Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Ifikie mahali tusipende miteremko hiv lara kaanza kitambo sana sidhan kama ataweka gharama kubwa hiv ila tu walau tumtie moyo kwa kipaje chake mm saiv ndoa naimudu walah mana mbinu nazozipata sijui nisemeje ..mr..utadhan nimemlisha limbwata ...kumbe lara...nina silaha za maangamiz hatari....
hebu ni PM hizi silaha za maangamizi, nataka nilambwe miguuu!!
 
Lara changisha ata elfu moja per story,hio ni kwa story fupi,ndefu unaongeza dau watu hawawezi kushindwa kutoa kama kweli wanapenda story zako,mind you kuna watu sio members jf ila wanafatilia,Grup watsap ni la watu 200,si haba ujue....ukipenda lakini mama huruma,teh
Lara chukua huu ushauri...
 
hata title hio Sex slave ya shigongo. Mimi Shigongo nilisoma novel yake moja tuuuu ndo nikai enjoy ile ya kwanza kabisaaa ya Michael afu ana ukimwi. Ilikuwa tamu sanaaa. Zilizofata zooote sijasomaga sababu hazina uhalisia too theoretical.
Umenena vyema, Mpendwa Kassimneema.

Kiukweli story inakuwa nzuri na yenye kuvutia kama tu itaendana na uhalisia na maisha as unayoishi.

Me napendaga story zenye uhalisia na ambazo kiukweli zinapatana na uwezo wa kichwa chako katika kufikiri sio uongo uongo mwingi kama za shigongo.

Inshort nawaelewa zaidi Sultan Tamba,Beka Mfaume na Hussein Tuwa.
 
hata title hio Sex slave ya shigongo. Mimi Shigongo nilisoma novel yake moja tuuuu ndo nikai enjoy ile ya kwanza kabisaaa ya Michael afu ana ukimwi. Ilikuwa tamu sanaaa. Zilizofata zooote sijasomaga sababu hazina uhalisia too theoretical.[/QUO
soma story za
hebu ni PM hizi silaha za maangamizi, nataka nilambwe miguuu!!
Lara kama maisha yako halisi tumia hizo mbinu kulingana na hali ya ndoa yako ilivyo....siwez jua ndoa yako iko kwenye hali gan..mm yangu ilikuwa nzur tu ila nilikuwa nataman zaid mume wangu anipe nafasi ya mbele afeel proud zaid yan kwa mbinu za lara saiv akipiga stor moja n mke wangu alinielekeza yan nimeng'ara bila kunywa maji meng kama ray
 
@Lara1 will be very happy to read this testimony...
 
hebu muite basi @Lara1 aje alisema saa 5 sasa 6 hajaja aje kbsa na no mie ntachangia bundle japo kidogo!
 
Violla akawa hajui sasa alie, afurahi, akimbie maan ashajaribu mambo mengi sanaa kumshusha pastor kwenye realm yake, ikashindikana kabisaa, to a woman of her caliber it was astonishing sababu wenzie wali fell to even lower technics. Sasa of all the badest days ever, paster has gone has gone lower than the low itself. It was scary. Things were getting out of hands. Akaanza kujisemesha it is not what it looked like, i can explain. Hapo Pastor kakaa pembeni kwenye kochi anamuangalia machoni, Sasa expalnation gani imenyooka, Raul ni ex wako, anafanya nini kwako saa 5 usiku, vyombo mezani vya watu wawili, yupo kifua wazi. Kila angle anayoijaribuu anaona ushahidi wa kimazingara unambanaaa. Na anajua pastor is smart hawezi kumbabatiza juu kwa juu. If she tries her ususal technic of sleeping out of situations it might now work with pastor.
Akajikuta tu maelezo hana kaishia i can explain afu maneno ya kuendelea hana akaanza tu kulia. Si kwa dunia kumfanyia vile shortly after the heavens smiling on her.

