Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Sijui ndio strategy mpya ya Salva lakini hivi kuna umuhimu gani wa wao kuwa na hiki Kijarida?

wafanyakazi wanazo intra net na i assume kuwa ni rahisi sana wao kuwasiliana na kupeana taarifa

Hivi jarida hili pesa wanazo tumia kwa mwaka kulichapisha zinge nunua vyandarua vingapi kwenye hospitali ya Msanga au Chanika?


Salva njoo uitete hiii nayo

[media]http://www.statehouse.go.tz/issue2.pdf[/media]
 
Sijui ndio strategy mpya ya Salva lakini hivi kuna umuhimu gani wa wao kuwa na hiki Kijarida?

wafanyakazi wanazo intra net na i assume kuwa ni rahisi sana wao kuwasiliana na kupeana taarifa

Hivi jarida hili pesa wanazo tumia kwa mwaka kulichapisha zinge nunua vyandarua vingapi kwenye hospitali ya Msanga au Chanika?


Salva njoo uitete hiii nayo

[media]http://www.statehouse.go.tz/issue2.pdf[/media]

na kwa nini liko kwa kingereza? au ndio elitism iliyojaa pale Magogoni
 
sidhani kama ni kufuja pesa linapokuja suala la kuwahabarisha wadau.Wananchi lazma wataarifiwe lakini pia na donors lazma wataarifiwe! afu kumbuka si donors tu, pia kuna investors ambao inabidi tuwape taarifa indirectly kwa sababu lazma watasoma vitu kama hivi.Linapokuja suala la lugha huwezi kujua strategy ya sirkali, its obvious wana-target certain readers.kwa sababu yaonesha kabisa sirkali ina malengo fulani hadi kufikia kutengeneza hivyo vidubwasha kwa lugha ya kigeni.na pia, si kila jambo linalofanywa na sirkali ni la kijinga(as if halijafanyiwa mchakato) au la kifisadi.wazalendo wapo bado ndani ya sirkali!
 
kinaonekana ni cha JULY 2004,
Kwani bado kinachapwa?
kwa nakala ngapi?
Kinatoka marangapi kwa mwaka/mwezi/siku?
 
yeah! that one is old lakini bado such vijarida vinatengenezwa

Kaulaji ka akina Michuzi bana, waacheni nao wajipatie japo kahela ka mboga alimradi hawajafanya ufisadi, wanatumia kihalali elimu yao. Na si kila mtu mwenye kuweza kuweka kumbukumbu kama haya mambo yatabaki tu kwenye hiyo mnayoita "intranet"!
 
Hiki kijarida kinapatikana mitaani au ni kwa watumishi wa Ikulu na serikali kuu?
Mimi sijawahi kukiona kwa vendors.
 
Mkuu GT naona kale kajarida kama alivyosema Kasana ni kidogo kazamani "Third Term Govt".... sasa hii ni "Fourth Term" na nina uhakika wana a different stratergy.... Kama ulivyoweka argument hapo juu kwamba Salva aje akatetee naona itakuwa ngumu manake argument is based on a different era (unless we get a new era version)........ Inawezekana wameacha kuvitengeneza!!

Lakini Moshe Dayan anasema vinaendelea kuwepo, sasa swala ni kwamba kwa vile vilikuwepo na wao wanaviendeleza base labda waseme umuhimu wake manake walirithi kutoka kwenye State house team iliyopita.... Ili kuacha kukichapa lazima wawe na sababu manake huwezi ingia tu na kuanza kubadili mambo bila mpango wakuu.....

I stand to be corrected laking mimi naona sio mbaya vikiwepo lakini viwe in controlled and sustained manner bila kuzuia manunuzi ya vyandarua kule Chanika na Msanga!!
 
Lakini Salva alikuwa Habari Cooperation mwaka 2004. Sijui utetezi gani ambao yeye anatakiwa kuja nao kujustify kijarida cha mwaka 2004. Tuwekee cha mwaka 2007-8 then tutamuuliza Salva kulikoni?
 
GT siku hizi unapunguza credit zako...maana Upo low sana kuweka Idea zako chini...May be siku hiz upo Busy kuliko siku za Nyuma.

Hichi kijarida cha zamani..kama una copy mpya lete.

kama Kipo na circulation yake within Government agencies si vibaya...alau wengine wataweza jua kinaendelea nini huko ikulu...au wakifanye cha Mambo ya Nje...
 
GT siku hizi unapunguza credit zako...maana Upo low sana kuweka Idea zako chini...May be siku hiz upo Busy kuliko siku za Nyuma.

Hichi kijarida cha zamani..kama una copy mpya lete.

kama Kipo na circulation yake within Government agencies si vibaya...alau wengine wataweza jua kinaendelea nini huko ikulu...au wakifanye cha Mambo ya Nje...



Tatizo ni watu kama wewe mnataka watu wawe objective. Serikali hii ya akina Salva haihitaji objectivity hata kidogo. Mnasema kuwa eti wasiandamwe and so on...hivi nikuulize mara ya mwisho ni lini omeona accounting reports za Ikulu?

Look man, the same Ikulu wamefanya nini wakati wizi wa mchana unaendelea pale BOT,RICHMOND,ATC na sehemu zinginezo?


Hawa jamaa ni wahuni na wanashirikiana na mafisadi its that simple

Umeona wapi mwizi anaiba kisha ikulu inawaambia eti kama mkirudisha mlivyoviiba then hakuna ghatua zitakazo chukuliwa

Ikulu are not smart as they want you to think na tatizo pale liko Top down na wenyewe hawaoni sababu ya kuwa accountable kwa walipa kodi


na ukipata nafasi ya kuwahit then be it


I am sorry hawa jamaa siwezi kuwenda nao na hiyo strategy ya softly softly approach wewe ukitaka endelea kufanya nao mentala argument lakini lugha wanaoitambua hawa watu ni hii ya reja reja

Huhitaji kuweka thesis hapa JF kama namna ya kuwafahamisha kuwa at most wao ni maselfish na hawana interest na wewe, mimi wala yule mkulima kule kijijini

Issue siyo gazeti lakini issue ni kuwa hakuna mtu wa Ikulu aliyekuja kukanusha kama bado hawalitoi hilo gazeti lao la maelitist

still nasimama na ule msimamo wa kuwa IKULU ni corrupt kama ATC na BENKI KUU sasa kama hutaji then thats fine lakini wengi wanalijua hilo. So letx time think twice before you start lecturing me how we should deal with Ikulu.

Ukitaka kwenda nao kisomi thats up to you lakini in my opinion thats not they way they want to be treated
 
Wait a minute!!!
lile gazeti la serikali(Tanzania Government Gazette) abdo linachapishwa as well?
 
Back
Top Bottom