ukiwepo anaona unamjali.

Lakini kuwepo tu mikono mitupu sidhani kama ni sawa kwani mkono mtupu haulambwi

Post sent using JamiiForums mobile app
Hapa tunaongelea familia ndugu, na tafsiri ya kujali inabaki kuwa moja tu, uprovide na uwepo kwa familia yako. Haya ya kuanza kutafuta justifications za tafsiri ndio yanayopelekea mambo yanakuwa tafrani kweli kweli.
 
hizi episode 2 mbona kama haziungani au zitafanyiwa connection mbele huko?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
safi Lara 1 kitu kimepevuka hiki, mabaharia wa miaka hiyo wamesota sana huko ughaibuni. funzo zuri sanaa
 
Hapa tunaongelea familia ndugu, na tafsiri ya kujali inabaki kuwa moja tu, uprovide na uwepo kwa familia yako. Haya ya kuanza kutafuta justifications za tafsiri ndio yanayopelekea mambo yanakuwa tafrani kweli kweli.
Watatuelewa tu siku moja
Kujali ndio pamoja na uwepo wako, kuwa baba ni zaidi ya kutoa pesa.
 
Inatokea sana tu, labda sio wengi waliopata neema hiyo.

Kwamba unapambana na maisha, kazi, biashara, vijiwe, mashamba nk kuingiza mkwanja wa maana familia isipate matatizo ya Fedha nk halafu hapo hapo muda unao wa kuspend na familia yako, unawapeleka watoto shule , unawasaidia home work, wife una mdrop na kumchukua kazini, mnatoka na familia kila weekend , birthday party zote, vikao vya shuleni, kucheza na watoto nk nk nk?

Anyway uzuri sina nguvu za kufanya ligi kivile lkn maisha ndiyo haya haya, tuna familia na tumezungukwa na wenye familia
 
Back
Top Bottom