Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Atakuwa alifikia writers DOOM! Ambapo mwandishi anashindwa kabisaaa kuimalizia story hata iweje, either sababu kapata story ingine, au kaishiwa hoja na mnatiki za kuandika, au mood imemtoka tu. Kila mwandishi lazia awe na story nyingi tu zilizo nusu.

Mi tayari kwa JF ninazo 3 sijazimalizia, hata mtu aniepe hela siwezi kuzimaliziaaa. Sio kwamba sitaki au sijisikiii, nooo, siwezi tuuuu, hata nijitahidi vipi.
Na nakumbuka nikawahi mwambia why usiingie jamii forum kuangalia story za lara na uandish wake akasma yuko busy sana nakumba unicopie nikamwambia mm n muslim siwez dhulum ww nenda kasome ukitaka wasiliana na huy dada tukaishia hapo mpka nikaja leftishwa
 
Ifikie mahali tusipende miteremko hiv lara kaanza kitambo sana sidhan kama ataweka gharama kubwa hiv ila tu walau tumtie moyo kwa kipaje chake mm saiv ndoa naimudu walah mana mbinu nazozipata sijui nisemeje ..mr..utadhan nimemlisha limbwata ...kumbe lara...nina silaha za maangamiz hatari....

Mimi utuuu huu na huruma huruma ndo vinaniponza sanaa. Nakuwa nakufa maskini na kipaji changu nimekikalia. Unafikiri nashindwa kuchajishaa, na nikapata watu wengi tu, tatizo nikifikiria wenye hio hela ya kulipia na wasio na hio hela ya kulipia wote wameumbwa na Mungu mmoja, na wote wanapenda story tatizo uwezo, naamua kufanya sadaka.

Nakumbuka apoint of time i couldnt afford new novels, nikawa naazima nakaa kwenye folleni wiki hata 3 mpaka nipewe. Na walinipa bure tu nijiburudishe hostel, na kina Jackie Collins, Sidney Sheldon, Perry Masson, Robert Laudum etc je wangenichajishaaa, si ndo ningekosa utamu tenaaaa.

It is not always about the money. (Ila ndo nakufa masikini sasa.)
 
Ayaaaaaaaaaa sasa umenikumbusha jambo muhim kuna siku nikamwambia mbona kama kisa huku mbelen n cha kusadikika sana kwa jins navyoona mwendelez akaniambia ww n mwandish nikamwambia hapana na wala sijawah hata kuandika ila nasoma story nying sna akaniuliza unahis nn kitatokea mbele nikamwambia na pia nikamwambia itapoteza mvuto kufika sehem ya 50 kweli alirukia upande mwingine wa story ambayo kunabaadh ya matukio aliyakopy kwa story ya shigongo ya mwaka 2000naikumbuka ...
hata title hio Sex slave ya shigongo. Mimi Shigongo nilisoma novel yake moja tuuuu ndo nikai enjoy ile ya kwanza kabisaaa ya Michael afu ana ukimwi. Ilikuwa tamu sanaaa. Zilizofata zooote sijasomaga sababu hazina uhalisia too theoretical.
 
Mimi utuuu huu na huruma huruma ndo vinaniponza sanaa. Nakuwa nakufa maskini na kipaji changu nimekikalia. Unafikiri nashindwa kuchajishaa, na nikapata watu wengi tu, tatizo nikifikiria wenye hio hela ya kulipia na wasio na hio hela ya kulipia wote wameumbwa na Mungu mmoja, na wote wanapenda story tatizo uwezo, naamua kufanya sadaka.

Nakumbuka apoint of time i couldnt avoid new novels, nikawa naazima nakaa kwenye folleni wiki hata 3 mpaka nipewe. Na walinipa bure tu nijiburudishe hostel, na kina Jackie Collins, Sidney Sheldon, Perry Masson, Robert Laudum etc je wangenichajishaaa, si ndo ningekosa utamu tenaaaa.

It is not always about the money. (Ila ndo nakufa masikini sasa.)
Fanya hiv dada lara nimekuelewa sana tafuta namba maalum iweke ktk story zake mwenye kutaka kutuma chochote atatuma ila in reality sidhan kama kuna atakayekosa walau elfu tano ya kukutia moy ili hali anajimudu hela ya bando la kukaa. Hum na kungojea story...story zako wachia n nzur ila zinatufundisha balaa...hasa tuloko kwenye ndoa nakuambia walah
 
Mmmmmmh! Watu huwajui wewe, kwa hiari hawatumi hata mia. Watu walionisapoti hawafiki hata 10 nikihesabu wanataka hivo mpaka uzuie story kama deniiii, mambo ya kumfosi mtu sasa hayo. Ukizuia coz hela anayo atatoa fastaa. Ila sasa yule asie na hela pengine hii ndo starehe yake weekend kama hivi ajiburudishe na kuchungulia mujini kuna jipya gani kwa bundle lake la 1000. Kwa huyu mtu it is more than a story, it becomes inspiration.

Sema hata hao 10, walionisapoti wote walitoa michango ya maana, kwa hio kusponsor hizi story hivo hivo tunagawana umasikini tu mwisho wa siku.
 
Utamu kolea Lara1 anakatisha movie... Weeee mwanamke una balaa.
 
Nashindwa elezea jinsi nilivyofurahishwa na hii episode ya usiku huu.

All in All, You're so Talented.
Thank you Lara 1
 
The get together aka to get her party@ the coco beach afu design sijaelewa venue exactly
 
Basi tutafanye mpango wa fund raising kwa Lara1 kitakachopatikana ndio malipo ya burudani. Mwaonaje hilo?..
 
Leo ndo nafahamu,Lara 1 kumbe siku ukiwa na mood yaani stori inakuwa nzuri sana.

Yaani hii episode nimeipenda sana.
 
Mimi utuuu huu na huruma huruma ndo vinaniponza sanaa. Nakuwa nakufa maskini na kipaji changu nimekikalia. Unafikiri nashindwa kuchajishaa, na nikapata watu wengi tu, tatizo nikifikiria wenye hio hela ya kulipia na wasio na hio hela ya kulipia wote wameumbwa na Mungu mmoja, na wote wanapenda story tatizo uwezo, naamua kufanya sadaka.

Nakumbuka apoint of time i couldnt afford new novels, nikawa naazima nakaa kwenye folleni wiki hata 3 mpaka nipewe. Na walinipa bure tu nijiburudishe hostel, na kina Jackie Collins, Sidney Sheldon, Perry Masson, Robert Laudum etc je wangenichajishaaa, si ndo ningekosa utamu tenaaaa.

It is not always about the money. (Ila ndo nakufa masikini sasa.)
anza kuchaji hata hela za bando tu
 
Back
Top Bottom