Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Ahsante Dear Lara 1,nimeshashushia ubuyu wa kulalia now.

By the way...Ile Épisode Two imenikuna sana yaani.

Have a Greatful Night Mpendwa.
 
Ahsante Dear Lara 1,nimeshashushia ubuyu wa kulalia now.

By the way...Ile Épisode Two imenikuna sana yaani.

Have a Greatful Night Mpendwa.
Wapi palikukuna zaidi pale kwa kufanya kazi au?
 
Mbona vituko vya violla ni original yako ww mwenyewe lara1
 
kanichekesha huyo mke alotishia kuondoka kisa wifi, afu Karudi na mabegi yake ndani Eeeh, watu hawabembelezi. Afu mambo ya kumu-underestimate mtu tena hata humjui sio mazuri, afu tutakuja tupishane na bonus bure Hahaha
 
Hahaha mbona me Nipo sana nanenepeana tu. Daddy katoka kidogo

Hahahahaaaaaaaaaa! Hilo la kunenepeana nalo neno, nimekula sahani ya pilau nzimaaa, na soda! Mange anangenifuma kunipa hesabu ya calories mbona ningedataaaaa. Inabidi tu ninywe dawa za kimasai diet yataka nidhamu na mimi sinaaa.
 
Hahah na wewe upo kwenye diet? Sio kwa hilo menu lako la pilau, utafukuzwa team size 0 oooh. Haya na wewe goal yako unataka uwe size ngapi? Mie nanenepeana tu bana huhuhu
 
The man of God!

Akawa kafika kanisanj, mtumishi akaanza kuhubiri! Akapigwa na butwaa kwanza maana hilo body la mtumishi si la kitoto. Misuli ya hajaaa, yani analiona kwenye koti. Afu kavaa smart, Chinos zake, shati, kachomekea na tai, chini ana moka za ukweli. Akabakia tu kisema naaaaaam! Marahabaaaaaaa!

Shoga namuuliza how do we go about this? Embu tell me how can i not like him? Akabakia kimya tu. Sema hata kwa caliber yake akajua tu yale maji marefu, tena sanaaaa. Ikabidi tu amalizie ibada kiubishiii. Mda wa kutoka shoga ake akamsalimia Pastor alivopita jirani yao, Pastor akasimama kabisaaa, yeye akajikausha. Pastor akaongea na shoga yake akamgea namba. Mmmmmh! Akajiwazia tu, it couldnt be that easy!

Shosti alivorudi akajua atakuwa full shangwe sio kwa kuoewa namba ile. Akawa kajiandaa kisaikolojia kuwa bored. Mara shoga kaja kamgea yeye namba! Tobaaaaa! Akauliza kulikoni hii namba. Shoga ake akamwambia shoga Pastor kasema umpigie haraka sanaaaa. Una mambo mazitooo yanakuzunguka, unahitaji maombi mazito. Moyoni Violla akajisemea tu "Such a lame old pastors trick" Hakumpigia na kanisani hakwenda tenaaa.

Ikawa yule mwenye wifi control freak akaja kazini timu timu, na kuwasimulia she called the blaff, siku hio dada mtu alikuja kwao, akawa katika maongezi ikatokea mabishano makubwaaaa. Mabishano hayo ni kumuhamisha mtoto shule, mtoto wake yeye, maamuzi anafanya dada wa mume, akasema wasimtanie na ujinga huooo.

Alivoona mume kaside na dada mtu, akaingia ndani kafubga kila kilicjo chake , katokana mabegi manne, akajua mumewe atamstopishaaa, keshajinadaa na demands za ajabu ajabu hatariiii, akawapita sebuleni, kafika barazani, akachungulia kama mume anamjia, ndo kwaanza wanapiga story na dada mtu, akaondoka mpaka kituoni, kakaa masaa 2 mume haji, akaanza kurudi kwake.

Kufika kamkuta wifi bado yupo na bado wanaongea, kaingiza mabegi ndani, wifi akacheka cheko kubwa! Ahahaaaaaaaa! Anasema akajisikia mjinga si kidogo si kwa wifi kumcheka loooh! Wifi alivoondoka mumewe akamjoke mbona umerudi umekosa basi nini nikupeleke? Hahahaaaaa! Akaaa kimya tu. Anadai hana hamuuuu na wifi mtu kabisaaaaa.

