Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Haha me nakuwa honest bana, siwezi kumtetea pa kumtelekeza mtoto wake, ni mpumbavu sana. Sally anamuomba mtaji anamnyima while ndiye aliyemtoa k/koo, bado mtaji huo huo ungetumika kuendeshea maisha ya mwanae. Kuna kitu nilitaka kusema ila lara atageuza gear angani teh
Hii comment kama sio wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani msomali wenu mzee wa FP mnamkana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eeehh maliq tena??

Sasa si afadhali kuondoa utata wa mtoto wa kisomali? Sasa Sally akiolewa na Mndekereko nywele za kipilipili kama Samaritan huku mtoto wa kisomali si ndio itaendelea kumsumbua maisha yote? Bora Malik anausomali na atakua na uchungu na mtoto. Si unaona na yeye mambo yashaanza kusetiwa kimtindo?
 
Yaani ni bora umfadhiri mbuzi utamla mchuzi au hata nyama choma ushushie na balimi[emoji23][emoji23][emoji23]ila si msomali bumbavu kabisa
Et ooh msomali karudi kulea mtoto wake shubhamitiii kabisa mbona kamtelekeza sasa
Maisha haya[emoji23][emoji23][emoji23]
Wameishia kumtolea mitusi msomali wao!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

- KANA -
 
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa kwakweli
Wanamkana msomali [emoji23][emoji23][emoji23]utasikia wanahamia team sally
Marufuku, usajili ushafungwa!

Team zinajulikana.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

- KANA -
 
Sasa si afadhali kuondoa utata wa mtoto wa kisomali? Sasa Sally akiolewa na Mndekereko nywele za kipilipili kama Samaritan huku mtoto wa kisomali si ndio itaendelea kumsumbua maisha yote? Bora Malik anausomali na atakua na uchungu na mtoto. Si unaona na yeye mambo yashaanza kusetiwa kimtindo?
Maliq asijaribu kumtamani sally acha sally aendelee na maisha yake tu kwakwel
 
Mmesahau miluzi mingi inampoteza mbwa? Tunachofanya hapa ni kumchanganya fanani tu. KLM anaweza kupiga tukio wote tukaomba sub hadi refa na washika kibendera wote. Usicheze na mabomu ya komando kipensi
[emoji23][emoji23][emoji23]hapa kama anasoma hizi comments naona ataandaa mijeredi kabisa aje kutukomoa tu,huyu director siye kabisa
 
Back
Top Bottom