Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Haha me nakuwa honest bana, siwezi kumtetea pa kumtelekeza mtoto wake, ni mpumbavu sana. Sally anamuomba mtaji anamnyima while ndiye aliyemtoa k/koo, bado mtaji huo huo ungetumika kuendeshea maisha ya mwanae. Kuna kitu nilitaka kusema ila lara atageuza gear angani teh

Acha niwe mpenzi mtazamaji

- KANA -
 
hahaaaa team dee nasikia walienda kimbiji kwa mganga wamemnywesha msomali Maji ya chupi ya baba Abdul ndio maana anamkataa mtoto. na Lara wamempa nyama ya tako ndio kabadili gia angani.
natamani dee nae aibike, msomali afirisike maisha yamle tigo. Sally aolewe na LE BIG BOSS
 
sally KM/nyokooo wee
Ila Dee na jollie?didn't see this coming
Ila msomali nilijua tu hawezi kumuoa sally,wasomali wabinafsi sana kama wahindi au waarabu tu,mfyuuuu
Kwahiyo Tonny ni single eeh?
Haya sally awanyooshe sasa tuone ila nahisi kama ataishia na huyu boss mpya vile
Lara 1 ubarikiwe sana
 
Mi bado sioni kosa la Dee, ndo maana hata Sally hana hasira nae kama ilivo kwa msomali.

Al-shabab lenu limeshindwa hata kutunza mwanae! Limesahau lilivo okotwa kariakoo!

Sally amchomeshe uhamiaji shubamit.

- KANA -
Yaani ni bora umfadhiri mbuzi utamla mchuzi au hata nyama choma ushushie na balimiila si msomali bumbavu kabisa
Et ooh msomali karudi kulea mtoto wake shubhamitiii kabisa mbona kamtelekeza sasa
Maisha haya
 
Back
Top Bottom