Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Last thing you lose is hope, once hope is lost everything is lost
Dahhh V nimefurah mno....thax alot lara kwa stiry dah sidhan kama kuna mtu ali expect kam pasta atarudi ....jana niliumia sana baada ya kufaniwa na ile sms dahhh...itabid nirudie kusoma mana nilikuwa naruka ruka walau nione kama V atapata hitaj la moyo wake
 
Kuna Party 2 yake ndo ndeefu kuliko part 1. Tujipimzishe kwanza afu kuna mistori kibaoooo pending. Maybe just maybe Mungua akipenda tutaiona part 2.

Lo afadhali kuna part 2 yan sijafurah kabisa kuisha hivi damn story nzur hatareee, KLM katika ubara wao.
 
So sad...
Kwa mwisho huu, Anyway All the best KLM.

Thank you Lara 1.
 
lara 1 tarehe 30 April nitakuja Coco Beach kwa heshima yako. Daaaah! Yaani you can very easily make a darker day seem bright. Hujawahi kukosea kwenye hizi story zako.
 
Thanks lara, good story. sema jamaa yangu T, sijajua mwisho wake, nilitegemea Viola ampe maneno yake. Thanks again. ila na ile story ya kina mudy ukipata muda uimalizie.
 
Thanks lara, good story. sema jamaa yangu T, sijajua mwisho wake, nilitegemea Viola ampe maneno yake. Thanks again. ila na ile story ya kina mudy ukipata muda uimalizie.
Lara aliresign haraka ....na alikuwa frustrated kwa kumkosea pastor hata angemwona t wala asingemfanya lolote ....
 
Nimefuatilia story hadi nkaanza kuhisi nimewekewa kizizi...Lara utatuua maana si kwa raha hizi...

Sijui kwa nini nimevutiwa na character ya raul mzee wa kutumika....Alafu story ya man maker vipi ?????.
 
Hata mimi nimejisikia haja ya kumuoa Lara1 ila mipaka itakuwepo. Kwako napata Riwaya kama hizi tu. Kunizoea zaidi hapana.. Nitatangaza ndoa kanisani kwangu next week.
 
Back
Top Bottom