Pastor akajisogeza na kumpa mate tena mda mrefuuu. Afu akamwambia i know what happened. Violla akamuuliza how? Umeoneshwa kiroho? Akatikisa kichwa, akamwambia ushahidi tu wa kimazingira. Kwanza Raul alikuwa haniangaliii machoni, pili he was trying so hard to convince me something was going on unnecessarily, If something was going on he would havent tried at all, angekuwa at easy. Nne nimemkuta kifua wazi, mda wa kunisindikiza tshirt kaipata dakiko 0 why? Sababu aliiweka pale, ingekuwa kaivua kwenye mazingira ya mechi angetumia dakika kadhaa kuitafuta. Tano vyombo vilikuwa bado mezani, na sahani zilikuwa nusu, meaning hodi ilikuja mnakula, sita kochi lilikuwa bado limepangika not suggesting any kind of extra curricular activities. Saba your expression wa readable kwamba you were held by the balls. Your expression is always unreadable.

So kujihakikishia zaidi, nikaondoka, drove to a bar, down 2 houses came on foot, nikabana getini, nikawa nasikiliza sasa mnavotukanana na mtu wako. Then nikamuona anatoka, nikapata uhakika kabisaa kwamba you were really held by the balls today. Alivofika mbali nikagonga, ukaachuna, baadae ukaja kunitukanaaa, baadae ndo ukafungua. Now i get the clear pitcure, uliandaa lunch for us, but nikachelewa and sikukutaarifu, then you got heart broken and decided to call your BF, then i came the Bf refused to play along your plan. Terrible day i would say.

Violla akapata nguvu sasa za kuanza kuumiliki yeye mchezo, akamwambia kwanini hukuja sasa, why not even text, madai kapanic upyaaa kwa kukumbushwa machungu. Pastor akamwambia mimi as Bryan couldnt stop thinking about the lunch, ndo maana sijala toka asubuhi. Ila mimi as a pastor ambae watu wananiamini na maisha yao, kazi zao, biashara zoa, uhai wao, nisingeweza kuacha watu kwenye folleni wakisubiri huduma ili nije nile lunch. I just couldnt. My concious wouldnt let me. What i did is kutoa hudumua kwa serious case, kwa wale nilioona sio serious sanaa nimewareschedule. Just to make it here, dead or alive. And instead of a thank you i get a nagging! Mmmmmh! Violla akajisikia vibayaa some how kwa kutokumshukuru kwa kuja. Akaanza kujiabaraguza kwa kucheka uongo na kweli. Basi nguvu zikamrudi ndo anamshika shika pastor kifua, na hivi alikuwa anamtamani misuli yake kitambooo.

Pastor akamwambia mimi nina njaaa sio masihara, fanya mpango wa chakula, najua kipo Raul tu alikuwa ananibania. Violla akaruka kipooo, akaenda kukipasha akamgea. Anxiety level 200% hajui what will happen next, hajui what to expect, all in all mchezo hakuwa nao mkononi siku hio, Kala chakula chote, akamwambia ongeza msosi hapa, Akamuongezea, akatoa vile vyombo na kuvisuuza fasta fasta. Huku pastor anamkumbusha ulisema you are bad cook mbona kitamuuu? Violla yupo thanks to you tube. Pastor akasema not bad for you tube.

Basi hajiamini kabisaaa, anamwambia pastor wewe utalala chumbani, mimi sebuleni, maana kitanda chenyewe kimoja. Loooh! Pastor akacheka akamwambia hamna habari kama hio, mimi sikuja hapa coz sina kitanda kwangu, mimi nimekuja hapa kulala na wewe, wote tunalala huku chumbani au sebuleni, maadamu tunalala wote. Mmmmmmhhhh! Japo ndo lengo lake la mda mrefu now its finally happening akawa hajui afanyaje, like she is note ready at all for him. Akasema poa kwa kujikazaaaa. Akaenda kuoga, Kufika bafuni anavua chupi anakuta wekundu wa msimbazi wana chezaaaaaa. Tobaaaaaa! Doa tayari. Akajisemea tu fack, fack, faaack! Sio Simba kumfanyia vile, kushuka dimbani siku kama ile of all days kwanza alikuwa bado tarehe kama siku 3. Akajua tu zile stress na matukio zimewashusha dimbani wekundu hao wa msimbazi bila taarifa. Akakaa chooni kwanza kutafakari. Itakuwaje Pastor yuko ndani pale, afu yupo kwenye mood ya mambo! Afanyajeee. Akajiuliza hivi ndimu kweli inakata ishu hio japo for 3 hours tu? Akaona ujingaaa.

