Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
tehe tehe GT ukiigusa familia ya makamba anawaka....yeye anasema january hahusiki....namuuliza kaz za JM ni zipi ikulu....hasemi....
sawa nikikujibu utarudi kwenye thread?
tehe tehe GT ukiigusa familia ya makamba anawaka....yeye anasema january hahusiki....namuuliza kaz za JM ni zipi ikulu....hasemi....
sawa nikikujibu utarudi kwenye thread?
Duh! sina Comment!
msaidizi wa nini? maana hata dereva,mpishi,katibu mahsusi wa jk ni wasaidizi wake hujamalizia....weka sawa sawa........mkuu tusizungushe mada JM nae yumo kwenye mkumbo wa uwajaibikaji wa ikulu kimawasiliano....sawa ni personal assistant to he President
umeridhika?
sawa ni personal assistant to he President
umeridhika?
kaingia mitini.......kaguswa pabaya......Personal Assistant to what Mkuu? Je ni PA to International Relations? Public Affairs? Or what? Please help us!!
hapa ndio uliharibu......tatizo mnataka tmjadili staff mmoja wa Ikulu ambaye hahusiani na hiyo blog wala website ya Ikulu halafu wahusika hamtaki kuwagusa wala kujadili sasa naona tushafikia kwenye deadlock
basi endeleeni na episodes zenu
mie ngoja ni catch up na Entourage na True Blood
Naam, hawa jamaa katika kuendeleza fan yao na kuthibitisha kuwa they are bunch of jockers wameamua kuja na BLOG badala ya website na of course blog yao iko hosted na blogspot...nadhani hii itakuwa ni mradi wa FREDDY MARO akisaidiana na LUHANJO na i suspect con-sultant wao atakuwa ni SALVA RWEYEMAMU... maana i dont think JANUARY could be part of this none-sense kwa sababu mara ya mwisho hii blog yao wameiupdate mwezi wa 5 na huu ni mwezi wa 8
http://mawasilianoikulu.blogspot.com/
nadhani tushajua kwa nini hawataki rais awe na website...maana watashindwa kuiupdate vilivyo
Whats so wrong kuwa na website ya ikulu kama hii
KENYA
http://www.statehousekenya.go.ke/
UGANDA
http://www.statehouse.go.ug/
RWANDA
http://www.presidency.gov.rw/
Btw Hapa Salva ameita press conference Ikulu huku akiwa na podium ya GWBush...and he is supposed to be media savy huyu msemaji wa Rais
analala,mika namuandama lakini huu kama si uzembe kumbe nini?
Bluray, punguza muku mkuu! ;-)Blogspot? WTFIGO?
tatizo pale kuna "mi dinosaurs"...
Ndugu hiyo blogu ipo karibu mwaka wa 3 sasa nadhani wewe umeiona juzi hata hivyo mtu au kikundi chochote kiko huru kuwa na blogu yako inayowasilisha mawazo na habari zake wao ikulu wameona njia nzuri ya kusambaza habari zao ni kupitia blogu hiyo inawezekana hawakuwa na bajeti ya kutosha wakaja na kitu hicho
Hapana mkuu GT, tuna recycle kubana matumizi na kutunza mazingira hasa yale ya Ikulu!
Kama wamefungua blog yenye jina la ikulu au idara ya ikulu lazima iangaliwe kwa karibu kabisa kwa kuilea na kuhakikisha kila wakati ianataarifa zinazokwenda na wakati haiwezi kuachwa miezi mitatu au minne ndipo ikumbukwe huo ni uzembe na uvivu na ukosefu wa mbinu za kuendesha hiyo blog
Pili wasigeuze ikulu ni nyumba ya baba zao au mama zao ni yetu wote, waache ubinafsi ,wangewatumia vijana pale chuo kikuu (Waandishi) hawa wangefanya mafunzo kwa vitendo pale (internship) hao wangeweza hata kuendesha website ya serikali na hiyo blog lakini kutokana na uroho wa akina salva na akina maro wanadhani vijana wakiingia pale watanyanqanya nafasi zao.
Hebu waruhusu vijana wafanye internship hapo waweze kuupdate hiyo blog hata kuwa na website.
Kwani gharama ya website ni shilingi ngapi ambayo ikulu wangeshwindwa kulipa wamepanga chai na vitafunwa kwa bilioni 19 watashindwa kulipa kuanzisha website kwa dola alfu hayo ni mashara msitugeuze wote mbumbumbu bei za kufungua website zinajulikana au wanataka kuanzisha website yenye mkonga wao.
Au tutafute muwekezaji manake sisi ndo kazi zetu kila kitu tunahitaji muwekezaji, sisi mabebilon bwana, kwa hiyo kazi hatuwezi ila kuwaachia wanaoweza it is possiblemimi nadhani wataalamu wa ikulu tujitolee kutengeneza website ya ikulu. Hiyo ndo image ya taifa letu.
halafu amemsifia JK kwa utendaji mzuriWakati huo huo rais ana face book pages zaidi ya 3!
1
http://www.facebook.com/people/Jakaya-Kikwete/1172949841
2
http://www.facebook.com/Kikwete
(cha ajabu mpaka Max Shimba naye rafiki yake)
na hii ndio twitter page ya kikwete
http://twitter.com/Kikwete