Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Pastor ana mambo ya kifilipino jamank lol, so sweet. Nimesmile huku huhuhu
 
Iv ujistukii
au sijui nikufananishe na jeche jeche yaani umenichefua au we Tito nn
 
Mi nmesoma hkuna hata sehem iliyonichosha au kunichangana, we pengne dishi lako umegeuzia vikumburu...!
 
The End.....watu hubadilika maisha yanabadilika,Dunia haibadiliki kutoka kula bange,gongo za kichina mpaka mrs pastor.
Lara moko kiboko' ubarikiwe.
 
Kuna Party 2 yake ndo ndeefu kuliko part 1. Tujipimzishe kwanza afu kuna mistori kibaoooo pending. Maybe just maybe Mungua akipenda tutaiona part 2.
Great story lara 1 ...I love happy endings

I can't wait for hiyo part 2.
 
Hahahahaaaaaaaaaa! Hilo la kunenepeana nalo neno, nimekula sahani ya pilau nzimaaa, na soda! Mange anangenifuma kunipa hesabu ya calories mbona ningedataaaaa. Inabidi tu ninywe dawa za kimasai diet yataka nidhamu na mimi sinaaa.
Poye mwayaa.....ukimaliza hiyo dozi kuja kwangu nikupe dawa orijino hao wamasai wa mjini sina uhakika km wanakupatia zile zenyewe kbs
 
Hahaha kuvizia huko vepeee si aliamua kuondoka km mbwai iwe mbwai tu kakosea kurudi mwanamke unatakiwa uwe na maamuzi magumu na mipango thabiti km wataka pindua nchi
.......hahaaaaaaaaa....................hatari sana hii
 
Kuna Party 2 yake ndo ndeefu kuliko part 1. Tujipimzishe kwanza afu kuna mistori kibaoooo pending. Maybe just maybe Mungua akipenda tutaiona part 2.
Mungu akuwezeshe!
 
Pita kushoto....hujalazimishwa humu..huajitwa..hujalipia...hujaombwa kucomment....mwone ndio mana.umeazima laptop ili ulog in...chaaaaaaaaa sepaaaaaaa
 
Tangu nianze soma story za lara 1 naona we ndo umekerekwa kuna watu zaid ya laki wanasoma na weng wanacomment vyema kuwa unatufurahisha , hatulali wenzio na alam tunaweka kwa uandish wake huu huu, kama unakukera weye tu pita
sio lazima usome jf kuna majukwaa meng sana ,
At least ungetuandikia hiyo yako ambayo sio uharo wa bata tuisome ili tuone ila we ndo naona hapa unachefua na uharo wako tuachie lara 1 wetu halipwi ni free kiburudisho so tulio wake tunaenjoy, usirud humu hujaitwa
 
K
KaTafuta kiki kapata alerts zake zimemfurahsha mwenyew
 
K

KaTafuta kiki kapata alerts zake zimemfurahsha mwenyew
Na amezipata haswa kuna mijitu inaboa kwel, kama kalazimishwa kusoma
wivu tu hawana lolote, ye mwenyewe kashindwa kuandika kuja kucomment mautumbo tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…