Akaoga, akachukua pedi kavaaa, akaona bwawa lishaingia lubaaaa. Akajifunga na khanga akatoka kwa wasi wasi. Akakuta Pastor anafanya aerobics zake, push ups, plunks, he was very flexible. Akajutia tu kumkosa kunako uwanjwa wa fundi seremala si kwa flexibility ile. Akawa kajilaza tu anamuangalia tu kwa wasiwasi na kuwalaani Simba kwa kucheza uwanjani siku kama ile, of all days wakaona hawana siku ingine kushuka dimbani zaidi ya siku hio muhimu kwake. Pastor kamaliza kaingia zake bafuni kaogaaaa mdaaa, kujirelax, mda kweli mpaka akapata shakaaa maana alikuwa na cousin wake huyo nundaaa, akipata demu, goli la kwanza lazima atumie sabuni, maana linakuwa na kihere here sanaaa, kwa hio kwa demu anadai zake 3 za jasho kama kawaida. Hahahahaaaaaaaaa! Akawaza tu, pastor nae muhuni wa zamani ukute ndo katumia mbinu hiii ya kale. Baadae katoka kajifunga taulo lake tu, akazidi kuwalaani wekundu wa Msimbazi kwa kushuka dimbani siku hio.

Pastor akazima taaa, akamfata alipo, Violla akajiwahi, kuna emergency, Wekundu wa msimbazi wameingia dimbani in few minutes. Pastor akamfikia, akamuuliza isije kuwa you are chickening out umeniwekea tomato, come on! Anazidi kumsogelea. Mmmmmmhhhhhh! Violla akajiuliza ndo anataka kukagua mwenyewe ama? Akajionea yatakuwa makubwaaa. Akamshika shingoni, na mkononi, akasema kweli, temperature yako iko juu. Violla akashusha pumzi manake hakujiandaa na site inspection. Kwanza hajawahi fanyiwa site inspection hata siku moja. Akajua wanalala.

Anaona mtu anampa mabusu moto moto, anatoa ushirikiano, si unajua tena mwili unatamaniii, nafsiii inatamaniii, roho inatamaniiii ila Simba wametia ngumuuuu. Baadae anamkumbusha katika mipapaso, manake alikuwa hajui inaelekea wapi ila anaenda either way, kwa mbaali akawa anapata shaka ukisikia kuliwa Simba wanacheza ndo hiooo. Kwa ulaya walijaa laana wale ni jambo la kawaida kabisaa zama hizi, na Pastor nae si kakaaa ulaya huyu, mmmhhhh, ila roho nyingine inamwambia he is too modest hawezi kukula wakati Simba wananyeshaaa.

Mipapaso ikawa imekolea kabisaaa, mpaka tumbo likaacha kumuuma, anaona Pastor kalegea kabisaa. ikabidi amkumbushe just to be clear, on the same page. Akamuuliza what are we doing? Pasto akajibu Love is more than sex dear, we are just playing, arent you enjoying dear, cause im enjoying so much, kalegea, jicho lege legee, na alivo mgumuu Pastor, Violla akamuonea imani akasema ngoja tu amasaidie kwa mbinu ambazo hakutakiwa kuzijua, but coz na dadake wameshibanaa sanaa, kipindi kazaa na mumewe akawa anafundishwa na shangazi yao mke wa mjomba wao mnyamweziiii original jinsi ya kumridhisha mume wakati wa uazazi, zile 40 asitoke nje, maana wanaume wengine sio wavumilivu. Sasa dada yake zikawa zimemtishaa hizo mbinu and she was only 23, ndo akawa kaenda kumwambia Violla 18 by then washauriane. Hahahaaaa! Sasa Violla kumbe kazishikaaa, and today they came handy.