Ofisi kiukweli wote waluchekea tumboni si kwa mtu kurudi na bag zake. Hahahaaaaa! Wakamwambia wewe umekosea usingerudi. Ungekaa hata wiki 2 akili zimkae vizuriiii. Hapo ushapoteza point 3 muhimu kwako, washakuona mtu wa kutishia tu, siku ingine fanya kweli wala usiste. Ukingoa kambi ngoa moja kwa zoteee hata iweje usirudie njianiiiiii. Inakuwa imetoka hiooo, ikirudi panchaaaa.

Watu wakawa wanasema tu katika promotion mpya idea ya nani itashindaaa? Wakawa wanatajwa tajwa Side, Pendo na Boss Kubwa. Promotion yenyewe ilikuwa ihusu kuwagusa watu wa chini kabisaaa. Ikawa kila mtu ana submit proposal yake kwa boss kubwa. Ikatoka tu kuwa proposal ziko 4, Wakawa wanajiuliza wa nne nani? Violla kawatambulisha kuwa kaamua kuwa serious na creatives na huo ndo mwanzo wake wa next big thing.

Katika kutaka kuwa serious na creatives na kufupisha safari yake ya kumtoa pendo kileleni, akaamua kuwa consult creatives guru wa mjini hapa, huku na huku uliza uliza akaambiwa kuna mkaka Agrrey and Clifford he is good, the best at what he does. Akaomba pande wawe introduced, basi huyo shoga ake ndo kufanya hayo yatokeee.

Siku hio akafika dinner sasa ambayo wanakutanishwa sasa kwa hilo tukio la kufahamiana. Akiwa nje sasa anataka kuingia ndo akasikia mtu anamuita dada! Dada! Akastukaaaa! Nani tenaaa! Kugeuka akamkuta yule Diaspora wa kule Jangwani sea breeze. Akamsalimia kwa tabasamu! Longtime no see! Basi akawa kama kaboeka mtu kama yule kumpotezea mda kwenye siku muhimu ya kukutana na mtu muhimu kama yule. Akawa anamjibu tu short short. Eeeeeeh! Ndio! Sawa. Akasikia can i get your number? Akazuga mimi sahivi sina simu ujue, simu yangu mbovu. Basi akawa anamwambia sio issue chukia yangu unitafute, akawa kaiandika ila hakuisave wala nini.

Akawa kawahi kwa shoga ake kujiandaa na utambulisho. Ile wamekaa na nini shoga akamwambia mtu mwenyewe mashauzi kaishi sanaa nje ujue inabidi tu umvumilie. Looooohhhh! Akaaamua kuchuna kwanza, mashauzi atayaweza kweli? Ila si kwa maisha yale akosee kumvumilia nshomile. Akamjibu nitawezaaa. Basi shosti anamwambia mi nashangaa watu wanasema anajisikia but mimi kama mimi wala sijawahi ona ana tatizo kaka wa watu.

Tena yule anakujaaa, sasa Violla akawa ndo kampa mgongo yule kaka anaekuja mtaaalamu wa creatives. Akawa anawaza sijui kituko gani kinakujaaaa. Akasikia we meet again! Akastukaaaa! Kumuabgalia ndo yule yule Diaspora! Akwa mdogo kama piriton. Shiga ake akawa anajikosha so you have met before? Kwa hio mnajuana? Yule kaka akajibu tu kind of! Zikapigwa story story pale.

Ndo Diaspora ambae jina lake alikuja kujua ni Raul, akamuuliza you want to do creatives?creative is a talent lika the word, not somethinb you can learn but it just comes to you. Ideas just flow! Blah blah blah! In short hakukuwa na jipya la yeye kujifunzaaa. Basi Raul akamwambia tu check me out weekend namba si unayooo, i will show you my latest works unaweza pata kitu. Namba hana hakusave. Akaitikia poa tu. Akamtext shogaaa nitumie namba yake! Shoga akawa anashangaa why kama ana wqnajuana mbona namba hanaaa, afu jina hamjui, hakuuliza sana anyway!

