wabondei wamekimbia
Aaah kabisa, lasivyo winie angekuwa mbali sasa! Kumbe mbondei wake kaogea mnuka nuka.![]()
![]()
![]()
Kweli mipango sio matumizi
Ni msomali eeh?Ahhahah ila kaka bonny sio mbondei jamaan
Huyo mwanaume wa winnie ni uvivu tu ndo unamsumbua,anaacha kutafuta pesa kutwa nzima ananusa kwapa la mkewe...mfyuu zake na uvivu wakeAaah kabisa, lasivyo winie angekuwa mbali sasa! Kumbe mbondei wake kaogea mnuka nuka.
Nawafananisha na hizi tuhuma lol!!!huo ni uchokozi sasa
Hahahaaaaa!! Eti kabila lake ndio tatizoHuyo mwanaume wa winnie ni uvivu tu ndo unamsumbua,anaacha kutafuta pesa kutwa nzima ananusa kwapa la mkewe...mfyuu zake na uvivu wake

Aaah basi sawa.ni msomali auntie
Kabila linamfundisha uvivu?Hahahaaaaa!! Eti kabila lake ndio tatizo![]()
![]()
![]()


natamani kujua kabila la MOTP nijue kama zile tabia zake zilichangiwa na kabila

Wengi wao ni wavivu wavivu tu ila wanawivu hatariNawafananisha na hizi tuhuma lol!!!
Yule alikuwa mnyakyusa. Ni kweli kabila lilichangia, si ndio Heaven Sent?Kabila linamfundisha uvivu?natamani kujua kabila la MOTP nijue kama zile tabia zake zilichangiwa na kabila
![]()

Wengi wao ni wavivu wavivu tu ila wanawivu hatari

hapo sawa nimeelewaNakuona unataka kununua ugomvi![]()
![]()
![]()
![]()
Ngoja kesho nimtumie mtu hicho kipengele asome.
Sasa wivu wa nini na pesa huna!!!
Ugomvi ukinifuata itakuwa lara ndio kaniponza.Nakuona unataka kununua ugomvi