Akaanza sasa kumiliki mchezo yeye. Akapeleka mkono ikulu ya pastor akakuta mambo mazitooo, hali ya baba wa taifa si nzuri kabisaaa, Akamkalia juuu, kwanza anaanza kumbusu busu, kuanzia shingoni sikioni, pastor analegeaaa, almanusura kumuomba amle hivo hivo Simba ikichezaa, anajikaza tu., Akashuka chini, mpaka ikulu, Hapo Pastor akawa kajiandaa kabisa kupewa huduma. Mmmmmh! Huduma ikaanza, wacha agugumie, akalegeaaa, huduma ikasimama kwanza, akaanza kushangaa what the fack? Aanmwambia Violla baby dont do that come bwanaa, endelea, sack me baby, nakupenda sanaaaaaa. Mmmmh! Violla akajisema rohoni you want to bust in my mouth, not a chance. Violla akalala akajilaza, akambania maziwaaa, Akamwambia njoo uweke hapaaa. Ziwa ziwa 34, Cup double DD. Pastor akaona hio mpyaaa, not bad to try it out out. Akakubali, kuanza mbona kanogewaaa, dakika o, huyu hapa kafikaaaa. Wazungu haooooo. Kajibwaga hoiiii! Violla akaenda kuoga tenaaa upyaaaa.

Kurudi kulala pastor kamuhug tightly! Akamwambia tu, Violla you are something else. Akamuuliza kwanini? Yupo basi tu. Pastor anamtania ndo maana wanaume wanapenda wasichana wenye nido kubwaaaa, sikujua. Hahahaaaaa! Violla anamfinya. Wanachekaaa. Wakalala. Kuamka asubuhi anaita Bryan? Kimya, kucheki hayupoooo. Kamtafuta kote hayupoooo. Keshaishia.

ITAENDELEA USIKU SAA 4.
 
Sooo sweet yan 😛😛😛
 
Ngoja tu amsaidie kwa mbinu asizotakiwa kuzijua......ahsante kwa kutusaidia mbinu tusizotakiwa kuzijua.
Lara 1 nilikuwa nakadilia umri wako imebidi niongeze miaka 5 zaidi ya niliyokuwa nakuzania.
 
hahaaaaaa! sasa si ndo nitakuwa nimefikisha 55 kwenye hayo makadirio yako. Alafu mbinu zenyewe ulizojua ni 1 wakati zipo 11. hahaaaaaaa!
 
Lara you're unpredictable..... Hapo ulipoanza wekundu wa msimbazi akili yangu yote nkajua ni hela tu labda Raul aliziacha,hahahahaaaa
 
Kuna wakati mtu unakosa maneno ya kuielezea dhana fulani kama nilivyokosa maneno ya kuuelezea ubora wako Lara 1... nilianza kufuatilia maandiko yako mwaka 2013. Nakumbuka zaidi ya robo tatu ya watu walikuwa wakikupinga na kukuona kama wakala wa shetani. Miaka mitatu mbele hakuna hata comment moja inayokupinga. Ni muda mfupi sana umefanikiwa kubadilisha mtazamo wa watu kukuhusu wewe.
Japo nilifurahia maandiko yako ila nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa na mtazamo hasi kukuhusu ila leo mimi ni shabiki wako mkubwa, hongera sana. Huwa naandika stori huko fb, nina wadau wangu wananikubali ajabu, nawaza tu siku wakiijua jamiiforums na zaid wakakujua wewe, aisee biashara yangu itakuwa katika hali ngumu.
 
Back
Top Bottom