Huku majibu yakatoka proposal ya Boss Kubwa ndo imepita, ila kila mtu akaisfia ya Violla ndo kali manake Boss Kubwa alitaka igizo la Jingle, Jingle yake yenyewe haina hata mashiko, Pendo alitaka igizo la kifamilia baba na mama wanaulizana wanunue mabati aina gani? Eti wakaenda kumuuliza mwenye duka mabati gani yanapendwa sanaa? Mwenye duka ndo anajibu nunueni mabati chapa flani, ni imara mazuri na yanasifiwa na kila mtu. Side yeye poroposal yake ilikuwa waweke mzungu aongee kusifia yale mabati yao, na ndo enginer huyo mzungu na ki certification cha CRB. Violla alipropose katoto like 8 years kiko uswaziii, kichafuuu, kinawaambia wenzie baba kaweka bati, baba kaweka batiii, wanakimbizanaa kwenda kwao kukuta mafundi wanaweka bati! Wakashangaaa! Hapo 1970. Afu 2012 mbaba mtu mzima sasa anazitazama zile bati na kusema ama kweli bati chapa falni ni kiboko yaooo, nimekulia humo humo na wanangu wanakulia humo humo. Ila ikawa ndo keshashinda boss na jingle yake isio na kichwa wala miguuu. Wakajua Violla atatulia.

Akazipost zote skype group ya ofisi nzimaa wapige kura ipi kali. Mchuano ukawa mkali sanaaaa, kupita maelezo. Akawa anaongoza Violla, Pendo, Side afu boss wa mwisho ndio. Ikawaa balaaaa. Mara Pendo anakaa kileleni yani kura zikawa zinabadilika kila dakika. Boss kubwa kuona anapoteza akapiga marufuku na kusitisha upigwaji wa kura zile, kuwa project ishaamuliwa na iko jikono, kampuni ishapewa tenda so, why all the nonsense badala ya kufanya kazi.

Mchuano ukazidi kunoga, mzungu ambae ni Finance Manager akampigia kura Side, ikawa na maangement nayo ndani ku vote. Hali ikawa tete. Wmisho kabisaa akashinda Violla kwa tofauti ya kura 5. Kesho ofisini Director wa marketing akaja idara yao huku, na kiwapongeza ka creatives nzuriii, sanaa, saana na uongozi umefurahi ari ya ushindani iliojitokezaaa na wana imani italeta changamoto na matokeo chanya kwenye ufanisi wa kimasoko.

Hivo basi uongozi umeamua kulifata lile shindanonna tangazo la Violla kutumiwa. Loooooooooh! Boss akasawajika uso, Pendo akawa mdogo kama piriton. Huku Lau eti anafungua page na kuandika resignation yake mistari 2. Kuwa kila Violla akishinda taandika mistari 2. Hahaaaa! Sessy yupo Violla ndo kila kitu wewe, huna mpinzani kabisaaaa, Pendo bongooo, wakubebwa holaaaa mwaka huuuuu! Na badòooooooo! Utafikiri ndo keshapewa hiko cheo tayari.

Kusherekea ushindi wake usiku akajisikia so lonely! Mara ikingia chat ya Raul! Hi! Akasema patamuuuuu hapaaaaaaaa. Kutokana na shangwe shangwe akamjibu tu Hi! Wakaanza kichat, kwanini ulinidanganya huna kazi? Raul akamwambia nilikuwa nakima tu, mademu wa mjini mnapenda tittle na vyeo sio watu. Huoni ulivonikaanga je? Ninge kwambia ni creative director ungenikaanga?

Violla akakubali guility as charged! Basi anajibembeleza na nini si unajuabtenaaa mjjni hapa, ukoma na jembe unataka kuilima lami? Hahahahahaaa! Raha ya utu uzima Raul kaenda direct to the point anataka ku hook up you know, sleep around. Watu wazima hakuna za i will marry you baby hio baadae sanaaa. Na Violla was kind of lonely but she was not sure ikabidiaombe muongozo wa kikatiba, kwa mashosti.

Akapiga connected call wanaongea watatu! He asked me out and he was direct! Haaaaaa! So rude and sexy! So will he be getting any? And he has a job! Creative director! Wakadakia what? You dont say. Akawasimulia how she found out. Baadae akawaambia ila kuna issue, mtumwenyewe kipipa, chubby chubby sanaa, not my liking kabisaaa! Wakabakia kimya kwenye line. Baadae ndo kumchamba aache ujinga, umri ule kupata ukuni unashukuru sio kuwa mbaguzi. Chubby atampeleka gym. Aache mambo zake za kiboyaaaa. Akawaambia tu im not so sure. Wakamwambia kama unataka tuje kukuburuta mpaka huko, leta habari zako za Chubbh!

Akamkubalia Raul outing, outing yenyewe Raul anapika kwake weekend! Mmmmmmmmh!

