Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

ANYWAY HOJA IKO PALE PALE SALVA HAS TO GO
Game, hoja iko pale pale for sure!!!!

There's no need of being photographed before podium used by US-President while you could issue a press release on Ikulu's website for other editors.
 
Bongo Ufisadi Na Uzembe Kwenda Mbele....salva Sijui Kama Hata Kutype Keyboard Anajua!!!! Tuna Safari Ndefu Ya Maendeleo
 
Game, hoja iko pale pale for sure!!!!

There's no need of being photographed before podium used by US-President while you could issue a press release on Ikulu's website for other editors.

Akiweka Press Release kwenye site atawalingishia vipi washikaji zake kwa kwa kuwapa tour uchwara around ikulu?
 
Nilikuwa nawakumbusha kuwa JULY imeingia na Salva na wenzie bado hawaoni umuhimu wa kuwa na hii website
 
loh mkuu july??? mbona cc ndio kwanza june.upo sayari gani mwenzetu?
mhhh ama KWELI FEGI ZINA MADHARA JAMANI.

Lol, Mkulu mbona unataka watoto weekend hii wafikiri baba yao kapata kichaa maana nimelazimika kucheka saaaaana, maana nimefikiri fegi zilivyoharibu kumbukumbu ya GT, i can't imagine anavuta kiasi gani mpaka apoteze kumbukumbu namna hiyo.
 
Nilikuwa nawakumbusha kuwa JULY imeingia na Salva na wenzie bado hawaoni umuhimu wa kuwa na hii website


Kuna Umuhimu gani wa hizi website...? Kama hawakupi dili za kutengeneza au kama unajua kwanini-mwaga unga huo hapa -na sio kutafuta pubic opinion !usimwage wanga wako huko! Ewe!

Kila dili wajua wewe vitambulisho wewe, nanihii wewe, nanihino wewe..mpira gani huu unaocheza🙄
 
Duh!

haya ya MAY nayo nilichemsha

nadhani nahitaji kuajiri personal assistant awe anapitia hizi posts zangu

kunradhi waheshimiwa
 
GT, mie nilifikiri unashangaa ikulu hakuna rais kumbe hakuna website!
jiulize rais amelala siku ngapi ikulu, utajua kama kweli hakuna raisi.
na kama ikulu inashindwa kuwa na rais, usitarajie miujiza ya kuwa na website
 
CottonEyeJoe,
Shukrani kwa hiyo link,wamemwambia rais kuwa website itakuwa tayari in two weeks, tatizo hawakuwa specific, hawakusema two weeks from when exactly?!
 
Mwakilishi, That video was posted on June 8, 2007 so two weeks from then would be around the 22nd of June 2007 I guess...
 
Mwakilishi, That video was posted on June 8, 2007 so two weeks from then would be around the 22nd of June 2007 I guess...

No it is two weeks from where you are going to hear it.......Sasa wiki mbili hizo ni hadi wiki mbili ziishe, halafu zitafuata wiki mbili nyingine, then watakuja kusema wiki mbili baada ya hizoooo wiki mbili.
Sasa mimi nimeanza leo kuhesabu wiki zangu mbili.
 
Mwakilishi, That video was posted on June 8, 2007 so two weeks from then would be around the 22nd of June 2007 I guess...
The event shown in that clip was concerning accomplishment of Wananchi website, which operates under Mohamed's ministry and not "Ikulu" website. He said those questions directed to him will be forwarded by Mohamed's people to JK's office.
 
Jambo la kushangaza ni kuwa pamoja na ukweli kuwa Ikulu hawana hata website kwa kipindi chote hiki ila ni kuwa gharama za Internet zilizoombwa ni kiasi cha shilingi 38,400,000.

Hizi fedha zipo kwenye kifungu 2002 mawasiliano serikalini, kwenye kasma namba 260104 ya kitabu cha bajeti ofisi ya rais ikulu,

wameandika hivi ,nanukuu..Kasma hii hutumika kulipia gharama za mawasiliano ya mtandao kwa njia ya internet .katika mwaka wa fedha 2008-2009 zinaombwa shilingi 38,400,000.

Maswali ya kujiuliza ni kuwa kama kutuma tuu internet wanahitaji kiasi chote hicho kwa mwaka ni gharama halisi ama ni mchezo wa Salva et all?

Kwa ujumla gharama za mawasiliano ,habari na utoaji huduma zimeobwa kiasi cha shilingi 60,475,000. na hizi ni kwa ajili ya vitu kama gharama za simu 2,400,000,gharama za posta 500,000, Internet 38,400,000,uchapishaji 4,200,000, huduma za utangazaji 12,675,000 na tepu,rekodi na diski 800,000.

Hya angalieni wenyewe jinsi internet inavyokula pesa zetu je wakiweka na website si ndio tutakwisha kabisa?
 
Mkuu hivi unajua Ikulu watumiaji wa Internet ni wangapi? na wana ofisi ngapi?

Nafikiri kwa Tanzania kama either wanamlipa ISP kwa mwaka mzima. Hicho kiasi nafikiri ni sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom