Dreams Do Come True!
Have you ever lived your life waiting, waiting for something to happen in your life? Day by nigh, you seat silently waiting in vain. Maisha design kama yanakupita hivi hiviii unayaonaaa. Mwaka baada ya mwaka baada ya mwakaaa. Nothing happens but you never give up waiting. You never stop dreaming, You never stop believing.
That person was me not so long ago. Old, sad, and drunk is never a way to go in life. But i was going that way anyway. Sio kwamba nilipendaaaa au nimezkariakoomahala labda useme makosa yangu mwenyewee walaaa! Naweza kusema tu kwamba zamu yangu ilikuwa bado tu.
Nikiwa mwaka wa kwanza nasaidiwa na uncle wangu university of Nairobi akapatwa matatizo ikabido nistop kwanza chuo. Nikaanza kushinda kweny maduka ya simu, nawaambia nipo tu kwa mda, nitaenda chuo miaka ikaanza kukatika. Kuja kuhamaki imepita miaka mi 5 nikajua shule ndo basitenaa.
Nikaacha kabisaa kuongelea mambo ya kurudi chuo wala nini. Nikajua mimi ni wa pale pale. Nashinda natumwa huku na kule ujira ndo napata pesa ya sababuni, kununua uchi labda basi. Na sehemu ya kulala.
Wenzangu waka nishawishi twende South nikagomaaa,wakaenda wengine walifika, wengine walifia njiani,wengine wako jela. Sisi wasomali tunapenda sanaa kuzungukaaa kutafuta maishaaa. Nimekaa pale kuja kuhamaki watu wote wanaotumwa pale watoto wadogo kpmiaka 25 kushuka chini. Peke yangu ndo muhenga.
Yakaanza maneno, Hussein hamnaaaa kituuuukabisaa! Limezubaaaa kama boflooooo! Wengine shule imemuharibu hapo angoja apelekwe akamalizie shule na ubabu huooo. Mi ni kusimangwaa asubuhi mpaka jioniii si shakuwa mbuzi mzee! Wenzangu washatoka kimaishaaa mi ndo basi tenaaaa.
Akaja binamu yangu kutoka Kariakoo, akaniambia usikatetamaa, mie pia hivo hivo nilifika miaka salasini na tano sina maishaaa! Hapo bado hujaanza kusemwaaa. Badoo kabisaaaa. Ila Mungu alinifungulia njia katika namna ambayo sikuitarajiaaaa. Niliondoka Nairobi kutokana na maneno maneno nikaenda kariakoo. Nikabahatika kumkita mke wangu Eva, akanisaidia na kunifundisha biasharaaaa mpaka nikatoboaaa. Twende kariakooo! Usipo papendaaa rudi huku.
Nilikuwa sina jinsi ndugu msomajiii. Usiombe uwe muhenga afu maisha bado hujayapatiaaa una hangaika hangaika tu. Utajutaaaaa! Nikawa nakosa rahaaaaa usiku na mchanaa. Nikaamua mtembea bure sio sawa na mkaa bure. Nikaja huku na bro. Nimekuja huku nako natumwa tu! Kama kijakazi.
Zamani nilikuwa passionate ambitious, nina moyo wa kuchangia mada, nina confidence, ilaa baada ya kugundua watu wananiona last grade nikajifunzaa tu kukaa kimyaaa. Kiwa distant yote kuepuka maumivu ya kushushuliwa, na kudharaulikaaa. Nikawa sina la kusemaaa.
Eva is not perfect ila is not a bad person. Atleast ushinde dukani na Eva, biashara ikifanyika atanipa hata laki yangu tu ya kushikaaa, atakununulia anachokula yeye, siku haigandiii. Kaaa na kubwa la maadui bro ndo utajua kuzaliwa mwanaume mateso. Hakupi hata 100, atakula hapo kama hakuoniii. Akikununulia maji shukuru Mungu.
Nikaanza kuzoea watu, msomaliii msomaliii. Nikaanza mpaka kuongea kama vijana wa huku. Wasomali wepesi kukopi lughaaaa. Nikawa nashinda maskani na vijana kubadilishana mawazo na kuangalia matako ya wanawake wanaopita mradi tuingize siku.
Siku ya kwanza namuona Sally alikujaaa na gari lake kaliii, akaipaki nikajua mtejaaaa, akaingia dukani, hakukaa sanaa akatokaaa. Nikashangaaa hawaja mchokozaa maana wale hawapitwi. Mi ni mkimya sikuuliza chochote.
Katika maisha nimejifunza penda kuwa msikilizaji utajifunza mengi na utaongea kitmsomaliii, ukiongea utatoa tu vile ambavo unavijua tayari. Nikashangaaa hamna aliesema nini wala nini. Moyoni nikawaza tu daaah wakubwa wanafaidiiii.
