CCM kabla na baada ya Uchaguzi walisema wao wanaridhiana na wananchi.Wakuu,
Kuna suala limekuwa likichanganywa hapa hivi maridhiano ni kati ya serikali ya CCM na vyama vya upinzani? au ni kati ya Serikali ya CCM na wananchi, katika mambo ambayo yanatakafaklisha sana
Nawasilisha
Hivi kwa bongo sirikali ni Nani,serikali ni Nani,CCM ni Nani na policcm ni Nani?Wakuu,
Kuna suala limekuwa likichanganywa hapa hivi maridhiano ni kati ya serikali ya CCM na vyama vya upinzani? au ni kati ya Serikali ya CCM na wananchi, katika mambo ambayo yanatakafaklisha sana
Nawasilisha
Serikali ni Raisi na machawa wakeHivi kwa bongo sirikali ni Nani,serikali ni Nani,CCM ni Nani na policcm ni Nani?