Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Kwenye makadirio yako nimefikia umri gani labda?
Utakuwa ndio umeingia 30 hivi mpk 32
Mana kuna mdada namjua nayeye ana vijitabia kama vyako anavaa vizuri kama kaschana ka 25 yani simple shoes zamaana zile handbag nzuri leggn jeans na raba ndio mambo zake maongezi yake ukimzoea utacheka ufe naye yuko age hiyo 32
 
wanaume wameumbwa mateso teh huo mshahara augawe kwa vitu vingi,sasa hapo T alikuwa akope kisa dinner ya siku moja,bado hata hajamla V teh teh... mpaka siku ya kumpata kweli kweli sijui angekopa saccos... lakini cheki pastor mpaka sasa hajatumia hata laki kwa viola....
Kinyume chake Violla ndiyo katumia "laki" kwa Pastor...remember the dinner she prepared?
 
lara 1 rafiki yangu, hizi formation( 4,4,3 au 3,3,3,2- 5,5,1 au 6,5 ) kwa kweli sijazielewa. Au zimo kwenye philosophy za mzee wetu LVG??
 
Hahahaaaaa eti na leo nisipoliwa na Pastor Mungu saidia.
Lara1 wewe! Poor Violla
 
Alivopokea tu, akamuuliza uko wapi? Violla akasema nipo home. Raul akauliza can i come over? Violla aksema NO! Raul akagunaaa. Badae akamwambia need my car back, Violla akamwambia tukutane kesho town tubadilishane. Raul akasema poa. Violla akajitupa kitandani na kuwaza mambo mengi sanaaa. Akajiona basi tu yeye mkosefu wa mwishooo.

Kesho akakutana na Raul akambadilishia gari lake, sasa kwenye maongezi akawa hajachangamka kabisaaa! Raul akamuuliza tu, is it something i have done? Violla akamjibu tu No! Wanna talk about it, Violla kajibu tu No. Raul anajisemesha it is not the end of the world sio vizuri kukosa raha hivo. Violla akamwambia i am a very bad person, if you knew me you wouldnt be smiling at me now. Raul akamuuliza tu, says who? The Pastor? Come on! We all bunch of bad people, except we learn to accept who we are naturally devils, and embrace our devilish nature. Let the pastor not talk to you about self condemnation, he aint God! He could be the devil himself what do we know about him?

Violla akapata faraja kiasi flani, akaamua kuwa honest, you wouldnt hate me if i told you yesterday after i slept with you, i slept with pastor also, im so stupid Raul! Akajua Raul atapanic! Wala hakupanic akajibu tu i would say hate is a strong world. I am hurt by the news, jelousy yes but hate no! I dont hate you. True friendship is accepting your friends for who they are. And you didnt sleep with me, not yesterday atleast. You were too passed out, vomiting for my liking! Violla akatabasamu tu, still it didnt change anything.

Wakaagana, Violla akaenda kazini ku resign kazi yake, akarudi nyumbani kulala kwanza. Akaamua tu aanzishe branding and Pr company yake. Mradi tu awe busy, hangaika Brella wapi wapi, hoiiii. Akatafuta kiofisi mjni, kakiweka furniture akawa kajinyoosha kidogo Not much but something. Akawa busy kweli, mpaka zikaisha wiki 2 hajamuwaza Pastor wala nini. Wiki ya 3 ikaingia sms kutoka kwa Florida! Roho ikafanya paaaah! Akasema siisomi mpaka nirudi home. Akafika home, akapika, akala, kaoga kabisaa mda wa kulala kaamua kuifungua ile text.

Imeandikwa "Familia ya Dr. Kamugisha na mkewe wanayofuraha kukualika katika hafla ya kumuaga mtoto wao Florida Mugisha, itakayofanyika October 2014, Ukiwa kama ndugu wa karibu unaombwa kutoa mchango wako wa hali na mali kufanikisha hili." Akachoka mwili na rohooo. Akambock Florida, akamblock na Pastor namba zotee. Akaanza kuandika company profile usiku ule ule mpaka saa 3 asubuhi yupo macho. Akachoka kabisaaa. Akajitupa akalaaaa.