Kesho napo akaja tenaaaa! Na siku inayofataaaa hivo hivooo. Nikajua lazima ndo mwenye duka au anasiamia ila sio mteja. Hana story na mtu, salamu kamalizaaaa. Anashinda kwenye simu yake. Nikawa nawaza kwa mfano lakiniii katik mfanoo tu nikampata demu kama yule nampiga show moja ya kibabeeee.
Nikawa namwangaliaaa, wala sinibani namkodolea haswaaaa! Mara nae akaanza kuniangaliaaa. Tukawa tunaangaliana kwa jicho la wiziii. Siku mbili hazipiti mara Mussa anasema story we na Sally mnatakana. Nikastukaaa. Sikutaka matatizo zaidi ya nilio nayo.
Mussa ana pump ndugu wasomaji hafaiiii hafaiiii! Mara ooh kaona ananiangalia jicho la kutaka ukuniii hehehee sijui jicho hilo linakuwajeeee. Kanijazaa kanijazaaaa kanijaaaaza. Siku 3 ananijazaa tu. Mi sio mgeni wa wanawake kweli tulivokuwa tunaangaliana kuna some sort of attraction.
Nilichokuwa sikitaki ni siku 2 mara ananiomba laki 3. Rangi ya usomali,rangi ya helaaa hiii. Wanawake wakiniona wanaonaaa dili hatariii wakati sina mbele wala nyumaaa. Ndo maana sikutaka kujisumbuaaaa. Musaa ananitia gas Sally ana hela zake hawezi kukuomba hata 100. Mi namjuaaaa.
Alikuwa na basha wake mmoja anaitwa Dee Free P tu, kapiga ile ngoma mpaka maisha yamemkaa level sahivmfanuakazigea yupo Kinshasaaaa. Acha kuzubaa msomaliii. Mbona kaka yako mjanja kajiweka kwa Eva pale itakaa kwa kaka yako mpaka lini, pambana na hali yako!
Hata akikutaaa wewe mtoto wa kiume kwani ndo kusema huu uchi wa kwanza kunyimwa? Acha mambo yako ya umama. We mtongozeee! Au nikutongozeee? Musaaaaa ni jipuuu! Nikamwambia namtongoza mwenyewe.
Bikaanza kwanza kumpa sodaaa, ubuyu wa embe, ice cream,vikubwa vya Bakhresa mie msomaliii uwezo sinaaa. Akawa anakulaaa! Namuona anavojinomaaa bila wasiwasi. Ashazoea kuchunaaa. Siku ya siku kaniita.
Kama ndugu msomaji unahisi mimi ni myonge na nilienda kinyonge hisi upyaaaa!Kwenye masuala ya uchi tena wa viwango kama ule mimi ni jasiri la majasiri. Nikaibukaaa pale. Nimemkazia jichooo! Najiamini hatariii! Nikachukua namba. Baaaaassss!
Siku ya kwanza hio hio napewa uchiii, nomaaaaa sana ndugu msomajiii, nuksiii,kidogo unibabatizeee ule uchi! Maana umekuja ghafla ghafla sijajiandaaa hata kunyoa vuzi sijanyoa kitambooo.Nuksiiii! Kichaka cha hajaaa.
Nikawaza nikiunawa naweza nisipeweeee tenaaaa! Nikajilaani mpaka siku ya mwishoooo. Nikaaamua muhenga aliesema liwalo na liwe nona undugu nae wa damuuu. Nakula mambo hivi na msitu wa equator. Kukaa bila mwanamkee nako mda mwingine mwanaume unakuwa msafi njeee tu.
Mguuu umepaukaaaa hatariii, sijapaka mafuta nina miakaaaa. Nampakia nani na demu sinaaaa! Mambo mengi hayakiwa level kabisaa na nilikiwa najua lazima yanishushie point. Nineingia uwanjaniii tingali tingaliii tingaaa. Mzimaaa mzimaaaa.
Mwenyewe anafika equotorial forest akauliza ndo usomaliii au ni nini tenaaa hikooo! Nikamjoke mnapendaa nywele za kisomalii na ujue na vuzi la kisomalii nalo balaaa lake sio la nchi hiii. Akachekaaa tu. Nikamuuliza unafurahi nini? Akasema najua huna mwanamke si kwa chocha hili lilivokubaliii. Nikajikaushaaa tu maana nimebambwaa nadokoa nyama na mfuniko mkononi.
Mechi ile sikutaka kuila kwa fujo wala nini, nilijua nimepewa mzigo kimakosa na sikutaka kufanya makosaaa. Nikawa nimepaniaa naula mzigoo kidogokidogooo kwa raha zanguuu. A night to remember. Sina paparaaaa nao. Kuja kuhamaki usiku wa manane. Mzigo wa kiwango. Home nuksiiii! Mtoto ananiomba nie delee kulala hapo hapo asubuhi nizindue tena mzigoooo nikaamua kubakia.
