Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Subiri uone atakavyolegea kama biskuti imetumbukizwa kwenye konyagi...hawezi kumwacha Msomali yule. Kaa mbali na full picture kabsaaaaa
Jamani hapana, nilikua team msomali lkn kwa sasa hapana, Sally asimkubali hata iweje si kwa kumuumiza mwenzie vile, fadhila zote alizitendewa kazisahau, muache tu sally aendelee kumuadhibu kimya kimya tu hiyo ndio dawa ya ugaidi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hamnaa dhambi mbayaaa na nzito kama kutokusameheee. Mtu akikuomba msamahaa bora umsameheee tu. Yaani akishasema nimejua kosa langu, nafuu umsamehe hata kama roho haitakiii Mungu atakutia nguvuuu. Kama mume wa Winni tulikuwa tunampeleka chaka, angemfukuzaa mkeweee, afu mtoto kumbe wakeee ingekuwa bonge moja la faulo. Angekuwa anatanga tanga kama sisi tu. Maana kufanya faulo rahisi, kujipa red card rahisi hata refa akikuchunia unatoka mwenyewe uwanjani atakupa tu red card. Sasa baada ya hapo kurudi uwanjani sio rahisi.

Sally aliniomba msamaha sio !ara moja sio mbili maskini. Nikajitia shababi la mashababiiii nisiejua kusameheee kabisaa. Hanisi kweli mimi. Kosa kalala na msomali. Sasa ubaya wa kosa moja huanzisha series ya makosa mengineee mengi.

Tamaaa tamaaa zangu nikapiga show ya kirafiki na Jolline ikabambaaa mbaa, ikawa sasa muendelezo wa show. Tonny akatufumaniaaa Jolline akasema lazima unioeeee. Yaani ni lazimaaaa. Nitaiweka wapi sura yangu Tonny akitangaza? Wakanijia juu wote na Lidya lazima nimuoe lazima nimuoe lasivo hawatanielewa kabisaaa. Kwa tukio lile no way out.

Nikatanga ndoa ya ghafka ghafla! Nikatoa mahari nangoja Tonny atangaze hakutangaza chochote tukawa tunajua sisi tu kwanini Jolline na Tonny wameachana. Nikao bwana. Kimasihara masihara. Sema niligoma kuoa kanisani nikakomaabeach wedding. Kila mtu alimua ku reserve their comments.

I can say Jolline sikuwa namjua, ukiacha uwezo wa kupiga show sikuwa namjua as a permmj. Cause we never dated. Uzuri ni kuwa alikuwa kaaa nje sanaa so mzungu mnoo. Kwanza sio muongoo. Pili yuko straight akisema hiki hapendiii hapendiii, kama anataka kitu anasema. Sio yule mtu anaetaka ujiongezeee kwake, yaani wewe ndo ujue anataka nini.

Uzungu huo huo mpaka ukawa sasa ukatiliii. Si mnajua sisi waafarica hatuwezi kwenda direct ni watu wa kupinda pinda. Mtu akija bila taarifa hapewi chakulaaa. Na kinakuwa hamnaa. Na hata kama kipo anasema ni makombo huwezi kumpa mtu left overs bora umnyimee kuliko kumpa chakula kina nyama mojaa au hakina hiki au kile ambacho mmekula nyie.

Na mimi nilinyooshwa natakiwa kusema narudi saa ngapi, nakula au sili, haina kupindaaa pindaa au late notice. Nikipinda ni ugomvi wa one to one. Hakopeshiiii yule dada. Wala hanuniiii. Ni kuchambana wima wima tu. Nilichokuwa namnyongonyezaa au na!shikia ni kwamba bwanaa mi sikuwahi kukwamvia nakupendaa! Tumeoana out of situation tu so usinipande kichwaniii sanaaa. Nishaacha wanawake wawili mmoja nilimpenda mmoja kama wewe. So usinijaribuuu.

Kilichosaidia ni kwamba kuishi na mtu humpendi rahisi sanaa kuliko mtu unaempendaa. Ni vizuri hata kwa afya. Mtu akisema kamuona guest sistukiii kabisaa. Hata nisipomkuta siwazi yuko wapi, anafanya nini, na nani atajijuaaa mwenyeweee. Nipo kama sipo. We enzi za Sally nikite hayupo afu hamna maelezo yanayo eleweka panachimbika! Naumia mwili mpaka rohooo. Ila sahivi aaaah sisi ni watu wazimaa. Mtu mzima akifanya kitu ujue kaamua.

