Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,873
- 183,172
MOTP alikuwa mlokole then akakengeuka, kama kaokoka tena basi ni heri.Nasikia MOTP ameokoka, si unaona na Kubwa la Maadui anatangaza habari njema? Tuyaache yaliyopita kwa sasa tujikite kwa Msomali na Dee...