Kesho,kubwa la maadui kanifukuza bila kujua nilikiwa wapi na nani. Hamu yoteya uchi ilinitokaaa. Namuomba msamaha kakaza ananidhalilisha kama sio mwanaume mwenzie shida mbayaaa. Hakuna siku nitamshukur Sally kama kumtuma Musa anifate. Musa mtata akamchana Bro mwanaumeatalala kwakokila siku mwisho awabake wasichana wa kazi umfunge. Alienda kupata. Hussein twende zetu. Nilimfata kama zezeta.
Basi Sally ananimbia utakaa na mimi. Nikajua tu kakolea show ila wanawake nawajuaaaa bora unyanyaswe na mwanaume mwenzio ana mipaka wanawake hawana mipakaaa kabisaaa. Ni kuishi nao kwa tahadharii. Ila sinapa kwendaaaa.
Basi nikajua atanifanya house boy,nitamfulia mpaka chupiii. Na mzigo hue da ni mwishooo kupewa. Ila walaaa! Tumefikaaa kapikaa. Vyomboanaosha au mi naoshaaaa. Hivo. Siobig deal!
Nikitaka kwebda kushinda dukani hataki,we sio mfanyakazi wangu. Wewe ni rafiki yangu. Moyoni nasema mimi ni bwana wako basi tu sina kituuu. Najishtukiaaaa mpak aibuuu. Ila mkarimuuuu sanaaaa, sanaaa mpaka nikaanza kupata confidence yangu ya zamani.
Usiku mambo nakulaaa navotakaaaa! Tatizo la mambo bwana ni mojaaa! Ukipewa basi unataka uyabinafsisheeee. Akawa ananiambia tutoke wote usiku mi stakiii. Na sitakiii naona kama nitamtia aibuuuu. Nilikuwa sijiaminiii kabisaa. Nawaza mara nifike huko ajifanye hanijuiii, au mi sio mtu muhimu kwake. Nimenyanyasika sanaa maishani nimejua kujipunguzia stress. Namwambia nenda tuuu!
Akitoka kila kitu nakiona kichunguuu. Ujue upate mtu ana ku treat right afu unawaza labda analiwa vya fastaa hukoo. Hasiraa za kisomali zinanipandaaa. Silali mpaka arudiii. Akirudi nazushaaa tu ugomviii. Ili mradi tuuu!
Asibuhi anaiomba msamaha. Atakaka siku 2 ya 3 anatokaaa. Nikaamua nirudi tu kwa Bro, ujinga mwingine nao, kisa tu anatoka usiku basi narudi kwa Bro. Kama senge na mimi mda mwingine. Sikurudi wala nini. Ila ugomvi wake utasema namiliki hata kitanda humo ndaniii.
Ndo kunieleweshaaa she has to go out to make money! Lazima akutane na watu wampe tenda. Apate dili. Akilala ndani kila siku atapotea kiuchumi. Lazima from time to time aonekane viwanjaaa. Kama nampenda nimsupport. Ndo nikaelewa sasa. Kesho yake akanibembelezaaa tutokeee roho inakataaa. Naogopaa mie.
Baada ya kunibe!beleza nikamwambi nenda tu akasema haendi, kila mtu ana bwana wake, yeye tu hana bwanaaa, mi simzindikiziii, anakiwa lonely anashinda anatongozwa na mijitu ya ajabu ajabu wakati mi niko roho yake niko ndani nimelalla.
Nikaamua kwenda. Kwanza sio mzoefu wa haya mambo nikavaa zangu jeans, tshirt na sandozzz maana sio sandals za ki gentle man. Sijiaminiii kabisaaa kabisaaa. Mambo ya mjini badooo!
Nafika kule kila mtu ananijuaaa! Finally msomali kajaaaaa leo. Mwali wa kisomali asietoka ndaniii leo katokaaa. Aibu zikanishikaaaa. Natambulishwaaa dada Lidyaaa. Mumewe Craig ambae baadae nikaja kumjua mtu safi sanaa! Chriss! Jolline! Winny na mumewe! The looked such nice people kwa Sally!
Sally anajua kuni handle mwanaumeee! Mpaka nikaanza kujisikia raha i should do this everyday. This is the life i wanyumbanii, forever! Sally anayajua mahabaa! Mimi nimekaa na wanaume wenzangu tunapiga umbeaaa maana wanaume siki hizi ndevu za bure tu. Ila mimi si msemaji nikawa nawasoma wao bila kujiuzaa mwenyewe.
