Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
WoiiiiiiiWamemkana sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
WoiiiiiiiWamemkana sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha ooh hatumtaki tena SallyWapi kana
Nipo mama, namuona Pablo Dee anavorudisha majeshi kwa Sally!Wapi kana
Mama wee!Haha ooh hatumtaki tena Sally
Weee hapa sally akiishia kwa msomali najua umefanya hujuma maana dalili zinaonyeshalara 1 naomba tuongee chemba teteatete kidogo.
Sizitaki mbichi hiziMama wee!
Wewe ni team msomali sio team Sally!
So, stick with your msomali and stop jumping the boats!
- KANA -
TehHaha ooh hatumtaki tena Sally
Ahahhh itakula kwaoNipo mama, namuona Pablo Dee anavorudisha majeshi kwa Sally!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
- KANA -
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kasahau team yakeMama wee!
Wewe ni team msomali sio team Sally!
So, stick with your msomali and stop jumping the boats!
- KANA -
Kweli aiseeeeHapa ni kujiandaa kwa yote tu,kula na kuliwa
Aah me pamoja na yote sijamkana msomali wangu. Ila kana alidiss sana kuwa hamumtaki Sally, nashangaa mshaanza kujipendekeza. Natabiri sally watarudiana na Dee (teh na hivi lara hapendi utabiri[emoji125] [emoji125])[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kasahau team yake
Mwenyewe natabiri Sally atarudiana na msomaliAah me pamoja na yote sijamkana msomali wangu. Ila kana alidiss sana kuwa hamumtaki Sally, nashangaa mshaanza kujiendekeza. Natabiri sally watarudiana na Dee (teh na hivi lara hapendi utabiri[emoji125] [emoji125])
Warudiane tu lakini me nipo nyuma ya Sally [emoji6][emoji6]Aah me pamoja na yote sijamkana msomali wangu. Ila kana alidiss sana kuwa hamumtaki Sally, nashangaa mshaanza kujiendekeza. Natabiri sally watarudiana na Dee (teh na hivi lara hapendi utabiri[emoji125] [emoji125])
Ila Dee kaniuzi jaman alichomfanyia SallyI will remain loyal to my team no matter what!
Nawaona tu mnavyohama hama. Wengine mmeanza kuandika barua kwenda FIFA kuomba point tatu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wengine ndo kujidai team Sally sasa hivi, tena wanamtolea msomali wao mitusi.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mi nakomaa humu humu team Dee, kitaelewa tu. Dee hakuua mtu bana. Atasamehewa tu!
Tena ameanza hadi maombi hahaa.
- KANA -