Sasa ndoa ni hisiaaa. Na hisia ndo hazipo basi kama fungulia mbwa! Sijibaniii kabisaaaa! Nikivutiwa tu na mwanamke namtongozaaa vizuriiii na namlaaa. Sema sahivi nilibadilisha style, natumia style ya MBA (Maried but available). Nikaja kugunfua ni style nzuriiii sanaaa.

Ukiwa single man wanawake wakikuonaaa wanataka ndoaaa tu. Yani kukuona singke tu kosaa hamuwezi kuyajengaaa lazima iishie mtu kutaka umuoe. Nitaoa wangapi sasa. Na Pendo nilikuwa sivai pete na sisemi kama nina mke. Ila Jolline navaa pete. Basi rahaaa tu.

Maana la ndoa lilisha malizika tufanye mambo mengineee. Japo mambo ya kudaiwaa ndoaa yaliishaaa! Ikaanza sasa kupigwa mabomuuuu. Mume wa ukimpata jivinjariiii, hana mpango na wewe jivinjariii, anakudanganya jivinjariii. Wanawakeeee sijui wanawaza nini, kwamba basi sababu mume wa mtu pesa ukiingia bank zinakufata nyuma.

Wakakutana na Dee Mafia. Mtu bora usiniombee pesa nitakupa laki moja mbili za kukufuta jasho. Ukileta njaa wakati wote tunasikia utamu ndo nitakifurahishaa sasa. Iko hivi ndugu wanaume, the bigger the lie, the easier it is believed. Ukimwambia mwanamke nakupa 50,000 ukajitia kujikausha takukumbusha leo leo jioni, baby ile 50,000 vipi? Utampa manenoa mara 2 au 3 ya nne atakutukana mitusi ya nguoni atastukia ushamkopaaa.

Ila ukimwambia baby naona umekuja na bajaji, ina maana huna gari? Utaona macho yake yanavokuwa priceless haamini. Knyoko kweli kweli Sally mwenyewe sikuwahi kumpa gari nikupe wewe nani, kaniroge upyaaa labda mganga wa sahivi kanishindwa. Basi hapo ataanza ndio ababy sina gari. Naitikia aaah nitafikiria. Sijasema nitampa nitafikiria. Basi hapo nipewa uchi hata miezi 6 bureee, na ma care, ma treat, ili nimkumbuke kwenye ufalme wangu wa magari. Bada ya miezi sita ataanza kushtukaa gari hio vepeee mbona haitajwi tajwi.

Atajikaza ataulizia vipi ushanitafakari ababy wanguuuu, hapo ametoka kukupa hata Tigo kama unatumiagaaa, mimi situmiagi japo napewa sanaa hayo mambo. Namwampozaaa bora umenikumbushaa umeniwahi tuuu, sasa ushasoma driving kweli? Utaligongaaa baby. Unasikia sijasoma mieee mwenzio. Unamwambia aaaaah! Chukua 200,000 hii nenda pale Oxford soma course ya mwezi mzima, upate cheti na leseni kwanza. Hapo waaaaoh baby! I love you kibao. Wanashindwa hesabu ndogo umetoa uchi miezi 6 nimekupa laki 2, sawa na 5 kila niliposuuza rungu sasa una tofauti gani na changu wa buguruni?

Atamaliza na kuja na leseni. Kiukweli gari ni mazoezi, na yeye ya kufanyia mazoezi hanaa. Akianza baby nimemalizaa. Namwambia endesha hili langu nijue kama umewezaa, si unajua bei yake? Million 75, ukiligonga nina wewe. We si dereva niendeshe. Nampanikisha tu kumtajia million 75, ukigonga una mimi. Na hivi hana mazoezi, chupi inambanaa. Anafunga fnga mi break kama chizi. Namwambia wewe sio dereva baby. Bado. Kile chuo itakuwa kibaya nenda kingine sawa baby. Mimi i dont wanna buy you cheap cars, ndo maana nakusisitiza ujue ku drive. Au nikununulie vitz au Passo ndo ujifunzie kama unataka Prado au Harrier namna hii nitashindwa mimi. No baby naenda chuooo naendaaa, i promise. Kwa gharama zake hio tena. Wanawake mngekuwa na akili mngesema nipe hilo Passo, nalo pia hupewi wala nini.

