Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Mmmmm sio kwa stori hii ngoja tuone ikikolea ndo tutajua somo lake

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyu binti karudi? Glory be to God! Ngoja nisome mie taratibuu. Kwa jinsi nilivyona kiherehere nimecomment bila kusoma.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaaaaa! Yani umenichekeshaaaaa mpaka machoziiii! Hahahaaaaaa! Aiseeeeee! Comment zenu tu ndo zinanimalizaa mbavu zanguuu! Jamaniiii! Baba Winnie wa watu!
Wanasubirigi kujisifia watoto wakifanikiwa, wakichemsha wanawatusi na mama zao.
Kuna wanawake wana mioyo, kama najiona nikiwa team winie.
 
Mshaanza mdomo mdomoooo! Mbona baba Sally hamumsemiii? Naomba muwaache Average Joe wangu wapumueeee. Kina baba Winni safari hii muwape likizo kidogo
Akina baba sally nao majipu tu, ndio wale wanaojuaga wakitoa pesa ndio baaaaaaas wamemaliza, kumbe familia inawahitaji zaidi. Pesa muhimu but it aint everything, ndio maana waliishia kuvurugwa tu. Ukijumlisha na mama nae alikuwa kimeo ndio kabisaaaaa!!
 
ni mara chache sana kupata vyote ni bora kumshukuru Mungu kama baba anajali familia yake

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom