Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Nipo Mama Yeyoooo, napambana hatari..kufugwa nako kipaji. Wengine makabila yetu kufugwa mwikooo hata kama hauna mia, bora ufe kiume. Si umeona watu wanauliza hadi kabila la MOTP wakati tulishamsahau kitambo? Wahenga wameamua kufukua makaburi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha eti ni bora ufe kiume ndio inavyotakiwa lakini ila kila mtu na kipaji chake aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha eti ni bora ufe kiume ndio inavyotakiwa lakini ila kila mtu na kipaji chake aisee

Si unaona kama wewe umeukataa ubuyu wa babu Issa ukajua una strings attached, ule ubuyu tu, hakuna chochote cha ziada....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha eti ni bora ufe kiume ndio inavyotakiwa lakini ila kila mtu na kipaji chake aisee

Kwanza ukinifuga sijui kama ntaweza kupiga mechi...naanzaje sasa. Unyonge utanila mnoooo
 
Si unaona kama wewe umeukataa ubuyu wa babu Issa ukajua una strings attached, ule ubuyu tu, hakuna chochote cha ziada....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba yeyoo sijaukataa si nilikuruhusu utume lakini
 
Kweli kufugwa kuna hitaji ujasiri[emoji23][emoji23]aibu sana mwanaume kiambiwa msingi kiuno...lara 1 tuletee Dee kwanza aje apambane na msomali na hivi anahasira za kutapeliwa sipati picha[emoji23][emoji23]
 
Nasikia MOTP ameokoka, si unaona na Kubwa la Maadui anatangaza habari njema? Tuyaache yaliyopita kwa sasa tujikite kwa Msomali na Dee...
Hahaa yule si alikua mlokole lakini??...acha tu nasubiri mtanange wa Dee na msomali kwakweli
 
Back
Top Bottom