Atajikaza kwa mashosti wapiii, yuko radhi atembee na dreva taxi amfundishe ku drive. Akija mara ya pili hata usijisumbue a test ashajuaa kuendesha mpaka semi trella. Ingia tu trade car view mwambie chagua mama. Ukikosa huko ingia be foward. Hapo ndo utajua wanawake akili zao zimeozaa. Atapiga simu kwa mashosti woteeee kuuliza achagu gari gani. Majibu ya sasa Vogue, Ferrari, Jeep, Ford, hawajifunzi kwa Wema hizo sio gari za Mtanzania. Akchagua vogue unamwambia click buy now. Analowa chupiii hivi hivi.

Ana click contact supplier, na mara nyingi usiku wanakuwa online maana Japenga inakuwa mchana. Unamwambia mwambi okay kila kitu. Ile account yangu, so ina details zangu. Inakuja Invoice. Anavoshikwa na nyegeee, haamini vogue zinapatikana kirahisi kwa uchi gani aliokuwa nao. Namuoneshaa, hii asubuhiii naenda kufanya swift transfer. Baby soon uta drive. Hapo hata umwambie nipe tako anakupa kiulainiiii.

Hapo nakulaaa uchi kwa raha yangu na navotakaaa. Nasusiwa mwiliii. Mi nachofanya na cancel purchase. Baada ya miezi kama mi 3 either namblock kwenye simu, au nasingizia mambo magumuuu magumuuuu, mpaka gari nimeshindwa kuitoa iko bandarini hapo, kama baby unayo million 30 itoe, mi nishakulipia 70 au tafuta mteja. Thubutuuuu. Mwisho inakuwa imeuzwa mnada. Ana ni block yeye sasa uchi wote ule kaambulia kujua ku drive tu, heheheee.

Yaani kwa utapeli wa uchi sina mpinzaniii. Naweza kumpeleka mwanamke hata bagamoyo namwmbia eneo lote hili langu ndo nalitafutia hati. Ikitoka hati baby nakupa heka 10 ulime matikiti ujenge utakavoona. Jichagulie kabisaa. Hahaaaa! Nakulaa auchi weee, hio hati haitoki ngoooo mpaka atakapojiongeza hapa nimeliwaaa au nikimchoka namtema hati haijatokaaa.

Wengine nawaambia nitakusomesha USA, wapiii. Au nakutafutia kazi NBC uwe menejaa, si una degree wewe, basi niachie mimi. Wewe sio wa kuwa office, maninaaaa kweli kweli. Namsoma mtu interest yake imelalia wapiii. Shida yake ndo namtapelia uchii. Mtu ambae hana kazi kumtapeli uchi kwa kazi ni rahisi kuliko kwa gari. Mtu mwenye kazi, hana gari anajua thamani ya gari ni rahisi kumpata kwa gari kuliko shamba au uwanja. Mwenye gari kumpata kwa kiwanja ni rahisi kuliko gari lingine. Nmasoma mktu afu namjazaaa.

Nilikuwa napata wanawake mpaka kijiweni wakanibandika jina la Dee Cassanova. Every woman has a price, just know the price on the tag. Na Jolline alikuwa anajua mimi muhangaikaji balaa. Akaamua kuzaa labda nitatulia. Wapiiii. Mwendo ule ule sijibaniiii kabisaaa. No one could control me. Bora enzi za Sally nilikuwa nakula penalty, sahivi mpaka mipira ya kurushwa, goal kick, faulo, nakulaaa tu mradi inalikaaa.

Akiwa mbele za watu Jolline anajitahidi, niseme tunajitahidi wote mpaka mimi kuonesha we are so happy. Ila ndani ya nyumba ni ukorofiii wa kwenda mbele. Tunakufa na tai shingoniii. Nyumba hizi zionee hivi hivi shoga angu zina mambo mengii, kuta zingeeongea ungejua ukweli na huo ukweli ungesikitisha sanaaa.

Hussein akanipa taarifa za Sally, sasa i was even in a darker palce sikuweza kumtafuta si kwa umalaya niliofanya hapa na kati, na si kwa umafia niliomfanyiaga, and people talked exaggerated nilimla kiboga na nini, na mimi sikukanushaa in short haikuwa poaaa. Masikini akiniona ananisalimia hata nikijikausha atanisalimia, aa smile, niaksema huyu mwanamke ana mpango wa kuniua nini.

Then nikaja kumuona mwenyewe Hussein hakunieleza vizuriii naona, ali under estimateee. Weeeeeeeeee! Like back in the days alipokuwa talk of Kariakoo. Sio wa mchezoo mchezooo. She looked happy, she was happy. Mi na Huseein ndo tunajua liopitia au tulio mpitishaaa.

