Kobe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 1,793
- 814
Kuna part imenigusa hasaa yaani nilijiona me ni violla ile msg ya mpawa loooooh kuna wakati unakua unasubiri msg matata kutoka kwa hubby ghafla ikiingia unakuta ni mpawa haaaaa
unapenda vimeseji eeh !!
Kuna part imenigusa hasaa yaani nilijiona me ni violla ile msg ya mpawa loooooh kuna wakati unakua unasubiri msg matata kutoka kwa hubby ghafla ikiingia unakuta ni mpawa haaaaa
Wapi pastor kiboko alipotoka akawa haamini kama katoswa vile kaenda kubana kona akawa anasikilizia maumivu mara kelele mara Raul anafurumushwa hapo pastor akaona patient pay kama analia vile na ule usongo ndo break mdomoni.Chezea Raul wewe! Kwa fitina hana mpinzani.
Ukiongeza mbinu na mimi naongeza makadilio ya miaka ila kwa leo nimejikuta naji duble kwenye ongezeko kutoka miezi mpaka miaka 5 zaidi.hahaaaaaa! sasa si ndo nitakuwa nimefikisha 55 kwenye hayo makadirio yako. Alafu mbinu zenyewe ulizojua ni 1 wakati zipo 11. hahaaaaaaa!
Nakuruhusu chagua story moja ukaishee huko ujifanye yako, mimi wala sitosema kabisaaa. Ukibambwa mimi simoooo.Kuna wakati mtu unakosa maneno ya kuielezea dhana fulani kama nilivyokosa maneno ya kuuelezea ubora wako Lara 1... nilianza kufuatilia maandiko yako mwaka 2013. Nakumbuka zaidi ya robo tatu ya watu walikuwa wakikupinga na kukuona kama wakala wa shetani. Miaka mitatu mbele hakuna hata comment moja inayokupinga. Ni muda mfupi sana umefanikiwa kubadilisha mtazamo wa watu kukuhusu wewe.
Japo nilifurahia maandiko yako ila nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa na mtazamo hasi kukuhusu ila leo mimi ni shabiki wako mkubwa, hongera sana. Huwa naandika stori huko fb, nina wadau wangu wananikubali ajabu, nawaza tu siku wakiijua jamiiforums na zaid wakakujua wewe, aisee biashara yangu itakuwa katika hali ngumu.
Pasta alijua kwenye ligi yuko mwenyewe, sasa kukuta wako wawili na mpinzani wake sio haba ikabidi nae abadilishe formation.Ila pastor nae mmh kujifanya mbishi na.vifungu mia nane yakamfika hapa sio kwa kubana getini usiku wote ule bahati yake
raul alitoka .
Yaani ubora wako ni "directly proportional to time"!Pasta alijua kwenye ligi yuko mwenyewe, sasa kukuta wako wawili na mpinzani wake sio haba ikabidi nae abadilishe formation.
Yaani sina maneno ya kuelezea jinsi ninavyoenjoy hizi story zako...be blessed!NO! Ubora wangu ni directly propotional to EXPERIENCE. Hahahaaa! Kuna watoto 18yrs mimi nakaa chini napewa darasa, nachukua notice kabisaaa.
unigawie na mie hizo notice ndugu yako nisiadhirike hapa mjini!!NO! Ubora wangu ni directly propotional to EXPERIENCE. Hahahaaa! Kuna watoto 18yrs mimi nakaa chini napewa darasa, nachukua notice kabisaaa.
Asante sana, asante sana... ubarikiweNakuruhusu chagua story moja ukaishee huko ujifanye yako, mimi wala sitosema kabisaaa. Ukibambwa mimi simoooo.
Tuko wote shosti me ndo narewind hizi part mbili za mwisho hatare saa tano mbali looh nshaanza kusinziaYaani najikuta narudia part ya rahul na matusi na pasta![]()
bwana we Lara 1 mekupenda bure