Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Leo nne na nusu uhakikaaaaa! Nimeumwa mwenzenu hapo Mungu kasaidiaaa! Ukichanganya na ubsy balaaa! Ndo naandika hapa
Sie kwako hatupindui mama mchungaji. We lete mambo sie tupooooo!

Team Deeee

- KANA -
 
The Good Wife!

Despite everything i said about my dad! I still love him and respect him more tha anuthing in this world. And i am proud he was my dad. Maybe not all day every day but mos of the time. He was the most faithful person on earth. Hana mtoto wa nje hata wa kusingiziwa, japo kupakaziwa tu juuu kwa juu. Saa 10 amerudi nyumbani tangu mdogo mpaka naolewa nakuwa na kwangu.

Nilivokuwa mdogo i took that for granted, honestly niliona ni uvivu wake tu kuwahi nyumbani mpaka kushinda kabisaa nyumbaniii. Hata alipopata kazi Tanga akakataaa sababu tu aishi na familia yake nilimuona hana akili timamu kabisaaa. I envied Sally dad who was always out and about making shit happen for real.

Ila growing up, now na mimi ni mama na mke i am not sure i will prefer Sallys mom position. I am nit sure. Dot get it twisted that i prefer my moms position either, hell to the no! I just happen to think all women are loosers. Either way life facked them both. And i gonna end up like non of them.

Kiukweli maisha ni mtihaniii mgumuuu sanaaa. I always prefered rich men, cause kwanza mimi ni Muhayaaa! Nshomileeeee! 2 ndo nilivooo ndo maana baba Sally namkubali mpaka kesho kutwa. Napenda mambo makubwaaaa. Mambo ya kutetemeshaaaaa.

Chagua chaguaaa wanaume wenye pesa mpaka i was 32 and not married. Hata hivo sgule nilichelewa piaaaa. So nili graduate like 26 yrs. Kuchagua chagua hapo nikagonga 32 naishi nyumbani sina wasi wasi. Kazi nafanya narudi nyumbaniii. Na nilikiwa nafanya kazi nzuriii tu Vodacom.

Kukawa na mkaka Mbondei, na nisivopenda watu wa pwani kwa uvivuuu, uswahiliii, maneno manenoooo. Huyu kaka nilikuwa simpendiii sababu kwanza hakuwa boss hapo Voda. Pili kabilaaa lake, tatu mambo yake huyu average Joe ya kiwa maskini afu jasiri yaliniuziii sanaaaa.

Mshaona mtu maskini afu ana kirangaaaa kibayaaa. Ndo huyu average Joe. Watu wale wa kishuaaaa wanaweza kuwa wanaongea mambo ya magariiii, sio usafiri ndugu wasomajiii, magariii, sporting gears, watu wanaoenda mpaka kwenye car rallies Arusha, Nairobi, SA. Na wana sporting cars kama 2 au 3 kwenye garage zao. Na huyu Average Joe atakaa hapo kwenye mjadalaa, na kuchangiaa comfortably kabisaaa. Wakati wote tunajua hata usafiri hanaaa! Hata Vitz au Passo tu hamiliki. And he is well informed kwenye hizo sporting gears sio masiharaaaa.

Bora baba yangu mzazi hashindani na mtu, hana tamaaa, mambo yake madogo madogo. Vikubwaaaa vya Bakhresaa na Balabuuu, vidogo vyake yeye na mama Winni. Huyu mume wangu akiongea utasema mtu wa maana sanaaa, anavoyajua mambo makubwaaa na kuyaelezea kwa ufasaha you will be fooled ndugu msomaji kwamba ni mtu wa maana kumbe hamna kitu.

I was fooled too ndugu msomaji with his IQ. Big plans, big missions, na big thinking. All sent me straight to the doom. Wakati naanza nae nikajua miaka yangu hii 2 ya kusota nae, baada ya hapo ni mishaa ya maana hatariii! Si kwa plan zileeee. Si kwa master plan lileeee.

Nikaanza nae hivo hivo nangojaaa break through, ukijumlisha umri umeenda nao, ikawa things are moving so fast! Tume date anakuja kwangu maana nilivvona umri umeenda sana nikaamua kupanga kupunguza kelele za maomvi apate Mume. Yeye hana pa kuishi anaishi kwa mama yake mdogo. Ndo kupata mimba, tukaenda kupanga Tabata.

Tukafunga harusiii yetu sasa hapo ndo balaa lilipoanziaaaa. Majaribu ya shetani si madogooo. Kwanza Voda hairuhusiwi mtu na mume kufanya kazi ofisi mojaaa, so ikalazimu mmoja aache kazi. Nikaacha mimi japo mimi ndo nilikuwa na mshahara mkubwa kuliko yeye na position nzuriii. Sikuataka kabisaa kufuga bwnaaaa kwa kisa chochote. And i guess kama mwanamke nilitakiwa kuacha. Nikamwambia nimeacha. Akasema poa.