Kama sio yeye. Ukimuona na mwanae utamjua? Cool mom ndo yeye. Akivaa jeans na top na mwanae atamvalisha hivo hivo. Na raba zinafanana. Na yule mtoto ni mzuriiii jamani. Toto la kisomaliii. Angekuwa mwanangu ningefuga mbwa wasio na idadiii. Insta sasa, atapost picha na mwane wako Dubai, au Paris, au Zanzibar, hawajibaniii kabisaaa. Kila siku nikiamka lazima niingie Insta yake ndo niendelee na kazi zingine. I wished niende hata kumface tusameheane sasa naanzia wapi ndugu msomaji naanzia wapi. The more i watch the more najikasirikiaaa, na kujitoa maana kabisaaa kabisaaa.

Naanzia wapi sasa ndugu msomajii, sorry nilikufanyia umafia, sorry nilimuoa Jolline, sorry i treated you like shit, too many sorry from one person. The more navofikiriaaa ndo naona ujinga wangu wazi wazi sahivi. She came back, to me. Alinirudia mimi, alijua makosa yakeee, alitelezaa tu. What the hell did i do that for. Ingewezekana kujiadhibuuu ningejiadhibu hata kwenda kuwa brooder hukoo labdaaa.

Jolline akajifungua mtoto ila akawa mgonjwa mgonjwa sanaa. Kuhangaikaaa sanaa, damu yangu ile Mungu anajua niliahangaika sanaaa. Ikaja kujulikana mtoto ana Anaemia. Mi sikushangaa si najua ugonjwa tu. Dr ndo alitibuaa mwanangu. Maana ni mchizi wangu sanaaa akanichana tu live.

Dee huyu mtoto sio wako. Nikashangaa na kubisha haiwezekani. Akasema wewe huna Anaemia, mkeo hana Anaemia hata chembee. Hamuwezi kuwa na mtoto mwenye ugonjwa huu. Huyu sio wako kakubambikia. Nimewacheki na mkeo mara 20 na zaidi hamnaaa. Huyu mtoto sio wako. Nilitoa mijichooo.

Nikaa hotelini kwanza nitafakariii kwa kinaaa. Nikatafakariii sanaa na kufikia uamuzi nimuache kimya kimya maana kwanza mwanae anaumwaaa, na ndo atahangaika nae mpaka basi as a single mother. Silei tena mtoto wa mtu mwingine ngooo. Nimekaa hotel wiki 2 kwanza sikumwambia mwisho nikamwambia tu ukweli. Akabishaaa sanaaa, oooh kama unataka kuniacha niachee tu sio kunisingizia. Akaita kikao cha familia nikasema mimi niko tayari kupimaa. Nikapima na kuleta majibu, na uhakika yeye alipima kisiri siri kukuta nae hana ndo akakumbuka aliempa cha fasta nani.

Baada ya kuji victmise mbele ya ukoo kote kuona janja janja imefika mwisho ndo ananza kukubali na kuanza kuomba msamaha. Sasa huo msamaha au unaona ufanyaje huna pa kutokeaa. Bora Sally mwenyewe alivo amua kujisalimisha siku ile ile afu ndo nikamfanyia Umafia, yaani kama haya yametokeaa ili tu lile neno kwamba nilimfanyia Sally ndivo sivo litimie.

Jolline akwa anashinda kwenye maombi, ndoa isife, nikasema watch me. Nikaamua sasa narudi kumtongoza Sally. Mi sina bahati na wanawake, yule ndo mwanamke alienipangia Mungu. Nikatubu kabisaa kwa Mungu, toba ya kweli. Wanawake wote atleast wale niliowalaa mda mrefuuu na kuwatapeli magari, mashamba, nikawapa ili toba yangu ipokelewee. Sio ma vougue ila vi passo, startlet just try to right some wrongs. Mashamba hata Msata huko, watu wana ridhikaaa. Yote kuomba favor kwa Mungu na kumuomba msaada wake, maana ni Mungu tu ndo angeweza kunirudisha kwa Sally, hashindwi wala hajawahi kushindwa.

Kama alikausha bahari ya shamu wakapita waizrael basi pale atanirudishaa. Baada kufanya malipizi, nikaanza kumtongozaa upya. Kama nilifanikiwa mara 2, ya 3 haikuwa ishu kabisaa. Nikaanza kwanza kumfata ofisini, na jivictmise Jolline kazaa nje, my marriage is over, nasikitishaaa najifanya kuvurugwaa hatariii.

Ndugu msomaji kaa mkao wa kula kama sio kuliwa.
 
Back
Top Bottom