Tangu nianze soma story za lara 1 naona we ndo umekerekwa kuna watu zaid ya laki wanasoma na weng wanacomment vyema kuwa unatufurahisha , hatulali wenzio na alam tunaweka kwa uandish wake huu huu, kama unakukera weye tu pita [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] sio lazima usome jf kuna majukwaa meng sana ,
At least ungetuandikia hiyo yako ambayo sio uharo wa bata tuisome ili tuone ila we ndo naona hapa unachefua na uharo wako tuachie lara 1 wetu halipwi ni free kiburudisho so tulio wake tunaenjoy, usirud humu hujaitwa [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]