Jokakuu,
Hapana mkuu hapa kwetu tunamhitaji Karaghe na ingekuwa vizuri sana kama tungempata Sisco ama Aziz!...
Mchukueni Sefue atakufaeni zaidi....wameona mbali!
Sawa tuseme basi alishindwa kutengeneza hiyo website kwa sababu moja au nyingine. Wewe kama Mtanzania, huoni kuna sababu ukajitolea kutengeneza Website ya Ikulu, na itakufanya pia ujulikane zaidi ya Utanzania wako! Jitolee bwana usiwe kama hao walioshindwa kama unavyosema.
Lwama Papa, mimi niko tayari nijitolee kutumia techonolojia ya kisasa ili nitoe mchango wangu kujaribu ku-improve the stinking ventilation system ya Dar Airport. Niko tayari kufanya hiyo kazi bure,....
Mimi mtanzania, sitoki Norway wala Japan. Kama wakitaka kunilipa, mchango wangu utaenda jamboforum.