Basi akaanza kujiconvice mdogo mdogo kuwa it was not ment to be, Mungu anampenda ataleta mtu mwingine, bora kuliko Pastor, akajikuta tu automatically she found God. Akaacha ulevi wa aina zote, akawa mtu wa kuombea kazi zake, maisha yake, familia yake. Hakwenda tena kanisani kwa pastor wala hata kumuona Pastor kwa ukaribuuu. Siku moja tu ndio alimuona Florida kwa mbali anakuja upande wake, akaingia dukani kujificha mpaka alivopita ndo akatoka akaendelea na safari zake.

Mungu si athumani akapata client moja, so kidogo akaanza kubreak even, akaajiri mkaka msaidizi, kidogooo akaanza kurelax. Na kukubali kufungua kampuni yako sio mchezooo ujue. Akagundua imepita miezi 5 bila kumuona Pastor, actually harusi yake na Florida imekaribia, ni mwezi huo. Sahivi akawa ashakuwa suguuuu, hajali wala nini, anawaza mambo yake ya mshikooo watajijua wenyeweee. Raul akawa na mdada mwingine wana date, wako very serious, he felt even more alone. Atleast alikuwa busy huku kazini maana vikazi kazi vilianza kuja kuja.

Siku ya harusi ya Florida, Violla alishinda ndani tu anaangalia katuni, na alizienjoy siku hio. Mpaka kukakucha akajua limepitaaaa. Akaanza kurudi normal tu kama watu wengine. Akawa busy kazini, vimtoko vya corporate sio habaaa, maana si mnajua presentations, hakosi simu 2 au 3. Akiwa hana hili wala lile siku hio kaingia kwenye board room ya hii meting akamkuta Florida ni kati ya board members na pete yake ya ndo kubwaaa. Akajiambia tu, my company is my future, siwezi kuji let down! Akakomaa akapiga ile presentation fresh tu. Akajipanga kumkimbia Florida baada ya hio meeting.

Ile wanatoka tu Florida huyu hapaaa, akamwambia V sijakuona mdaaaa! Mzimaaaa! Yupo wa afya. Akamuonesha pete was married mwenzio, nilikutafutaa nikualike sijakupata. Too bad! Violla akaanza uongo wake, actually nilikuwa abroad, hongeraaa sanaaa, sanaaa. You so lucky! Florida anangangania you should meet my husband anakuja sasa hivi kunipitia. V roho ikafanya paaaaaahhhhh! Akachomoa, i really, really have to go, maybe next time Florida. Just say him for me. Basi Florida akachukua simu ngoja basi hata nikuoneshe kwenye simu, Violla akasema sio kesi she will look once and for all. Kutazama sio Pastor!!!! Khaaaaaaaaaaa! Akajua labda mawazo yake yanamdanganya akaamua kuangalia tena, sio kabisaaaa. Akagunaaa! Akashindwa kujibana ikabidi aulize "Sorry were you not supposed to get married to the pastor? kama nakumbuka vizuriii."

Florida akamwambia yes, but she had some one else in his heart and i met my prince charming we got married, anamuoneshea pete. Violla akawa ahajuia acheke, alie au aruke ruke. Akamuuliza tu, is the pastor still in his church? Akasema maybe, mme wangu msabato, so na mimi msabato siku hizi, sijamuona mdaaa. Violla akamwambia asante sanaa, nice to meet you Florida.

Pale pale akaipiga namba ya Pastor, haipatikani wala nini. Akachoka mwili na roho. Akawa anajiandaa na speech ya kumpa Pastor wakikutana, haikamilikiiii. Akawaza tu, ngoja niende kanisani kwake halitoshindikana jambo. Akaenda jumapili ya kwanza, akamuona kabisaa madhabauni, akanza kujipanga kusema chochote just to break the ice, akashindwa. Mda wa kutoka wakaangaliana kwa mbali, kila mtu akamuona mwenzie ila sasa ndo nani atavunja ukimya? Violla akajiondokea zake kimya kimya.

