Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Hizo Bwana asifiwe ziwe zinatoka moyoni kweli, sio za zima moto huku nafsi bado ziko duniani.

Sasa kwa hii story ya lara 1 unaona kuna upendwa hapo? Lakini kila kitu ni hatua, hata shule tunaanza vidudu kisha taratibu msingi, sekondari kisha chuo. Mbona mnataka Kubwa la maadui abadilike ghafla usiku mmoja tu? Wokovu ni process
 
Kubwa la maadui mi sitaki aokoke kabisa maana hizi raha tutazimiss sana. Nilipoona analeta story ya kipendwa nikawa nishasusa. Aaah Mungu mkubwa kaleta kitu chenyewe.
MOTP ye aokoke tu maana hamna namna, Lasivyo tezi dume iambatane nae.
 
Kwa mwanamke dyu dyu is not everything.

It is the only thing!

Kwahiyo al-shabab yuko on the right track. Soon kiuno chake kitamjengea ghorofa!

- KANA -
Thubutuuuuuu!! Sema kwa mrs msomali.
Na hata yeye huoni kuolewa nae kagoma? Hataki kuolewa nae maana anajua msingi kiuno sio kitu pekee anachohitaji.
 
Wameanza kujitetea. Acha wafungwe wafunguke akili.
[emoji23][emoji23]tena mfugaji awe lidya wataomba poo mwanamke anajua kunyanyasa yule ila anamfungua akili mumewe...hawa wengine team free p tu hawana chochote cha kutoa kazi kuringia dyudyu zao[emoji23][emoji23]
 
Sio free,

Hawa wanakodi dyu dyu wanailipia kabisa!

Na mtaji wanatoa

- KANA -
[emoji23][emoji23]kwahiyo team marioo aka msingi kiuno?
Mwanaume unatakiwa kujituma kufugwa na kulelewa waachiwe wanawake
 
Ndio maana nashangaa, inakuaje msomali hana pesa na anauwezo wa kusimamia mechi? Nikiwa sina pesa au mambo hayajakaa sawa siwezi chochote.
Uwezo wa kusimamia mechi ndo mtaji wake,pesa hana na mechi ashindwe[emoji23][emoji23]mjini si patamshinda?
 
[emoji23][emoji23]tena mfugaji awe lidya wataomba poo mwanamke anajua kunyanyasa yule ila anamfungua akili mumewe...hawa wengine team free p tu hawana chochote cha kutoa kazi kuringia dyudyu zao[emoji23][emoji23]
Msingi kiuno ni kujitoa ufahamu tu, hauwezi kuwa comfortable kwakweli.
 
[emoji23][emoji23]kwahiyo team marioo aka msingi kiuno?
Mwanaume unatakiwa kujituma kufugwa na kulelewa waachiwe wanawake
Sio mario, mi team Dee

Sema namuhurumia al-shabab, men should stick together!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

- KANA -
 
Back
Top Bottom