Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Jaman thanks for concern, ila sijachukua redundacy wala nini, nimefanya maamuzi magumu nibakie, niwalambe makalio, wakinitimua niende mahakamani. Hahahaaaa! Japo roho inaniuma ningekuwa nimejaa sahivi zingetosha kwenda China.

Ni kwamba jana kulikuwa na shoti ya umeme so sikuwa na power kabisaaa ila ndo naandika sahivi.
Pole mamii,God is good..yatapita hayo
 
Nashukuru kwa ushauri the issue is sina dhiki kihivooo, i can afford a bundle, unlimited pakage si 35,000 kwa mwezi voda. Nikichajisha bundle hio sasa itakuwa njaaa. Hahahaaa!

Anyway Mungu atanilipia kwa namna ingine.
mmh bhas sawa
 
Mimi utuuu huu na huruma huruma ndo vinaniponza sanaa. Nakuwa nakufa maskini na kipaji changu nimekikalia. Unafikiri nashindwa kuchajishaa, na nikapata watu wengi tu, tatizo nikifikiria wenye hio hela ya kulipia na wasio na hio hela ya kulipia wote wameumbwa na Mungu mmoja, na wote wanapenda story tatizo uwezo, naamua kufanya sadaka.

Nakumbuka apoint of time i couldnt afford new novels, nikawa naazima nakaa kwenye folleni wiki hata 3 mpaka nipewe. Na walinipa bure tu nijiburudishe hostel, na kina Jackie Collins, Sidney Sheldon, Perry Masson, Robert Laudum etc je wangenichajishaaa, si ndo ningekosa utamu tenaaaa.

It is not always about the money. (Ila ndo nakufa masikini sasa.)
Lara changisha ata elfu moja per story,hio ni kwa story fupi,ndefu unaongeza dau watu hawawezi kushindwa kutoa kama kweli wanapenda story zako,mind you kuna watu sio members jf ila wanafatilia,Grup watsap ni la watu 200,si haba ujue....ukipenda lakini mama huruma,teh
 
ALianza na wahuni wenzie kumi, akawa ana hubiri kivivu tu, wanaimba mapambio, wana rap humo humo injili. Mara ikafika watu 100 wiki ya kwanza, Wiki ya pili wakazidi kujaa, akapata wazo awe anakusanya sadaka. Akakusanya akapata hela nyingi. Akazidi kuiboresha dini yake ya Bryani, anatumia biblia kutapeli sadaka. Akisimama pale mbele wala hajiandai, maneno yamajia tu, na vifungu vinamjia tu kichwani naturally, anaona amen za kutoshaaa kwa sanaaa. Kujipatia sadka akawa anaombea ufaulu wa masomo, matatizo ya wazazi, matatizo ya kifamilia, uchumi wa wazazi. Dini ikawa kubwaa ikahamia hall.

Mmmmmmmh hii story mbona imefanana na ya mshikaji wangu mmoja, sema yeye Siyo pastor na Umri hauendani.
 
Haaaaa sasa Raul kukaa na kiboxer mwanaume nuksi huyooo me ningeumwa ghaflaa ha ha ha ha ha
 
Doh Raul nuksi kwel me ningekuwa ba pisto ningemtoa nayo nduki si kwa kuharibu kule hafai hata kwa kulumangia
 
Duh!!! Lara1 wewe ni nomaaa, hii story imekaa vema sanaaa.
 
Back
Top Bottom