Akaenda mara 6 mfululizo, Pastor anamuona kabisa ila ndo anampotezeaaa kama hamjui vile. Violla nae ujasiri wa kumsogelea Pastor akawa hanaaa, anakaa pale ibada ikiisha ujasiri unamtoka anaanza kurudi kwake bila kufanikisha azma yake. Kila akitaka kukata tamaa anajisukuma tu aende hivo hivo tu, hadi akaanza kufahamiana na watu pale. Akawa kaenda kanisani hapo mara ya 10 na kuondoka bila kusemeshana na pastor wala nini. Akajiambia haendi tenaaa kanisani hapa wala nini ndo mara ya mwisho hio. Akasikia fununu jumapili ijayo pastor anatambulisha mchumbaaa! Akachokaaaa! Akajiambia tu not again? Akasema tu siendi wala nini! Kaona nakuja kanisani kwake ndo kaamua kutambulisha mchumba looohhh! Siendi wala nini.

Jumapili inayofata akalala kwanza, ila kamtuma mtu amsikilizie na kumuangaliazia huyo mchumba atakae tangazwa na pastor. Yule mtu akamletea taarifa huyo mchumba alipata dharura so hakuwepo kanisani na zoezi hilo halikufanyika. Violla akawaza tu damn! Akawa kakaaa tu hana hili wala lile. Ikaingia text, mbona hujaja kwenye utambulisho wako? Akajua tu mtu anamzingua, tena mtu mwenyewe Raul, itakuwa kasikia ametafuta namba mpya kumtia jamba jamba. Akajibu tu, bwana weeeee, mchumba wa wtu yule, mie wa mataifa nitamuwezea wapi? Ikamwambia hio namba fanya uje Jumapili kwenye utambulisho wako. Akajibu kwa mxiuuuuuuuuuuuuu! Si ningeringaaaa! Ningeenda pale na jigauniii, mbona mama mchungaji wangenipataaaa. Ila ndo zilipendwa. Ila Raul sipendi masihara yako ujue unanitia uchunguuu sanaaa. Nilivolewa ungenirudisha kwangu siku ile,yasingekuwa hayaaa! Hahahaaaa! Wema wako umeniponza ujue. Ile namba ikajibu, Raul aliniambia kila kitu. Violla akstuka kwanzaaa. Ikaja sms ingine Jumapili njoo kwenye utambulisho wako. Mmmmh! Akasunya kajua Raul tu huyo hana lolote.

Wiki ikafika kama jumamosi, akakutana na Raul Mlimani City na demu wake, akaanza kumchamba kwa matani yale, Raul akastuka afu akakanusha kuhusika na hujuma ile. Violla akamuuliza Rau chember sasa kama sio wewe unaenichezea nani anajua that night? Nani anamjua Pastor ananichezesha makida makida mwenzie? Raul akamwambia tu amebaki mtu mmoja tu Pastor mwenyewe. Mmmmmhhhh! Violla akachoka, ila hakuwa conviced. Wakajaribu kuitumia hela ile namba ikawa haijasajiliwa wala nini. Raul akmwambia kweli ni pastor nakwambia, think about it, kweli aliniuliza siku ileile mlivoalla wote kama jana yake nililala na wewe nikamwambia hapana, nikampa situation nzima akasema ataangalia safari hii kama utarudi tena kwangu. Sema nikashindwa kukwambia coz nilitaka urudi mmwagane jumla. Afu kanisani kuna utambulisho, last week hukwenda haukufanyika, it is him nakwambia. Violla akawa njia panda.

Akaipiga ile namba haipokelewi. Akazidi kudataaa. Raul akamwambia watamsindikiza na demu wake just incase it is really pastor na anamtambulisha kweli. Violla akaona kavurugwa. Jmosi jioni ikaingia sms, usiache kuja, na usiache kuvaa ule mgauni. Akampigia dadake usiku huo huo, kuwa kesho she might be engaged. MIGHT! Dada mtu akawa haelwi elewi kisa chote, akasema anyway na mimi nitakuja huko kukusupport, just incase. Ila vovote itakavokuwa tuko pamojaaa, familia yako tunakupenda sanaaa na kukujali.