Kujifungua ndo wabondei wakaanza midomo midomo yao, haswaaa mama mkwe. Nilimchoka siku 2 nikawa namvumilia tu. Wanamdomo hawa watuuu, wana mdomoooo sio kidogooo. Kila kitu kwao kibayaaa.

Siku natoka kujifungua na operation, narudi namkuta mama mkwe kaja na pochi tu kumuuguza mzazi. Kina dada wamekaaa, hamna supu, hamna nini. Nikamwamvia mdogo wangu twende nyumbani kwa mama. Mkwe ndo kuongeaaa kanyimwa mtoto, kasusiwa nyumba sijui nini. Nikajua maneno tu.

Kumbe kaitisha kikao, kanisemaa kabisemaaa mpaka basiiiii. Nikamwambia average Joe nione msimamo wake juu ya hilo maana sipendagi ujinga mimi. Akawa yuko upande wanguuu. Ila nikawa bado sijamuamini. Siku kaenda msibani huko kwao Tanga, kawakuta woote, hajamsalimia mtu yoyote hata mama yaje mzazi, kamsalimia baba yake tu! Wengine kumsalimia kapiga kimyaaaaa. Kuulizwa na baba yake mbona unawafungia vioo ndugu zajo, mama zako hawa umekuaje wewe au ndo ushapewa matak tayari.

Akamjibu sio ndugu zangu hawaaa. Si walisema wamenisusa na mke wangu na wanangu, na mimi nimesusaaa. Tuone mwishooo. Ndo baada ya msiba kuitishwa kikao. Mimi nikasema kama kikao basi na mimi nije na ndugu zangu. Bila hivo siji. Msiniendesheee kwanza mwanenu free Pumbu tu, kama kindoa kusambaratika kisambaratike. Mume wangua akniombaaa niendeee, nikamuhurumia nikaenda.

Sutana wimaa wimaaa. Nikawaweke mahali pao. Na kujua muhaya mimi ndoa sio kivileeee kuibembeleza kama Yai, i earned their reespect. Tukaanza kuheshimianaaa.

Kazi nimeacha nalea mtoto, nastuka nina mimba nyingineeee khaaaaa! Nilichokaaaa! Ila mshahara mmoja sio mbaya sanaaa. Mwanzo wa mwezi baba J ananipa ka million nahangaika nako kukapangia. Tunatumia bima yake, na kodi analipaaaaa.

Sasa mimi nina matumizi mabayaaa sanaaa! Kula kujinomaaa, kuvaaa, kujitanuaaaa. Million siku 2 imeishaaa. Nikakaa nikawzaaa na kuwazuaaa, nikawaomba wadogo zangu mtaji. Nao washaloshwa nyama za makalio wote wakaninyimaaa. Baba Winni akanipa million 1. Zote hazitoshiii kitu.

Ndani kukawa na hela ya kodi miilion 4 na laki 8. Bikachukua na kichanganya na hizo baba Winni. Nikaagiza mzigo wa nguo za watoto online huko USA. Unapelekwa kwa mtu afu yeye ananitumia huku. Sikujua inachukia miezi hata 3.

Huku jibaba kastukaaa pesa ya kodi haipooo. Aligombaaaa! Kama sikupigwa siku ile sipigwi tenaaa. Najieleza hanielewiii. Alinuna mwezi mzimaaa. Akatafuta pesa ingineeee. Akaniamvia rudi nyumbani nitakufata, nikamwambia sirudiiii. We kama unahama hama, mi nyumbani sirudiii ngooo. Sijui ndo kurudishwa kujirekebishaaa sijui.

Mzigo ukaja sasa. Kuagiza rahisiii sanaaa. Kuuza ndo sooo. Najikazaaa nawapelekea maofisini, majumbani hukooo, kwenye gari hukosi mzigooo wa maana. Ukawa unatembea na mimi napata pesa zangu za maana kifanyia mambo yangu sio lazima umuombe mume.

Nikaagiza mara 2. Nikaamua sasa naenda China. Nikamwambia naenda China, akawa mkali hatariiii. Hataki kusikiaaaa kabisaaa kabisaaa. Nikafunga na kuomba siku 14, ya 15 akasema mwenyewe twende China anipelekeee. Wivuuuu! Wabondei wana wivuuu sijapata kuonaaaa.

Nikawa na pesa ndefuuuu! Nilichukua NSSF zangu, na zingine za mtaji, nikawa vizuriiii hatariiii. Tabu ya China sikuionaaa kabisaaa, sababu mizigo nabebewa na mumeee. Raha iliojeeee. Sema nauli ilikulaaaa.