Kila mda Sally anakuja kunibusuu busuuu, mara anikalie, anauliza are you okay, nikuongezeee bia, are you comfortable akawa anahisi kama naborekaaa. Mpaka Craig anamwambia Sally jamaniii si yupo na wanaume wenzie hapa tuliza nyege kidogooo! Hatumtafuniii. We dont hope to see you in the next 5 minutes. Anawaambia roho yangu hiooo, mnitunzieee.
Wanaume huwaga hatuna mambo mengi, mara mpiraaa, mara siasa, matusi kidogooo, michepukooo kidogooo. Ilimradiiii. Boys will be boys. Mara Lidya akaniita, Craig akaninongoneza dont pay attention to my wife, live your life. Sikuelewa.
Mpaka nilipokaa nae Lidya kitako. Akaanza kuniuliza unfanya kazi wapi? Nikanyauka rohooo! Washaanza. Nikamjibu kariakooo! Akauliza duka lako? Nikakaa kimya tu. Akaniambia " Dont take Sally serious kwamba mtaoana au vipiii, hakuna kitu kama hiko! Lets be honest you cant afford her,she is just having fun, kind of the on the mean time thingy, yes she told me, so dont take her serious"
Kuna mwenzio anaitwa Dee kakimbilia Kinshasa kisa Sally, mi nakupenda mdogo wangu ndo maana nakwambia, utaenda kujiunga Alshabab bila kupendaaa. Just enjoy it while it lasts. Usiseme sikukutahadharisha. Nikabakia pale palebimetoa mimachooo!
Event ikanitumbukia nyongooo! Bia nikazionaaa chunguuu! Moja haikai mbili haisimamii. Nimevurugwaaaa! Nikawa nimekaa tu na ma men ila sipo kwenye kinachozungumzwa. Ghafla nikaona kuna mkaka alikuja na Chriss, kama anabishana na Sally, anamlazimisha ampe namba, sasa anaanza kukosa ustaarabu! Kununa kukaniisha kwa mda, nikamfata kule kule na kumshika mkono twende nyumbanii
Ile tunaondokaaa, yule boya akasema Toy Boy! Ndo maana unafugwa na mwanmke! Msingi kiuno! Nikasimama, Sally akawa anataka ajichomoe mkononi mwangu amrudieee! Nikakaza mkono nikamwambia twendeee nyumbaniii! Tumeenda njia nzima anasema usimsikilizeee. Mjinga yuleee! Mi niko kimya! Nisemaje ndugu msomaji wakati kweli nafugwaaa.
Siku hio nilimla kwa uchungu sanaaa! Sanaaaa! Kwanza kuambiwaa i am a mean time thingy! Kwani mimi kosa langu nini? Kuwa maskini? Kukosa pesaaa? Kuambiwa msingi kiunoooo! Nafugwaaa! Afu yote kwelii! Nilivurugwaaa hatariii!
Nilimkunjaaa kwenye mechiii nampa dose nene kama yeye ndo alosemaa! Dose ile ya hasiraaa za pakaaaaa! Nakula mzigooo kwa kukomoaaa! Namp mambo akikoleaaa namuuliz mi nani wakooo nakuuuliz mimi nani? Anajibu bwanaa wanguuu! Namuuliza una bwana mwingineee zaidi yanguuu! Hapo speed 4G. Sinaaaa hakiii Mola ananionaa sinaa kweliii baby nipunguzie doseee! Nampa mambooo mpaka analegeaaa! Nilimfanyia interogation ya nguvu mpaka nijue alisema ile on the mean time thingy au ni Lidya mpambe. Dalili za mwanzo zilionesha hajasema.
Siku nyingine sikutaka kutoka sema nikamkumbuka yule boyaa anaefosi namba nikajua lazima atakuja tenaaa! Nikatoa na baby wangu. Nikamwaambia kabisaa usiniache peke yangu! Mi watu wako siwaweziii! Akwa benet! Waname wanamfukuza maana hawawezi kuonge ishu za michepukoo! Hatokiii! Kelele zilivozidi akanichukua tukahamia kon ingineee. Kupendwaa ndo huku kupendwa kuthaminiwaaa!
Akapita Lidyaaa! Sally unapoteaa mdogo wangu na wewe ushaanza tabia ya kumbania mwanaume kwapaniii! Humpi dakika apumue. Ulipoingia sahivi hutokiii. Na mimi moyoni nikajisemea, mimi ndo msomaliii hapa habanduki hata kwa tractorrrrr wala grader hata kijiko! Hii ndo pwani ya Mogadishuuu!
Nikawa nimeend chooni, naskia yule rafiki wa Chriss ananisema what does she see in him? Anaongea na Jolline. Nikapit wakati narudi namkuta Jolline peke yake. Akanipa ki note , namba yake ya simu! Mmmmmhhh!
ITAENDELEA KESHO SAA 4 USIKU.