Kesho akavaa tu gauni refu, zuri just incase, akabana nywele vizuri, wakaenda na dada yake huko kanisani. Kufika huko, wakakaa Raul, Tracy, GF wa Raul na Violla. Violla akwa anawaza kama ni mtu tu anamchezea wakitoka atachekaaa sio kidogooo. Hatosikitika ila atacheka tu. Wamekaa wanaona viti vina mibaaaa. Ibada ikaisha kabisaaa. Wakawa wanaangaliana kusikilizia. Mwishoni kabisaa, pastor akasema naomba niwatambulishe ubavu wangu wa pili, umri umefikia, wa mimi kuoa. Ubavu wangu yupo hapa hapa pamoja nasi, maybe mnamuona muona ila hamjamjua rasmi. Maana washaanza kuja watu ofisini kwangu, nimeoneshwa flani ndo ubavu wangu, wakati flani huyo ndo ubavu wa pastor wenu. Watu wakachekaaa. Huku kina Violla makoo yamewakaukaaaa sio kidogo wacheke wana menooo? Wamesis tu Akasikia naomba Violla apite mbele. Mmmmmhhh! Wakaangaliana! Raul anapiga vugelele na na kushangiliana hana habari. Violla akhisi hajasikia vizuri. Tracy anamwambia umeitwaaa. Violla yupo mabe masikio yanatudanganya tutaaibika. Wakarudi Violla kokote ulipooo. Mmmmmhhhh! Raul akaanza kuimba mamaaaaaa, maaaaaaa, maaaaaa huyooooooo! Na wana kanisa wakampokea kuimba.

Violla akawa amepanic, manake mda wote walijua mzahaa, sasa usaha ndo ushatumbuka, yupo mbele ya watu mamia kwa mamiaaaaa.. Chupi aliovaa kaanza kuihisi ndogooo. Kufika mbele Pastor anamchekea kabisaa, kama sio wao wenye beef, basi hajiaminiii, akapewa mike! Akatoa maneno mawili 2, Bwana Asifiwe! Wakaitikia Amen. Akanasa, na PR yoteee. Pastor akaja kumsaidia jamani mgeni, hajazoea bado Mike, mkimzoea msemaji huyuuu, atakuwa hamalizi.

Ibada ikaisha wakabakia kina Raul, Tracy na Violla. Pastor akawa anaongea na Tracy sasa taratibu zinazofatia. Mmmh! Violla bado kichwa kinamgonga. Raul akawa anakubali pastor kubwa la maadui sio kwa show ile. Baadae pastor akaja kumsalimia Violla sasa, how hav you been, Violla ana mambo mia ya kumsimulia. Akamuuliza so utakuja home? Pastor akamwambia siji. Sahivi naenda kibiblia zaidi. Sitaki kupindisha pindisha mambo. Tukikaa wawili ujue baada ya harusi hio sio kiholela. Mmmhhh! Akaanza sasa kumuogopa pastor na kujishuku.

Kweli mpaka harusi, hawakuwahi ile kukaa pamoja kujadili sijui kuzini walaaa, ikawa hajiamini amaini tena. Harusi ikafungwa kubwa tu ya kutoshaaa. Usiku wa honey moon sasa ikawa ndo balaaa. Wakaenda na kupumzika nje wiki 2, wakarudi. Ila sahivi Pastor hakumpa Violla nafasi ya kumzoea kama zamani, kukawa na mipaka kwenye kauli, matendo kila kitu. Akaweka bayana tu, there is only one man in the relationship him. Violla janja janja zote akakosa angel ya kumzoea pastor kama zamani, ikabidi tu atii sheria ya ndoa, kulala bila chupi ndo kaolewa afanyaje tenaaaa!

THE END!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Acha hizo wewe.....ukiwa na laki kuna sehemu zake unatoka na demu bila shida! Ujanja ni kujua sehemu tofauti sio una laki unavamia CT fish market au Mediteranno lazima uumbuke.

Laki moja mburahati unakunywa Heineken 10 na unakula na demu analewa kwa levels zake umemaliza siku ya kwanza ya date na umepewa salute boss...
 
End Justify the Means...

What an awesome piece of art...

State of the art fare tale!
 
Sheria ya ndoa kulala bila chupi. Ha ha ha tena hiyo ndo namba 1. Thanks Lara 1
 
Im speechless...!!!!! Lara 1 you ar talented aisee...!!! Ila Viola nae fighter...kwenda kanisani mara kumi bila kuongea nae????
me ningeshindwaa! no wonder wanaofanikiwa ni wale wenye uwezo wa ku persist!!
 
Back
Top Bottom