ITAENDELEA KESHO SAA 5.
Ladies, when a nigga invites you to his crib with "kuja nikupikie"... ."kuja nikuonyeshe vile gas yangu inawakanga vi funny" "kuja unifundishe kupika chapo". tha nigga is politely telling you to come and have sex with him at his place. In fact, this is no longer news to these ladies. these ladies know that the very moment they accept to come, there is no "chapo to be cooked"..they know very well that they are simply escorting their labia minora for a possible perusal at your crib. They know and have consciously accepted that there is a possibility of her pelvic areas being interrogated by your loins. They know!! that's why they shave before they come So niggas, if the lady accepts to come, don't waste her time trying to be cautious ...remember that that lady has crossed borders for you. she has boarded matts in routes where people have been robbed....she has used roads where people have died to come n see you. Look at that sacrifice. Sharper niggas have unhooked bra's within the first 5 minutes of a lady's visit coz they know that time is coitus yet wewe bado uko hapo na stories ohh "how was your week..ohh si unaona huku si mbali vile..'" why are you wasting that woman's time?? Secondly there are ladies who dont want to come and "cook chapo for you at yo crib" them they just want to meet you in town everytime. "hapana, wacha tu tukutane tao.." That is a lady who will never give you coitus my friend. members, i will not lie to you ..dont meet up with such a lady..she just wants you to buy her food and then she'll go ride another nigga with the energy from the food you bought.

WAKUBWA AND PROs TUSHAELEWA.
 
Hahahaa, kuna part umenifurahisha..hapo pa kushave au matched bra and bikini set,hapo ujue bidada alijiandaa
 
kanichekesha huyo mke alotishia kuondoka kisa wifi, afu Karudi na mabegi yake ndani Eeeh, watu hawabembelezi. Afu mambo ya kumu-underestimate mtu tena hata humjui sio mazuri, afu tutakuja tupishane na bonus bure Hahaha
Hahahaa, huyo Dada mwepesi sana kakubali kurudi mchana kweupe na wifi kamuona...mi ningerudi mda ambao wamelala,teh
 
Ladies, when a nigga invites you to his crib with "kuja nikupikie"... ."kuja nikuonyeshe vile gas yangu inawakanga vi funny" "kuja unifundishe kupika chapo". tha nigga is politely telling you to come and have sex with him at his place. In fact, this is no longer news to these ladies. these ladies know that the very moment they accept to come, there is no "chapo to be cooked"..they know very well that they are simply escorting their labia minora for a possible perusal at your crib. They know and have consciously accepted that there is a possibility of her pelvic areas being interrogated by your loins. They know!! that's why they shave before they come So niggas, if the lady accepts to come, don't waste her time trying to be cautious ...remember that that lady has crossed borders for you. she has boarded matts in routes where people have been robbed....she has used roads where people have died to come n see you. Look at that sacrifice. Sharper niggas have unhooked bra's within the first 5 minutes of a lady's visit coz they know that time is coitus yet wewe bado uko hapo na stories ohh "how was your week..ohh si unaona huku si mbali vile..'" why are you wasting that woman's time?? Secondly there are ladies who dont want to come and "cook chapo for you at yo crib" them they just want to meet you in town everytime. "hapana, wacha tu tukutane tao.." That is a lady who will never give you coitus my friend. members, i will not lie to you ..dont meet up with such a lady..she just wants you to buy her food and then she'll go ride another nigga with the energy from the food you bought.

WAKUBWA AND PROs TUSHAELEWA.

..umenikumbusha mbali jinsi nilivyoliwa kiulaini, of course nilijua kabisa nini kitahappen huko kwa crib sema na mimi nilikua nasubiria neno moja tu😉
 
Hahahaa, huyo Dada mwepesi sana kakubali kurudi mchana kweupe na wifi kamuona...mi ningerudi mda ambao wamelala,teh
Hahaha yani huyo mke ndo kauza mechi, ndo watamkalia kooni vizuri coz wanajua hana cha kufanya teh. Me naona bora tu alivyorudi muda huo huo, huyo mumewe kichwa panzi na wifi yake wangeweza mfanyia makusudi. Unashangaa unarudi usiku na mabegi yako mlangoni kuna bonge la kufuli. Ila mwanaume wa kushikiwa akili jamani ptuuuu
 
upload_2016-3-15_10-49-21.png

awwww lara 1 like post! am gonna pee into my pants today! hahhahahahah
 
Back
Top Bottom