Kurudi sijakaa sawa,akasema nimekutafutia kazi. Sikutaka kubishanaa sanaa. Madai maisha magumuuu sanaa tusaidiane. Wanaume wengine hovyooosanaaa. Nikaenda kufanya hio kazi Bank. Nimekaa Bank, kwanza umriumeenda, ma boss watoto wadogo, wafanyakazi nao visichana vidogoo vinagawa Tigo kwa kwenda mbeleeee. Sisi mbuzi wazeee, tunao nyonyesha hatuna nafasiiii.

Nikavumilia bank karibia miezi 8. Katika hio miezi 8 kuna mkaka head wa legal, mume wa mtu nae akaanza yake. Kanipendaaaa! Sasa namuuliza tunapendana vipi wewe mume wa mtu mi mke wa mtu. Ananganganiaaaa! Mi namzungusha kiutu uzimaaa.

Baadae nikaamua kuacha nifungue duka. Mume alivimbaaaa kama cobraaaa. Huyu head wa legal was so supportive! Analalamika mume wangu hajui thamani yangu. Laiti angeniona yeye kablaaaa! Angenipa maishaaaa.

Nimefungua tu duka kustukaaa nina mimba ingineee tenaaa. Nikachokaaaa. Na mume akafukuzwa kazi. Jamaniiii! Na watoto ndo wameanza shule. Ada zenyewe million 5 chekechea yuko mmoja. Wa pili nae anatakiwa aanze. Akalipwa mafao tukamuanzisha . Kila mwaka inatakiwa million 10. Nyumba million 10 nayo maana kodi yetu ni laki 8.

Sikupenda kuwa na nyamba ya bei hii. Ila najali saanaaa maisha ya wanangu. Nyumba nzuri, wanangu hawashei mabafu na kina dada, Afu umri wanfu wengi wamejenga maghorofa wamehamia, bora mi nipange sehemu nzuri tuuu. Ila kichwa kiliniumaaa. Duka moja litoe pesa yote hio

At first mume wangu akawa anasema ana madili ya kuchkua tenda za kumaintain minara ya hallo tell, big money big money involved. Atanipeleka Millan for shopping nimuamini. Na nilimuaminiii kabisaa. Watu wakise!a tumekwishaaa nahisemea wait and seee! Mtafurahiiiii! Just wait and see.

Nikawa jinga hivohivo not untill the day wanangu mnawahamishia shule ya million 2 kwa mwaka! Tumesgindwa kulipa ada pale DIS. Roho iliniumaaa, roho iliniumaaaa. Uchungu wa ndoa ndo biliujua siku hiii.

Bilimtuma Average Joe akafanye hio kazi. Yeye kama mkwewe abajikosha tu, mke wangu inaweza kuta hii shule ya million 2 ni nzuriii kuliko ile ya miilion 6. Mi nakwambiaaa. Nimeongea na nani sijui nani mradi maskini akijosa matak yana mbantaaa. Nilijifungia chooni nililia sanaaaa. Niakwaza sijui nikaombe kazi tenaaa, au nifanyaje sasa.

Mbona naanza kuwa na maisha kama mama yangu? Afu sitaki sasa. Ikaja Stigma sasa ya kuwaambia watoto nimewahamisha shule.Lazima ni waulize hioshule mpya bei gani wajuekama nime upgradeau nime down grade. Utumbo unanichezaaaa. Kukubali mmefulia wewena mumeo sio jambo dogoooo.

Maisha yakazidi kuwa magumuuu mpaka nikauza gari amabayo mume wangu alipewa kwenye harusi na aunty yakewa Germany aina ya BMW akanipa mimi. Kodi hamnaaa, ana stress duka langu. Nikasema no sweat nasukuma hii gariii.

Nikaliuza hela ya mboga tuuu. Siku linakuja kufatwaaa, nikahifungia chumbani tena nisioneeee linavoondoaaa. Baba la baba alikuwepoana amani telee kama mkwewe siku hizi anajise!esha vora maana linakula mafutaaa sanaa, lilikuwa tu linakaa stooo. Mi ndo anazidikunitibuuuaaaa. Hapo ndo nimetoka kujifungua siku si nyingi.

Watoto nao wanakuja kunigongeaa Moooooom! They are taking our car away! Lonas mom is taking our car away! Lona said her mom bought our car is it true? Ilove our car! We want our car back! Viliooooo! Na mimi huku chumbani kilioooo.

Nimemaliza mwezi tu wa uzazi kurudi dukani nakuta mzigo hauelewekiii! Kakopeshaa kopeshaaa, yaani kizungu zunguuu. Pesa hakunaaaa na mzigooo hakunaaaa! Hapo kwa wafanyabiashara ni ukweli mmoja tu umebakia BIASHARA IMEKUKULA KIBOGA! Baaaaaasssss!
 
Back
Top Bottom