Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,613
Mie nitakuoa ili uwaambukize spirit ya biashara watoto wetu ila utanikuta tayari nina mafanikioNikiwa mkubwa nataka kua kama da Lydia[emoji14][emoji14]
sent from paradise
Mie nitakuoa ili uwaambukize spirit ya biashara watoto wetu ila utanikuta tayari nina mafanikioNikiwa mkubwa nataka kua kama da Lydia[emoji14][emoji14]
sent from paradise
Hahaaaaa sawa baba wewe endelea kuzisaka ,tena sie tutafungua hadi garage ili watoto wajue kushika spana mapema[emoji23][emoji23]Mie nitakuoa ili uwaambukize spirit ya biashara watoto wetu ila utanikuta tayari nina mafanikio
Ahahaha nimecheka sana "wajue kushika spana" una mawazo makubwa.Hahaaaaa sawa baba wewe endelea kuzisaka ,tena sie tutafungua hadi garage ili watoto wajue kushika spana mapema[emoji23][emoji23]
sent from paradise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukishaoana yatakuja makubwa mengineAhahaha nimecheka sana "wajue kushika spana" una mawazo makubwa.
weee mtu nimekumiss jamanLara 1 nakukubali mdada unanipa rahaaa mpaka najiskia mdaiwa wako no 1.
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] tupo tupo!Wasomali kama nawaona
Picha tafadhali[emoji2] [emoji2] [emoji2] tupo tupo!
Hahahaaaa!! Wako wapi wabondei jamani maana sio kwa kunangwa huko[emoji12] [emoji12]Heaven sent
espy
binti kiziwi
Kwani si ni kweli lakini!!![emoji85] [emoji85] [emoji85]Umewachana wabondei Lara hatarius
Yaani balaa juu tabalaa. Nimecheka tu huyo mbondei mwenye mipango alafu haitekelezeki, kuna watu ukiwasikiliza unaweza hisi after one year watakuwa bakhresa. Kumbe mipango sio matumizi.mbuzi wa masikini akizaa anazaa dume hataree sana hii
Yaani acha tu.Kuna kipindi shida zinakuandama hadi unahisi dunia yote umeibeba dooh
Njoo pmPicha tafadhali
[emoji23][emoji23]wabondei wamekimbiaHahahaaaa!! Wako wapi wabondei jamani maana sio kwa kunangwa huko[emoji12] [emoji12]
[emoji3][emoji3][emoji3]Yaani balaa juu tabalaa. Nimecheka tu huyo mbondei mwenye mipango alafu haitekelezeki, kuna watu ukiwasikiliza unaweza hisi after one year watakuwa bakhresa. Kumbe mipango sio matumizi.
Pm sipajui mieNjoo pm
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Yaani balaa juu tabalaa. Nimecheka tu huyo mbondei mwenye mipango alafu haitekelezeki, kuna watu ukiwasikiliza unaweza hisi after one year watakuwa bakhresa. Kumbe mipango sio matumizi.